Lissu na Mnyika siku zote mmrkuwa mkitumia nguvu na mihemuko mikubwa kwenye suala la Mbowe

Is there anything wrong kwa sisi wa TZ...???
1.Naunga mkono Mh.Mbowe afungwe au anyongwe akikutwa na makosa...uhalali utumike NO MICHONGO
2.Endapo Mh.Mbowe atashinda,then EDITOR wa huu mchongo awajibishwe plus woote walioidanganya mahakama.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Unaongea kama unaangalia movie, kama ww unaishi sayari ya pluto
 
Kuna watu mngechukuliwa watumwa tu maana akili zenu hazijawahi kuondoka huko

Umefanya nn mbowe aonekane Hana hatia ?umechangia sh ngapi?
 
Yes Kwa sababu ww uko huru, unakula dagaa zako sasa hivi, uko free kuongea anything, unajua mbowe ana Hali gani huko gerezani?

Acheni mambo ya utoto
We jinga unadhani Mbowe ndiyo wa kwanza kukaa gerezani CHADEMA?
Unajua mimi nimekaa siku ngapi gerezani, na aijawahi pigia magoti hao wapumbavu wenzio, wala haitakaa itokee Mbowe apige magoti kama unavyotaka.
jinga moja.
 
Unaongea hayo ukiwa sebuleni kwako hujui adha ya jela,huu upupu uliongea hapa kama utaongea mbele ya mwanafamilia ya mbowe mtagawana ofisi za serikali
We mjinga kweli, kwanza nyie CCM mbona mnakazania sana Mbowe kuombewa msamaha na kutoka. Mnadhani Mbowe na CHADEMA wana akili mavi kama wewe.
Mbowe siyo wa kwanza kukaa gerezani kwa wanachama wa CHADEMA.
Kuna wanachama zaidi ya mia sita wa CHADEMA nchi nzima wapo ndani.
Tumekaa jela na tumewaacha qenzetu wengi jela kwa kesi za kubumba.
Hatujapiga magoti, hatutapiga magoti.
Takataka wewe.
 
Lissu na Ww mnyika ni Bora mkakaa kimya kabisa Kwa ishu hii ya mbowe

Siku zote mlikuwa mnatumia nguvu na mihemuko mikubwa kwa ishu ya mzima ya mbowe

Leo Zitto ametumia busara na unyenyekevu mkubwa na mama amemwelewa

Sasa mnaacha kukaa kimya msubiri msamaha nyie mnaanza tena makelele yenu ya kijinga ambayo hayana msaada wowote

Mwacheni mbowe atoke akaungane na familia yake
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
 
Ukweli utawaumbua chadema Zitto hakumuomba samia kwa bahati mbaya ila ana baraka zote kutoka kwa mbowe ndiyo maana zitto kamjibu lisu awasiliane kwanza na mwenyekiti wake ndipo wajadiane hawa watu wanafanya siasa isiyo natija Harakati zisizo na mpamgilio zinamponza tukubaliane kuanza ukurasa wa majaliano ya kisiasa polical dialogue ili kuinusuru demokrasia huo ni mwanzo mwema chadema mnataka nini!
 
unadhani hii nchi ni mali binafsi ya Samia, kwamba akidharauriwa yeye anamfunga mtu kwa kujisikia.

Kama Mbowe amevunja sheria acha afungwe, hakuna mtu atapigiwa magoti ili Mbowe aachiwe, SAMIA SIYO MUNGU.
👇👇

IMG_20211103_093523.jpg

IMG_20211212_191326.jpg
 
We mjinga kweli, kwanza nyie CCM mbona mnakazania sana Mbowe kuombewa msamaha na kutoka. Mnadhani Mbowe na CHADEMA wana akili mavi kama wewe.
Mbowe siyo wa kwanza kukaa gerezani kwa wanachama wa CHADEMA.
Kuna wanachama zaidi ya mia sita wa CHADEMA nchi nzima wapo ndani.
Tumekaa jela na tumewaacha qenzetu wengi jela kwa kesi za kubumba.
Hatujapiga magoti, hatutapiga magoti.
Takataka wewe.
Mimi na hiyo siasa yenu tofauti,kikubwa mbowe na wengineo watoke kwenye ile kadhia kinamna yoyote waje uraiani waungane na familia zao,nyie wazee wa siasa mnaotaka kutumia shida za wengine kujijenga kisiasa,halafu ulivyo boya unatamba kabisa ulikaa jela sababu ya imagine muda uliopoteza jela umekunufaisha na kitu gani kama sio kuipa shida tu familia yako!
 
Yaani kuna watu wanapenda kiki kwa mgongo wa CDM,, ngoja mtoke madarakani mtakula nyasi!!
 
We jinga unadhani Mbowe ndiyo wa kwanza kukaa gerezani CHADEMA?
Unajua mimi nimekaa siku ngapi gerezani, na aijawahi pigia magoti hao wapumbavu wenzio, wala haitakaa itokee Mbowe apige magoti kama unavyotaka.
jinga moja.

Apige mara mbili? Kashapiga na barua kapeleka, na alimtuma Zitto, do you think zito aliongea Tu from no where? Acha ujinga ww
 
Yaani kuna watu wanapenda kiki kwa mgongo wa CDM,, ngoja mtoke madarakani mtakula nyasi!!

Ww unapenda Baba wa mwenzio awe analala jela Tu? Angekuwa Baba yako ungekubali?
 
Mimi na hiyo siasa yenu tofauti,kikubwa mbowe na wengineo watoke kwenye ile kadhia kinamna yoyote waje uraiani waungane na familia zao,nyie wazee wa siasa mnaotaka,halafu ulivyo boya unatamba kabisa ulikaa jela sababu ya siasa imagine muda uliopoteza jela umekunufaisha na kitu gani kama sio kuipa shida tu familia yako!

Mijitu mingine ya chadema hainaga Akili kabisa
 
Ukweli utawaumbua chadema Zitto hakumuomba samia kwa bahati mbaya ila ana baraka zote kutoka kwa mbowe ndiyo maana zitto kamjibu lisu awasiliane kwanza na mwenyekiti wake ndipo wajadiane hawa watu wanafanya siasa isiyo natija Harakati zisizo na mpamgilio zinamponza tukubaliane kuanza ukurasa wa majaliano ya kisiasa polical dialogue ili kuinusuru demokrasia huo ni mwanzo mwema chadema mnataka nini!

Chadema wao ni kujifanya wanajua Sana wakati hakuna wanachojua chochote, mbowe lazima kamtuma Zitto aende akaseme Yale aliosema Kwa rais

Lissu yy anajua kuropoka Tu akiwa amekaa ulaya kama kweli yy ni mkombozi si arudi tz?
 
We mjinga kweli, kwanza nyie CCM mbona mnakazania sana Mbowe kuombewa msamaha na kutoka. Mnadhani Mbowe na CHADEMA wana akili mavi kama wewe.
Mbowe siyo wa kwanza kukaa gerezani kwa wanachama wa CHADEMA.
Kuna wanachama zaidi ya mia sita wa CHADEMA nchi nzima wapo ndani.
Tumekaa jela na tumewaacha qenzetu wengi jela kwa kesi za kubumba.
Hatujapiga magoti, hatutapiga magoti.
Takataka wewe.

Sasa mbowe kashapiga magoti na kashaombewa msamaha sasa nenda ww gerezani
 
Lissu na Ww mnyika ni Bora mkakaa kimya kabisa Kwa ishu hii ya mbowe

Siku zote mlikuwa mnatumia nguvu na mihemuko mikubwa kwa ishu ya mzima ya mbowe

Leo Zitto ametumia busara na unyenyekevu mkubwa na mama amemwelewa

Sasa mnaacha kukaa kimya msubiri msamaha nyie mnaanza tena makelele yenu ya kijinga ambayo hayana msaada wowote

Mwacheni mbowe atoke akaungane na familia yake
Kwani nawe ulikuwa mbambikiaji wa michongo?
 
Back
Top Bottom