Lissu na wanaharakati wa CHADEMA, nchi yetu haitakombolewa kwa 'Space'

Lissu na wanaharakati wa CHADEMA, nchi yetu haitakombolewa kwa 'Space'

Ikiwa hauna madaraka wala ‘NGUVU YA DOLA’ unatumia ‘BLOCK’ kuzima mitazamo na mawazo ya wengine siku ukipata nafasi ya uongozi na nguvu ya Dola utatumia bunduki na njia nyingine za kikatili kunyamazisha watu.
Ni tabia za kidikteta ambazo tunazipinga na kuzikemea kwa NGUVU zote!
Well said, ambazo tabiaa hizi tunaziona zikishamiri since mwendazake na sasa hivi pia. I think nyie ambao MNA madaraka na dola ni vyema mkawa mfano mzuri badala ya kuwa kikwazo.
Usingumze usichokiamini
 
Kama ndivyo si dhani kama ungehangaika na akina maria space na kuacha TBC ha ha haa!
MPUMBAVU ni nani?

Ni mtanzania anayejazwa upepo akaumizwe au wakati mwenzake ana-tweet akiwa sebuleni juu ya Sofa 🛋.
Tulikuwa Kisutu tukasikitika sana, hatujaona hata mmoja kati ya wanaojiita wanaharakati twitter akiwa mstari wa mbele kusema #MboweIsNotATerrorist

Tafakari.
 
Well said, ambazo tabiaa hizi tunaziona zikishamiri since mwendazake na sasa hivi pia. I think nyie ambao MNA madaraka na dola ni vyema mkawa mfano mzuri badala ya kuwa kikwazo.
Usingumze usichokiamini
Mimi sina madaraka mimi ni muuza kahawa hapa mtaani kwangu.
 
Mimi sina madaraka mimi ni muuza kahawa hapa mtaani kwangu.
Hahahaah Bwana Ritz, kutumia ID fake hakukufanyi tusikufahamu! OK, tuyaache hayo basi tuzungumzie hili lililoko mezani kwa sasa!

Kama Blocks tu zinawauma hivi, imagine Wapinzani ambao mmewapoteza Ndugu zao, imagine familia zao zina hali gani kwa sasa? Imagine wafanyakazi ambao for good six years hamjawaongezea salaries halafu Leo mnakuja na tozo! Just imagine hawa watu mliowapora na kuwapa kesi fake wana maumivu makali kiasi gani?

Bwana Ritz, kwa sasa una nafasi nzuri ya kuishauri CCm yako au kujishauri maana Haya mambo hayawezi kuisha kirahisi hivi.

Ukitaka wema basi tenda wema Ndugu Katibu
 
"Mwambieni huyo Mama wembe niliomnyolea mtangulizi wake" tokea lini likawa tusi?
Nani mwenye matatizo katika Ubongo?
Nenda kamuambie hivyo Mama yako kama yuko hai halafu urudi hapa.
 
Siasa za vyama zinakufaidisha nini wewe kama mwananchi? Unakula siasa? Unapeleka watoto shule kwa ushabiki wa vyama?
Yaaani mnaacha mambo ya msingi kupambana Tozo Mpya mnaminyana na mambo ambayo hayawanufaishi na chochote. Siasa zinamnufaisha mwanasiasa kwa sababu ni kazi kwao.


Mazezeta Sana,na kinachoshangaza zaid hao wanasiasa wanaowapigania nao ni wajanja wajanja tuh,waoneshe kwanza uhalisia katika maisha ya kupigania haki la hii ya tozo mpya na kupanda kwa maisha ya wananchi wao bila shaka wangeungwa mkono hata kwenye ajenda zao zingine,Ila kwa kuwa hawajali watu wanawaona hata hiyo katiba wanayoipigania ni kwa maslahi yao tuh
 
Back
Top Bottom