barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Kwenye kampeni mbona alikua na huo uhuru? Alitukana na kusema kila kitu hakuna aliyemsumbua?..ukimuona mwanasiasa anazungumza mapungufu ya serikali yake nje ya nchi ujue kwamba hana uhuru wa kufanya hivyo akiwa ndani ya nchi.
..utawala huu umewanyima wananchi uhuru wa kuikosoa serikali yao na watendaji wake. matokeo yake ndiyo hayo, watu wanakwenda kuzungumzia nje ya nchi.
..wakati wa utawala wa Mzee Mkapa na Mzee Kikwete kulikuwa na uhuru fulani wa kuzungumza na kukosoa. Na kipindi hicho hatukumshuhudia Tundu Lissu akiikosoa serikali akiwa nje ya Tanzania. Hali hiyo imebadilika miaka ya karibuni wakosoaji wanaumizwa, wanasumbuliwa, wanatishwa, na ndio maana wengine wanasema-sema huko nje.
Akibali tu kuwa watz ndio tumemvurumisha