Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,371
- 28,790
Wewe unajua michongo ya kubambokia TU.Chadema wao ni kujifanya wanajua Sana wakati hakuna wanachojua chochote, mbowe lazima kamtuma Zitto aende akaseme Yale aliosema Kwa rais
Lissu yy anajua kuropoka Tu akiwa amekaa ulaya kama kweli yy ni mkombozi si arudi tz?