Lissu: Naishi kwenye makazi ya balozi(Ujerumani) kwa sababu maisha yangu hayako salama, nitarejea Ubelgiji

Ndio hivyo,sina huruma kabisa na watu makatili kama ninyi!
Nyuzi za Tanzia hapa nazisubiri kwa haku nikamwage sumu!
Kwa mtazamo wako makatili ni watu wanaopigania unyonyaji usiendelee nchini, lakini huoni kama huyo Lisu wako anataka kuiuza nchi kwa mabeberu na makaburu?!! Kweli sikio la kufa halisikii dawa.
 
Ndio hivyo,sina huruma kabisa na watu makatili kama ninyi!
Nyuzi za Tanzia hapa nazisubiri kwa haku nikamwage sumu!
Endelea kutokua na huruma, ila siku ukiamka kwenye huo usingizi utakua na huruma.
 
Kwanini aisngeomba hifadhi angalau hata ubalozi wa Burundi hapo manake ni karibu
 
Endapo akitoka hapo na akadhulika, hata kama siyo serikali iliyofanya tayari itaonekana ni serikali. Mbaya sana!


Cc: mahondaw
 
lakini si alisema wakati wakampeni kwamba ana tiketi ya kwenda ubelgiji hata kabla ya vitisho anavyodai ?
Namshauri ahamie hukohuko ubelgiji asirudi tena Tanzania. Kama hao wabelgiji wanampenda sana wampe ubunge.
 
Nendeni mkamshambulie hapo ubalozini sasa mbwa nyie!
Hilo bao bora baba yako angepiga nyeto tu,stiff insolent naked fool!
Ndio maana nipo hapa na tutawakimbiza kwa miaka mingine mitano. Na huyu Lissu wenu akitoka hapo mjue mahakama inamuhusu.
 
Sina chama mimi, na virago nafunga ndiyo tayari tiketi ipo naondoka hivi karibuni nitarudi tena 2025 mkishanyoshwa mkanyooka kweli shenzi. Vibaraka wa babu yako? Jinga mmekua brainwashed, siongei na mbwa leta mwenye mbwa tuongee naye.
 
Ndio maana nipo hapa na tutawakimbiza kwa miaka mingine mitano. Na huyu Lissu wenu akitoka hapo mjue mahakama inamuhusu.
Utamkimbiza nani?Wengine ukijua nafasi zetu utashangaa kuona wewe ndiye unayekimbizwa!
Lissu ataondoka na kwenda kuendelea na maisha!
 
Nyie wafuasi wa Lisu, naomba mjiulize hivi, kwann Lisu asipewe uraia na uongozi kwenye hizo nchi zote za ulaya anazokimbilia huku akiipaka mavi Tanzania?

Kama hao wazungu wanampenda saana na wanamkubali kwann hawampi uongozi kuwaongoza raia wao huko kwenye nchi zao?!! Badala yake wanampa pesa ya kurubuni baadhi ya watanzania kutokua na uzalendo na nchi yao.

Naomba mnijibu tafadhali
 
Sina chama mimi, na virago nafunga ndiyo tayari tiketi ipo naondoka hivi karibuni nitarudi tena 2025 mkishanyoshwa mkanyooka kweli shenzi. Vibaraka wa babu yako? Jinga mmekua brainwashed, siongei na mbwa leta mwenye mbwa tuongee naye.
Punguza jazba sindano yenye dawa ikuingie ili upone wewe.

Nakushauri usirudi 2025, ukagombee uongozi hukohuko unakokwenda.

Usirudi hapa kutuchafulia hali ya hewa.
 
Hivi watu wengi humu akili mbovu tu siyo? Mnatetea udhalimu siyo tu aliofanyiwa, bali anaoendelea kufanyiwa Lissu, na sisi watanzania tulioporwa haki yetu ya kuchagua viongozi tunaowataka? Bure kabisa nyote humu mnaounga mkono ushetani unaoendelea! Au ni sheitwani, au MATAGA wachumia tumbo! Mtu wa kawaida hawezi kuwa upande wa hawa manyang'au wanaoendelea kuitesa na kuifilisi nchi hii!
 
Hao walompigia sim kama sio watu wake aweke mawasliano hapa. Hakuna anayetaka kumuua aache kujitisha

Ila kama anapenda kuishi ubalozini vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…