Lissu: Naishi kwenye makazi ya balozi(Ujerumani) kwa sababu maisha yangu hayako salama, nitarejea Ubelgiji

Tulia wewe mwanamke uwe na adabu mbele za wanaume
 
Tulia wewe mwanamke uwe na adabu mbele za wanaume
Ww ndio yule uliyenipigia simu eeh.
Ni hivi sina haja na ww. Na wala siko hapa kuonyesha umahili wa kutupa matusi.

Umesoma hoja zangu zote nilizopost, sasa sindano yenye dawa imekuingia, tulia upone. Badala ya kujibu hoja ww una jibu utumbo ambao hautakusaidia chochote kwenye maisha yako.

Ukiendelea kutukana matusi uliyojipanga kunirushia wala sitahangaika na ww.
 
Tulia wewe mwanamke uwe na adabu mbele za wanaume
Jibu hoja, wacha kujibu kitu ambacho hakipo kwenye mada. Sioni haja ya kuonyeshana umahili wa kutumia matusi kwenye hii forum. Jibu hoja tuendelee kujadiliana. Maneno yako hayatanikatisha tamaa.
 
[QUOTE="Salary Slip, post: 37226741, member: 84
Nchi imekuwa ya hovyo kabisa hii!!
[/QUOTE]
Lawama zote kwa yule mzee mfupi mnene alozikwa pale lupaso inawapasa ccm kuwa makini ktk kutuchagulia kiongozi
 
Baada ya kubaka na kulawiti uchaguzi mchana kweupe, ila mpaka sahivi mmeshindwa kuwasha mitandao ya kijamii. Kweli the guilty are afraid.
 
Huna hoja wewe mwanamke zaidi ya utopolo
 
Ili iwe fundushisho kwa wavurugaji wote wa nyakati za sasa na zijao, moja: wahakikishe nchini hachomoki, mbili: anashitakiwa na kutiwa hatiani, na tatu: hukumu atakayopata iwe ni ya kifungo cha jela tena cha muda mrefu miaka 30.
Utafaidika na nini?
 
Jamani ukistaajabu ya Musa utayashangaa ya Lisu, jamaa si kwamba anadigree ya sheria tu hata ya masta ya uongo anayo. Kwa sasa Lisu ni kama galasa yaani hana madhara yoyote yeye labda baada ya uchaguzi kuisha atulie afanye shughuli zake hakuna mtu mwenye shida naye labda aanze kuzingua. Chadema havi sasa tunavyo ongea ni kama chama cha UMD au NRA yaani hakina madhara tena kwa CCM sasa iweje atafutwa kuuliwa.
Enzi za Lisu na Chadema ndiyo baibai itabaki historia kuwa tulikuwa na chadema kama tunavyosema tulikuwa na NCCR Mageuzi au CUF wako wapi leo. Lisu anatafuta umashuhuri wakati hana leo huo umamashuhuri, yeye anatakiwa kurudi Ufipa na kujenga chama na ajue kuwa kujia hii ni nchi ya amani na utulivu kama ataamua kuukana uraia wa Ubeligiji arudi home kuendelea na maisha ya mchangani kama wengine naye aju
 
Brainwashed can't think right
 
Too low. Thinking like some puppet.
 
Halafu hadi hapa bado mtu aseme eti waliomshambulia kipindi kile ni "wasiojulikana" na hawajawahi kupatikana atakua ni kichaa!
Kichaa ni wewe uliyemuamini
 
Ukisema CCM inataka kummaliza Lisu ili kusiwe na upinzani hainingii akilini.
Upinzani utaendelea kuwepo kwani bado kuna Zito, Mbowe, Halima Mdee, maalim Seif. Hao wote wanaweza kupenyeza hoja zao kupitia wabunge wa upinzani waliofanikiwa kuingia bungeni kufikisha hoja zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…