Lissu na Mnyika siku zote mmrkuwa mkitumia nguvu na mihemuko mikubwa kwenye suala la Mbowe

hp4510

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
9,013
Reaction score
10,034
Lissu na Ww mnyika ni Bora mkakaa kimya kabisa Kwa ishu hii ya mbowe

Siku zote mlikuwa mnatumia nguvu na mihemuko mikubwa kwa ishu ya mzima ya mbowe

Leo Zitto ametumia busara na unyenyekevu mkubwa na mama amemwelewa

Sasa mnaacha kukaa kimya msubiri msamaha nyie mnaanza tena makelele yenu ya kijinga ambayo hayana msaada wowote

Mwacheni mbowe atoke akaungane na familia yake
 
unadhani hii nchi ni mali binafsi ya Samia, kwamba akidharauriwa yeye anamfunga mtu kwa kujisikia.

Kama Mbowe amevunja sheria acha afungwe, hakuna mtu atapigiwa magoti ili Mbowe aachiwe, SAMIA SIYO MUNGU.
 
Lissu na Ww mnyika ni Bora mkakaa kimya kabisa Kwa ishu hii ya mbowe

Siku zote mlikuwa mnatumia nguvu na mihemuko mikubwa Kwa ishu ya mzima ya mbowe

HAKI huwa haiombwi au kutolewa kama Msamaha. Samia na serikali yake wanatakiwa kumuachia Mh Mbowe unconditionally.
 
Huyu sijui ni Kiroboto wa bata au wa Njiwa?
 
Kijana ni vyema ungenyamaza tuu maana yaonesha katika maisha yako hujawai lala kituo cha polisi kwa siku hata mbili
 
unadhani hii nchi ni mali binafsi ya Samia, kwamba akidharauriwa yeye anamfunga mtu kwa kujisikia.

Kama Mbowe amevunja sheria acha afungwe, hakuna mtu atapigiwa magoti ili Mbowe aachiwe, SAMIA SIYO MUNGU.

Yes Kwa sababu ww uko huru, unakula dagaa zako sasa hivi, uko free kuongea anything, unajua mbowe ana Hali gani huko gerezani?

Acheni mambo ya utoto
 
HAKI huwa haiombwi au kutolewa kama Msamaha. Samia na serikali yake wanatakiwa kumuachia Mh Mbowe unconditionally.

Unaona simple kuyaandika hayo maneno hapa jf eeeh nenda kayaongee mahakamani pale ndio tujue kweli ww kidemu
 
majitu yalozowea kuwaona miungu mtu watawala ni mzigo kwa taifa, mleta mada ni mmoja wao.

Nyie ambao sio mizigo Kwa taifa mmefanya nn mpaka Leo? Si Bora hata me nimechangia mawakili ww umefanya nn zaidi ya kuandika Tu jf hapa
 
Mmeshindwa kumtoa kimahakama mumehamia humu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wawekezaji watapata picha gani?...kwamba Tz hatuna sheria, ni amri ya mtu mmoja?
Ngozi nyeupe huwa na hesabu kali sana na zinafanya research..hatujui rais ajae
 
Back
Top Bottom