Lissu na wanaharakati wa CHADEMA, nchi yetu haitakombolewa kwa 'Space'

Siasa za vyama zinakufaidisha nini wewe kama mwananchi? Unakula siasa? Unapeleka watoto shule kwa ushabiki wa vyama?
Yaaani mnaacha mambo ya msingi kupambana Tozo Mpya mnaminyana na mambo ambayo hayawanufaishi na chochote. Siasa zinamnufaisha mwanasiasa kwa sababu ni kazi kwao.
 
Magaidi wa katiba Mpya mbona kawakamata wachache sana. Anatakiwa akamate wengi awezavyo maana katiklba mpya iko palepale, lakini yeye anaiga tu tembo kunya. Lile dubwasha liliko jehanamu lilikuwa dhalimu la kuzaliwa sio huyu mama wa kambo.
Kwani mimi nmebisha?

Mama siyo dhalimu kabisa! Ndio maana hataki kukaa na magidi si unona yanvyokamatwa?

Ni tofauti kabisa na lile dhalimu kiliwalea kwa miaka 6 haya magaidi!

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naumia sana kuona mtanzania mwenzangu anaendeshwa kama mashine kupitia huko Twita na huo upuuzi wa space, mnaowapambania wapo kwenye tv wanaangalia wapumbavu waliowatengeneza wakihangaikia tumbo la wanasiasa
 
Chadema na wafuasi wenu acheni siasa za kutafuta mapungufu kutaka Rais ajikwae, siasa za kukosoa kila jambo linalofanywa na serikali iliyopo madarakani, siasa za kumuwekea vigingi Rais ashindwe kuongoza nchi ni siasa zilizopitwa na wakati na hazisaidii nchi yetu wala wananchi. Ni siasa za kufaidisha wachache!
 
Naumia sana kuona mtanzania mwenzangu anaendeshwa kama mashine kupitia huko Twita na huo upuuzi wa space, mnaowapambania wapo kwenye tv wanaangalia wapumbavu waliowatengeneza wakihangaikia tumbo la wanasiasa Tanzania wajinga bado wengi sana; tunaposema wajinga hatumaanishi hawajasoma, wako ambao wamefika Hata University lakini bado kichwani hakuna kitu. Tumeshasema TISS inaendesha kipindi; #AmkaTanzania 👀

Naumia sana kuona mtanzania mwenzangu anaendeshwa kama mashine kupitia huko Twita na huo upuuzi wa space, mnaowapambania wapo kwenye tv wanaangalia wapumbavu waliowatengeneza wakihangaikia tumbo la wanasiasa
Ni ngumu sana kutoka kwenye huu mkwamo tuliopo kwa sababu ukweli mchungu Tanzania wajinga bado wengi sana; tunaposema wajinga hatumaanishi hawajasoma, wako ambao wamefika Hata University lakini bado kichwani hakuna kitu.
 
Wanaukumbi

Nchi yetu haitakombolewa kwa Space; tunahitaji kushikamana na kushawishi NGUVU YA UMMA kusimamia haki kwa vitendo. Ili mapambano yanoge inatakiwa viongozi wote wawe mstari wa mbele: Martin Luther King Jr. na kina Malcom X hawakuwa wanajificha kwenye mitandao waliongoza mstari wa mbele kabisa.

#Spaces zinakusanya watu wenye mitazamo sawa na wanaokubaliana na mitazamo, ukiwa na mitazamo tofauti au kupinga mawazo yao wanakupa ‘BLOCK’.

GENGE LA WAGANGA njaa wanaojiita wanaharakati wanazuga kwamba wanapigania Haki na Uhuru wakati wao hawaheshimu uhuru wa wengine kutoa mawazo.

Wale wanaojiita mashangazi kila siku wanawajaza wenzao upepo, mbona hatujawaona mstari wa mbele Kisutu? Haki ipiganiwe kwa vitendo sio kuendesha kipindi Twitter!

View attachment 1883792
Warioba mwenyewe kashasema katiba mpya ipo hatua ya kura ya maoni nyie bado mko kwenye katiba ya warioba.😂😂
 
Kwani mimi nmebisha?

Mama siyo dhalimu kabisa! Ndio maana hataki kukaa na magidi si unona yanvyokamatwa?

Ni tofauti kabisa na lile dhalimu kiliwalea kwa miaka 6 haya magaidi!

[emoji23][emoji23][emoji23]

Magaidi wa katiba mbona bado hajawakamata vizuri, hata huyo mama wa kambo amuige dhalimu vipi hawezi kupatia, yule alikuwa na roho chafu ya kuzaliwa, acha huyu mama wa kambo anayetaka kuwafurahisha sukuma Gang.
 
Wewe punguani kweli umeandika nini sasa.
Mpuuzi kama wewe utajifanya hukuelewa kilichoandikwa hapo kuonyesha kwamba wewe ni kilaza, kumbe ni msukumo wa manufaa unaokushindisha humu JF ndio unaokufanya kujitoa akili kwa maksudi.
 
"Most of the world's dictators share a common fear, and it's not of the United States, NATO, the United Nations or any outside entity. No, the force that most threatens them is social media."
Correct. In reality, they are terrified of their own people wielding the indomitable power of social media.
 
Siasa za vyama zinakufaidisha nini wewe kama mwananchi? Unakula siasa? Unapeleka watoto shule kwa ushabiki wa vyama?
Yaaani mnaacha mambo ya msingi kupambana Tozo Mpya mnaminyana na mambo ambayo hayawanufaishi na chochote. Siasa zinamnufaisha mwanasiasa kwa sababu ni kazi kwao.
Shehe unapopambana dhidi ya tozo mpya ndiyo siasa yenyewe ati! Tozo zimesimikwa na wanasiasa bungeni na kusainiwa na Rais mwanasiasa. Ukishinda, ile albaki ndiyo unaongezea kwenye kula na kupelekea watoto shule. Ndio mambo ya msingi hayo; yenye mguso wa kikatiba.

Sasa Shehe, jiongeze kidogo tu basi angalau uuone huo muunganiko maridhawa Kati ya SIASA na MASLAHI BINAFSI ya wananchi. Michakato ya maamuzi ya kisiasa kama ule wa tozo mpya unaathiri maslahi yetu kibinafsi. Mapambano yanawezekana kisiasa tu - unaweza kusema “kiharakati” bado itakuwa siasa tu.
 
Kwa hiyo ukombozi wa nchi yetu utapatikana kwa kujikusanya watu wenye mitazamo na mawazo sawa na kupiga ‘BLOCK’ wale wote ambao hawasapoti mawazo au mitazamo yenu?
 
Hawa wanahojiita wanaharakati washauri wa Chadema hawana madaraka wala ‘NGUVU YA DOLA’ huko kwenye mitandao yao wanatumia ‘BLOCK’ kuzima mitazamo na mawazo ya wengine siku ukipata nafasi ya uongozi na nguvu ya Dola utatumia bunduki na njia nyingine za kikatili kunyamazisha watu.
Ni tabia za kidikteta ambazo tunazipinga na kuzikemea kwa NGUVU zote!
Ni mtazamo mzuri lakini kama unatofautiana nao kimawazo na hupati nafasi ya kuzungumza nenda kwenye media space zenye watu wenye mtazamo kama wako, kazungumze.
Kuna haja gani kung'ang'ana na space za akina Maria wakati kuna TBC, CH 10, star tv.
Unaweza kuunda hata space yako, kwani umezuiwa? Ama huna elimu ya kuunda media yako? Unda yako uelimishe watu juu ya mtazamo wako.
 
Wanaukumbi

Nchi yetu haitakombolewa kwa Space; tunahitaji kushikamana na kushawishi NGUVU YA UMMA kusimamia haki kwa vitendo. Ili mapambano yanoge inatakiwa viongozi wote wawe mstari wa mbele: Martin Luther King Jr. na kina Malcom X hawakuwa wanajificha kwenye mitandao waliongoza mstari wa mbele kabisa.

#Spaces zinakusanya watu wenye mitazamo sawa na wanaokubaliana na mitazamo, ukiwa na mitazamo tofauti au kupinga mawazo yao wanakupa ‘BLOCK’.

GENGE LA WAGANGA njaa wanaojiita wanaharakati wanazuga kwamba wanapigania Haki na Uhuru wakati wao hawaheshimu uhuru wa wengine kutoa mawazo.

Wale wanaojiita mashangazi kila siku wanawajaza wenzao upepo, mbona hatujawaona mstari wa mbele Kisutu? Haki ipiganiwe kwa vitendo sio kuendesha kipindi Twitter!

View attachment 1883792
Wakati wa Martin Luther King Jr na wakati wa Nyerere zama zilikuwa ni za viwanda(industrial age) ivyo physical participation ilihitajika.

Hiki ni zama za information tech. Mambo yamebadilika sana,kuonekana kwa uhalisia(physical appearance) sio lazima kama mazingira hayaruhusu. Watu milioni moja wanaweza kukutana anytime na wakajadili bila kuonana kwa uhalisia.

Mnaong'ang'ana Lissu awe mstari wa mbele bila shaka ndio mliohusika kumpiga risasi,mnapotea mnaposhindana na Mungu.
 
Hawa wanahojiita wanaharakati washauri wa Chadema hawana madaraka wala ‘NGUVU YA DOLA’ huko kwenye mitandao yao wanatumia ‘BLOCK’ kuzima mitazamo na mawazo ya wengine siku ukipata nafasi ya uongozi na nguvu ya Dola utatumia bunduki na njia nyingine za kikatili kunyamazisha watu.
Ni tabia za kidikteta ambazo tunazipinga na kuzikemea kwa NGUVU zote!
Bora hao wanaowablock wanaoharibu movements zao maana wako specific wanafilter machawa kuliko wanaovuruga internet data nchi nzima wakileta shida kwa taifa zima ie non specific.

Pengine hao ni bora kuliko kutumia uongo kwa maslahi binafsi.
 
Wanaukumbi

Nchi yetu haitakombolewa kwa Space; tunahitaji kushikamana na kushawishi NGUVU YA UMMA kusimamia haki kwa vitendo. Ili mapambano yanoge inatakiwa viongozi wote wawe mstari wa mbele: Martin Luther King Jr. na kina Malcom X hawakuwa wanajificha kwenye mitandao waliongoza mstari wa mbele kabisa.

#Spaces zinakusanya watu wenye mitazamo sawa na wanaokubaliana na mitazamo, ukiwa na mitazamo tofauti au kupinga mawazo yao wanakupa ‘BLOCK’.

GENGE LA WAGANGA njaa wanaojiita wanaharakati wanazuga kwamba wanapigania Haki na Uhuru wakati wao hawaheshimu uhuru wa wengine kutoa mawazo.

Wale wanaojiita mashangazi kila siku wanawajaza wenzao upepo, mbona hatujawaona mstari wa mbele Kisutu? Haki ipiganiwe kwa vitendo sio kuendesha kipindi Twitter!

View attachment 1883792
Wakati wa Martin Luther King Jr na wakati wa Nyerere zama zilikuwa ni za viwanda(industrial age) ivyo physical participation ilihitajika.

Hiki ni zama za information tech. Mambo yamebadilika sana,kuonekana kwa uhalisia(physical appearance) sio lazima kama mazingira hayaruhusu.

Mnaong'ang'ana Lissu awe mstari wa mbele bila shaka ndio mliohusika kumpiga risasi,mnapotea mnaposhindana na Mungu.
Twitter ya Tanzania watu wanataka mfanane Mitazamo, mposti maudhui yanayofanana, msapoti harakati zinazofanana ndiyo muheshimiane.

Alafu hao hao ndiyo wanasema CCM ni madikteta wanabinya uhuru wa kutoa maoni na kujieleza.

Mabadiliko yaanze kwa Mtanzania mmoja mmoja, badilika!
kama una hoja za ovyo utapingwa tu,labda uwe hautambui kuwa hoja zako ni za ovyo!

Watu wanataka mabadiliko!
 
Kwa hiyo ukombozi wa nchi yetu utapatikana kwa kujikusanya watu wenye mitazamo na mawazo sawa na kupiga ‘BLOCK’ wale wote ambao hawatusapoti mawazo au mitazamo yetu?
Wanajenga kuta na kuishi kwenye chumba cha watu wenye mitazamo sawa na kusapotiana sio kusimamia Haki na Ukweli.
Blocks ni kwa waliotumwa kuvuruga mijadala tu
 
Wakati wa Martin Luther King Jr na wakati wa Nyerere zama zilikuwa ni za viwanda(industrial age) ivyo physical participation ilihitajika.

Hiki ni zama za information tech. Mambo yamebadilika sana,kuonekana kwa uhalisia(physical appearance) sio lazima kama mazingira hayaruhusu. Watu milioni moja wanaweza kukutana anytime na wakajadili bila kuonana kwa uhalisia.

Mnaong'ang'ana Lissu awe mstari wa mbele bila shaka ndio mliohusika kumpiga risasi,mnapotea mnaposhindana na Mungu.
Hiyo Space yenu huko Twitter ambayo mnasema mnapanga mapambano yenu mnataka watu wote wafanane Mitazamo, mposti maudhui yanayofanana, msapoti harakati zinazofanana ndiyo muheshimiane.
Alafu hao hao ndiyo wanasema CCM ni madikteta wanabinya uhuru wa kutoa maoni na kujieleza.
Mabadiliko yaanze kwa mtanzania mmoja mmoja, badilika!
 
Back
Top Bottom