Lissu na wanaharakati wa CHADEMA, nchi yetu haitakombolewa kwa 'Space'

JOHN HECHE AMJIA JUU SIRRO , "HATUPAMBANI NA CCM SIKU HIZI"

WaTanzania hawatakubali kupoteza haki yao ya msingi

Kwa hiyo ukombozi wa nchi yetu utapatikana kwa kujikusanya watu wenye mitazamo na mawazo sawa na kupiga ‘BLOCK’ wale wote ambao hawatusapoti mawazo au mitazamo yetu?
Wanajenga kuta na kuishi kwenye chumba cha watu wenye mitazamo sawa na kusapotiana sio kusimamia Haki na Ukweli.
Mkuu wewe unaongelea hoja ya nguvu ya mitandao au ishu binafsi manake sion locus standing yako ikwapi-Consistence kwenye argument yoyote ni jambo la msingi sana otherwise ni kupoteza muda.
 
Tangu lini umeanza kusimamia ukombozi wa Tanzania!? 😳

Wanaukumbi

Nchi yetu haitakombolewa kwa Space; tunahitaji kushikamana na kushawishi NGUVU YA UMMA kusimamia haki kwa vitendo. Ili mapambano yanoge inatakiwa viongozi wote wawe mstari wa mbele: Martin Luther King Jr. na kina Malcom X hawakuwa wanajificha kwenye mitandao waliongoza mstari wa mbele kabisa.

#Spaces zinakusanya watu wenye mitazamo sawa na wanaokubaliana na mitazamo, ukiwa na mitazamo tofauti au kupinga mawazo yao wanakupa ‘BLOCK’.

GENGE LA WAGANGA njaa wanaojiita wanaharakati wanazuga kwamba wanapigania Haki na Uhuru wakati wao hawaheshimu uhuru wa wengine kutoa mawazo.

Wale wanaojiita mashangazi kila siku wanawajaza wenzao upepo, mbona hatujawaona mstari wa mbele Kisutu? Haki ipiganiwe kwa vitendo sio kuendesha kipindi Twitter!

View attachment 1883792
 
Wewe punguani kweli kila siku kina Lema wanawataja kina Luther King, unakubali.

kwaiyo na wewe unataka waje wakae mstar wa mbele kama wakina luther? nyakati na majira vimebadilika mkuu ccm wavivu sana wa kufikiri
 
Kwa hiyo ukombozi wa nchi yetu utapatikana kwa kujikusanya watu wenye mitazamo na mawazo sawa na kupiga ‘BLOCK’ wale wote ambao hawatusapoti mawazo au mitazamo yetu?
Wanajenga kuta na kuishi kwenye chumba cha watu wenye mitazamo sawa na kusapotiana sio kusimamia Haki na Ukweli.
Wew chizi yaani dunia ya sasa unafananisha na dunia ya wapambanaji wa kale??? Watu kama nyie ni hasara kwa taifa, na bora ukae huko huko ccm hata chauma usiende
 
Kwahiyo wewe unapinga katiba mpya?
Ana haki ya kupinga. Ndiyo uhuru wa mawazo. Chadema wanataka kila mtu akubaliane nao kuhusu kuwa na katiba mpya, halafu wanajiita chama cha demokrasia!!! Aibu
 
Wanaukumbi

Nchi yetu haitakombolewa kwa Space; tunahitaji kushikamana na kushawishi NGUVU YA UMMA kusimamia haki kwa vitendo. Ili mapambano yanoge inatakiwa viongozi wote wawe mstari wa mbele: Martin Luther King Jr. na kina Malcom X hawakuwa wanajificha kwenye mitandao waliongoza mstari wa mbele kabisa.

#Spaces zinakusanya watu wenye mitazamo sawa na wanaokubaliana na mitazamo, ukiwa na mitazamo tofauti au kupinga mawazo yao wanakupa ‘BLOCK’.

GENGE LA WAGANGA njaa wanaojiita wanaharakati wanazuga kwamba wanapigania Haki na Uhuru wakati wao hawaheshimu uhuru wa wengine kutoa mawazo.

Wale wanaojiita mashangazi kila siku wanawajaza wenzao upepo, mbona hatujawaona mstari wa mbele Kisutu? Haki ipiganiwe kwa vitendo sio kuendesha kipindi Twitter!

View attachment 1883792
"Most of the world's dictators share a common fear, and it's not of the United States, NATO, the United Nations or any outside entity. No, the force that most threatens them is social media."
 
Kwahiyo wewe unapinga katiba mpya?
Sio kupinga kuwepo na huru wa kila maoni hata yaliyo kinyume lkn kupitia kueleweshana tunakuja kwenye kitu kimoja sio nikiwa tofauti na waso lako ni BLOCK huu ni ujinga
 
Mkuu una umri gani kwanza? Maan unayoyaandika, basi tu lakini ndiyo uhuru huo
Naweza kuwa na umri wa Baba yako marais wote watanzania nimewaona
 
7 August 2021
Dar es Salaam, Tanzania

CHADEMA WAANIKA MAPYA KUHUSU KESI YA MBOWE, WATANGAZA MAANDAMANO UPYA

Mashangazi wakibanwa na wanazengo kwa nini hawaendi kubeba Mabango wanajitetea Division of Labor Policy” 😁😁😁
Yaani wako wakuumizwa na wengine wakae kwenye viyoyozi na keyword wa-tweet wenzao wakiumizwa.
 
Wanaukumbi

Nchi yetu haitakombolewa kwa Space; tunahitaji kushikamana na kushawishi NGUVU YA UMMA kusimamia haki kwa vitendo. Ili mapambano yanoge inatakiwa viongozi wote wawe mstari wa mbele: Martin Luther King Jr. na kina Malcom X hawakuwa wanajificha kwenye mitandao waliongoza mstari wa mbele kabisa.

#Spaces zinakusanya watu wenye mitazamo sawa na wanaokubaliana na mitazamo, ukiwa na mitazamo tofauti au kupinga mawazo yao wanakupa ‘BLOCK’.

GENGE LA WAGANGA njaa wanaojiita wanaharakati wanazuga kwamba wanapigania Haki na Uhuru wakati wao hawaheshimu uhuru wa wengine kutoa mawazo.

Wale wanaojiita mashangazi kila siku wanawajaza wenzao upepo, mbona hatujawaona mstari wa mbele Kisutu? Haki ipiganiwe kwa vitendo sio kuendesha kipindi Twitter!

View attachment 1883792
CDM walikosea ku apply principle ya "One Size Fits All". Walipaswa wakae chini na wataalamu wa Siasa za vyama. Watahmini miaka 10 nyuma walifanya nini na walikwama wapi? Then hii Serikali ya SAMIA ni ya namna gani na na ni vipi wanapaswa kukabiliana nayo.

Kama kweli Mbowe anaweza kumpandisha MDUDE CHADEMA akiwa ametoka jela ya miezi 10, na kumtukana Rais SSH, huwezi kunishawishi kuwa Chama kina Ma STRATEGISTS. Kinapuyanga kwa matukio kama "headless chicken"
Watu wako kwenye Twitter na clubhouse wanahamasisha majobless wa mitaani wabebe mabango na kukabiliana na Polisi, wakati wao familia zao zina kula raha Dubai na Brussels
 
Karne hii mitandao ina nguvu kuliko hata harakati za mistuni walizofanya kina savimbi.

CCM ni lazima watoe katiba mpya...tutafanya makongamano yetu online..utandawazi utawaanika ccm peee

Na ndiyo maana mtoa hoja kayajua na impact yake.
 
"Most of the world's dictators share a common fear, and it's not of the United States, NATO, the United Nations or any outside entity. No, the force that most threatens them is social media."
CHADEMA ni chama kimejitosa kupigania Katiba Mpya kama Ajenda yao kuu; ni vema basi wakaonyesha umma wa watanzania kwamba wanaheshimu Katiba1977 inayotumika sasa na wanafuata Sheria za nchi katika kutafuta suluhu za matatizo ya kisiasa. Tulinde Haki kwa utulivu na Amani.
 
Back
Top Bottom