Los técnicos
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 3,012
- 2,637
Enzi za wapigania uhuru africa kusini makundi yenye kuzungumza lugha moja ya uhuru ilibidi yajitenge na mapanya (ndumila kuwili) ili wapate trainning na kijifunza mbinu anuai za kuondosha ukoloni na wengine waliweka makambi hata hapo morogoro.Kwa hiyo ukombozi wa nchi yetu utapatikana kwa kujikusanya watu wenye mitazamo na mawazo sawa na kupiga ‘BLOCK’ wale wote ambao hawatusapoti mawazo au mitazamo yetu?
Wanajenga kuta na kuishi kwenye chumba cha watu wenye mitazamo sawa na kusapotiana sio kusimamia Haki na Ukweli.
Sasa mtoa mada wewe ni wa Mars?