Lissu: Naishi kwenye makazi ya balozi(Ujerumani) kwa sababu maisha yangu hayako salama, nitarejea Ubelgiji

Lissu: Naishi kwenye makazi ya balozi(Ujerumani) kwa sababu maisha yangu hayako salama, nitarejea Ubelgiji

Ww ndio yule uliyenipigia simu? Cna haja na ww. Na wala siko hapa kuonyesha umahili wa kutupa matusi.

Umesoma hoja zangu zote nilizopost, sasa sindano yenye dawa imekuingia, tulia upone.

ukiendelea kutukana matusi ulijipanga kunirushia wala sitahangaika na ww.

Ww ndio yule uliyenipigia simu eeh.
Ni hivi sina haja na ww. Na wala siko hapa kuonyesha umahili wa kutupa matusi.

Umesoma hoja zangu zote nilizopost, sasa sindano yenye dawa imekuingia, tulia upone. Badala ya kujibu hoja ww una jibu utumbo ambao hautukasidia chochote kwenye maisha yako.

Ukiendelea kutukana matusi uliyojipanga kunirushia wala sitahangaika na ww.
Tulia wewe mwanamke uwe na adabu mbele za wanaume
 
Tulia wewe mwanamke uwe na adabu mbele za wanaume
Ww ndio yule uliyenipigia simu eeh.
Ni hivi sina haja na ww. Na wala siko hapa kuonyesha umahili wa kutupa matusi.

Umesoma hoja zangu zote nilizopost, sasa sindano yenye dawa imekuingia, tulia upone. Badala ya kujibu hoja ww una jibu utumbo ambao hautakusaidia chochote kwenye maisha yako.

Ukiendelea kutukana matusi uliyojipanga kunirushia wala sitahangaika na ww.
 
Tulia wewe mwanamke uwe na adabu mbele za wanaume
Jibu hoja, wacha kujibu kitu ambacho hakipo kwenye mada. Sioni haja ya kuonyeshana umahili wa kutumia matusi kwenye hii forum. Jibu hoja tuendelee kujadiliana. Maneno yako hayatanikatisha tamaa.
 
[QUOTE="Salary Slip, post: 37226741, member: 84
Nchi imekuwa ya hovyo kabisa hii!!
[/QUOTE]
Lawama zote kwa yule mzee mfupi mnene alozikwa pale lupaso inawapasa ccm kuwa makini ktk kutuchagulia kiongozi
 
Baada ya kubaka na kulawiti uchaguzi mchana kweupe, ila mpaka sahivi mmeshindwa kuwasha mitandao ya kijamii. Kweli the guilty are afraid.
 
Ww ndio yule uliyenipigia simu eeh.
Ni hivi sina haja na ww. Na wala siko hapa kuonyesha umahili wa kutupa matusi.

Umesoma hoja zangu zote nilizopost, sasa sindano yenye dawa imekuingia, tulia upone. Badala ya kujibu hoja ww una jibu utumbo ambao hautukusaidia chochote kwenye maisha yako.

Ukiendelea kutukana matusi uliyojipanga kunirushia wala sitahangaika na ww.
Huna hoja wewe mwanamke zaidi ya utopolo
 
Ili iwe fundushisho kwa wavurugaji wote wa nyakati za sasa na zijao, moja: wahakikishe nchini hachomoki, mbili: anashitakiwa na kutiwa hatiani, na tatu: hukumu atakayopata iwe ni ya kifungo cha jela tena cha muda mrefu miaka 30.
Utafaidika na nini?
 
Jamani ukistaajabu ya Musa utayashangaa ya Lisu, jamaa si kwamba anadigree ya sheria tu hata ya masta ya uongo anayo. Kwa sasa Lisu ni kama galasa yaani hana madhara yoyote yeye labda baada ya uchaguzi kuisha atulie afanye shughuli zake hakuna mtu mwenye shida naye labda aanze kuzingua. Chadema havi sasa tunavyo ongea ni kama chama cha UMD au NRA yaani hakina madhara tena kwa CCM sasa iweje atafutwa kuuliwa.
Enzi za Lisu na Chadema ndiyo baibai itabaki historia kuwa tulikuwa na chadema kama tunavyosema tulikuwa na NCCR Mageuzi au CUF wako wapi leo. Lisu anatafuta umashuhuri wakati hana leo huo umamashuhuri, yeye anatakiwa kurudi Ufipa na kujenga chama na ajue kuwa kujia hii ni nchi ya amani na utulivu kama ataamua kuukana uraia wa Ubeligiji arudi home kuendelea na maisha ya mchangani kama wengine naye aju
 
Kwa maneno mengine Lisu anasema Magufuli anafukuza wafadhili migodini.

Kwaniongeza Lisu alipokua hizo nchi za ulaya alikua akipita akiwaambia wadau wanaotoa misaada ya elimu wasipeleke tena Tanzania. Sababu Magufuli anazuia watt waliopata mimba za utotoni kurudi mashuleni.
Brainwashed can't think right
 
Jamani ukistaajabu ya Musa utayashangaa ya Lisu, jamaa si kwamba anadigree ya sheria tu hata ya masta ya uongo anayo. Kwa sasa Lisu ni kama galasa yaani hana madhara yoyote yeye labda baada ya uchaguzi kuisha atulie afanye shughuli zake hakuna mtu mwenye shida naye labda aanze kuzingua. Chadema havi sasa tunavyo ongea ni kama chama cha UMD au NRA yaani hakina madhara tena kwa CCM sasa iweje atafutwa kuuliwa.
Enzi za Lisu na Chadema ndiyo baibai itabaki historia kuwa tulikuwa na chadema kama tunavyosema tulikuwa na NCCR Mageuzi au CUF wako wapi leo. Lisu anatafuta umashuhuri wakati hana leo huo umamashuhuri, yeye anatakiwa kurudi Ufipa na kujenga chama na ajue kuwa kujia hii ni nchi ya amani na utulivu kama ataamua kuukana uraia wa Ubeligiji arudi home kuendelea na maisha ya mchangani kama wengine naye aju
Too low. Thinking like some puppet.
 
Ni kweli kwa sababu tuko huku mitaani .
Ni kweli kabisa kuwa watu wanaoishabikia CCM wazo lao ndani na nje ya serikali ni kuwa Lisu auawe ili pasiwe na mtu wa kuwasumbua mana wengi wanawaza kwa karibu kuwa Lisu akiuawa basi mambo yatakwenda vizuri na hakuna wa kuwasumbua na akitokea mwingine naye watamfanya hivyo hivyo.

Inawezekana hata Mkuu wa nchi hajahusika laki pia hakuna tamko la kukanusha Kauli ya mwenyekiti wa UVCCM ambaye alitoa tamko la Chama kwa vijana kuwa watamchoma sindano ya sumu.
Hivi kama alisema hadharani na akashangiliwa inakuwaje kwenye mikakati yao?
Umesahau kuwa hata makamu wa Rais alisisitiza kuwa wao wameandaa watu wa kupiga risasi moja tu.?

Hivi huoni kuwa kuna kila dalili ya kuwa anayosema ni kweli.
Hivi unafikiri adui wa watawala ni nani kama sio yule anayeonekana kuungwa mkono na miongoni mwa watawaliwa?

Hivi unacheza na kumiminiwa risasi 16 ? Kukoswa tu na risasi kunaweza kukakutoa kinyesi sembuse kupigwa hata ingekua moja? Sasa kwa nini asiogope kutishiwa kuuawa ?
Ukisema CCM inataka kummaliza Lisu ili kusiwe na upinzani hainingii akilini.
Upinzani utaendelea kuwepo kwani bado kuna Zito, Mbowe, Halima Mdee, maalim Seif. Hao wote wanaweza kupenyeza hoja zao kupitia wabunge wa upinzani waliofanikiwa kuingia bungeni kufikisha hoja zao.
 
Back
Top Bottom