Lissu na Mnyika siku zote mmrkuwa mkitumia nguvu na mihemuko mikubwa kwenye suala la Mbowe

Wawekezaji watapata picha gani?...kwamba Tz hatuna sheria, ni amri ya mtu mmoja?
Ngozi nyeupe huwa na hesabu kali sana na zinafanya research..hatujui rais ajae

Unawaza mwekezaji kwenye maisha ya mtu? Zitto peke yake ndio amefanya Jambo la maana nyie wengine wote ni makelele kama majogoo tu
 
Lissu na Ww mnyika ni Bora mkakaa kimya kabisa Kwa ishu hii ya mbowe

Siku zote mlikuwa mnatumia nguvu na mihemuko mikubwa kwa ishu ya mzima ya mbowe

Leo Zitto ametumia busara na unyenyekevu mkubwa na mama amemwelewa

Sasa mnaacha kukaa kimya msubiri msamaha nyie mnaanza tena makelele yenu ya kijinga ambayo hayana msaada wowote

Mwacheni mbowe atoke akaungane na familia yake
Wewe nani hadi uwanyamazishe? Koma kabisa

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Lissu na Ww mnyika ni Bora mkakaa kimya kabisa Kwa ishu hii ya mbowe

Siku zote mlikuwa mnatumia nguvu na mihemuko mikubwa Kwa ishu ya mzima ya mbowe

Leo Zitto ametumia busara na unyenyekevu mkubwa na mama amemwelewa

Sasa mnaacha kukaa kimya msubiri msamaha nyie mnaanza tena makelele yenu ya kijinga ambayo hayana msaada wowote

Mwacheni mbowe atoke akaungane na familia yake

..unyenyekevu kwani Mbowe amepatikana na hatia?

..kama unakubali kuwa Mbowe ni gaidi basi ni sawa kumpigia magoti Raisi ili asamehewe.

..kama unaamini Mbowe amebambikiwa kesi basi ni sahihi kudai kesi hiyo ifutwe mara moja.
 
unadhani hii nchi ni mali binafsi ya Samia, kwamba akidharauriwa yeye anamfunga mtu kwa kujisikia.

Kama Mbowe amevunja sheria acha afungwe, hakuna mtu atapigiwa magoti ili Mbowe aachiwe, SAMIA SIYO MUNGU.
Unaongea hayo ukiwa sebuleni kwako hujui adha ya jela,huu upupu uliongea hapa kama utaongea mbele ya mwanafamilia ya mbowe mtagawana ofisi za serikali
 
Lissu na Ww mnyika ni Bora mkakaa kimya kabisa Kwa ishu hii ya mbowe

Siku zote mlikuwa mnatumia nguvu na mihemuko mikubwa Kwa ishu ya mzima ya mbowe

Leo Zitto ametumia busara na unyenyekevu mkubwa na mama amemwelewa

Sasa mnaacha kukaa kimya msubiri msamaha nyie mnaanza tena makelele yenu ya kijinga ambayo hayana msaada wowote

Mwacheni mbowe atoke akaungane na familia yake
Wafuasi wa ushetani, mna upuuzi sana kudhani haki ya mtu mpaka abembelezwe mfalme. Haki haiombwi hupiganiwa ili kuleta matokeo chanya .

Mnyika na Lissu wametimiza wajibu wao kama chama. Zitto ametumia fursa alioipata kuongeza ujumbe kwa njia alioiona inamfaa
 
Ww mbona haujapigania ? Unapigania kwenye keyboard Tu
 
Ndiyo maana tunapinga vyombo vya dola na vya maamuzi, kutumika kiharamu kukandamiza haki za wapinzani wa watawala .

Hatukuuomba uongozi ili kuwanyanyasa wapinzani na watu wa itikadi zingine.
 
Maandiko yenu yamesaidia nn?
 
Si mahakama wala ikulu natakiwa kuongea hayo maneno, sawa ?

Why unayaongea kwenye keyboard Tu? Nilitegemea siku nikukute mahakamani nje unaongea hivyo hapo ningejua kweli unamaanisha
 
Back
Top Bottom