Tujifunze nini kwa huyo mfu wako, umesahau watu walivyoshehekea kufa kwake? Mungu ni fundi anatupenda watanzania kutuondolea yule mhutu katili na fisadi aliyewapumbaza wajinga km wewe
Ukwelj unaouzungumzia ni ramli tupu, hujui kitu; mifano gani nikupe badala wewe urudi kusoma comment zako, nyingine zipo uzi huu huu.
Nakushangaa unavyoniita CCM eti kwa sababu ya imani, hiyo imani yenyewe nilikuuliza maswali jana ukashindwa kunielewesha badala yake ukawa unanijibu kwa maswali tena!, unashindwa kuelewa vitu vidogo sana, hata sijui wapi nimewahi kukwambia mimi ni CCM, au unapiga ramli?
Ajabu zaidi, unajiita muumini wa haki wakati umeshindwa kukemea ule unyama wa Hamas kwa watanzania wenzetu, unashangilia tu kile alichosema Lissu, hii haki unayoipigania wewe ni ya sampuli gani?!
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Hata sielewi unachoandika, naona wewe ndie unayetakiwa upumzike na unywe maji ujitafakari.Pumzika, unywe maji ujitafakari.
View attachment 2846052
Kudhani kina Mandela wanaweza kuwa ndiyo wajinga na eti wewe ndiye uko vizuri zaidi, ni jambo la kusikitisha!
Allen Kilewella si kwa ubaya ndugu yetu huyo tatizo ni uelewa msaidieni.
Hivi alishasema asipoelewa?
Nimeanza nae tangu jana, akaja na hoja yake kuhusu imani na misimamo, akidai kina Lissu wanatakiwa kuwafunda wanachama, nenda katazame ule uzi wake utaelewa nachozungumzia.
Kuna vitu vingi vya msingi aliviacha pale, lakini kila nikijaribu kumuelewesha jamaa yako ni dikteta much know asiyetaka kuelewa chochote, bahati nzuri akaja Nowonmai kuongezea pale alipopungukiwa.
Ukitoka huko njoo hapa, nenda pale anapolazimisha kudai kauli ya Lissu ni kauli ya chama, comment #31, nikamjibu pale juu kwa kumuelekeza alivyopotoka..
Jamaa yako ukimbana kwenye hoja ukaenda kinyume na kile anachoamini yeye, anachofanya ni kukufukuza chamani na kukuita majina ya ajabu, hajioni alivyo dikteta, nashangaa hata nawe unaponiuliza tatizo lake kama vile huoni makosa yake mengi yaliyojaa humu!.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Hata sielewi unachoandika, naona wewe ndie unayetakiwa upumzike na unywe maji ujitafakari.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Nyie kwa kauli hizi za kumfanya Lissu zaidi ya M/Kiti, ni kumpambanisha Lissu na M/Kiti wake.Hoja yako imepita hakuna namna
CDM wanajielewa snNyie kwa kauli hizi za kumfanya Lissu zaidi ya M/Kiti, ni kumpambanisha Lissu na M/Kiti wake.
Nyie kwa kauli hizi za kumfanya Lissu zaidi ya M/Kiti, ni kumpambanisha Lissu na M/Kiti wake.
Muda muafaka sasa kwa Lissu for Top Job.
Nguzo kuu ya masikini ni matusi na UchawiChadema ni mbumbumbu
Lizu akaongoze wavaa pampas wenzake
Malofa nyie
LISSU kwangu namheshimu sana kisiasa, lakini Kwa hili la Wapalestina amechemka. Hili kilishasemwa na Mwenyezi Mungu kupitia manabii wake, kuwa Waisraeli walipewa nchi hiyo, walipomkaidi Mungu akasema atawatawanya, ikatokea wakapigwa na na. Alisema atawarejesha,alawarenesha baada ya kusota kwa makumi ya miaka wakifukuzwa kila mahali na kuuawa. Alisema wakirudi kwenye nchi yao,hakuna wa kuwatoa (Amos 9:15). Huu utabiri wa kwamba hakuna wa kuwatoa Tena kwenye nchi yao utatimia tu, hizi habari za kisiasa Wacha zikae kisiasa hazitabadili chochote kilichosemwa na Mwenyezi Mungu.Imeandikwa katika misahafu kuwa, Mungu hataliacha taifa lake.
View attachment 2845647
"The lord can't forget his people."
Kwa hakika katika zama hizi ni kupitia kwa mja wake TAL:
1. Tofauti na wote, TAL anao usomi, uelewa, uungwaji mkono, wafuasi, charisma, uthubutu, nk unaohitajika kulikomboa taifa hili.
2. TAL ni Nyerere, Mandela, Che Guevara, Castro, Gandhi, nk wa zama zetu.
3. TAL ni wa aina za kina Shivji, Ulimwengu, Kingunge, Chachage, Mtikila, Maalim Seif na wa namna hiyo; akiwaongelea Nyerere kama vijana jeuri wa zama zake alioota mno watanzania tuwe nao siku zote.
4. TAL ni wa aina ya kina Mwabukusi, Slaa, Ismail Jussa, Nshalla, Madeleka na wa namna hiyo wa zama hizi.
5. TAL si mbinafsi, si mnafiki, hamung'unyi maneno, ameelimika na anajua namna ya kuitendea haki elimu na ufahamu wake.
6. TAL ni hazina ya thamani mno, lulu au dhahabu safi kwa taifa hili.
7. Kina Mdude ni wa aina ya kina TAL wanaokosa elimu ya kutosha; elimu haina mwisho hawa ni hazina inayo hitaji nurturing ya akina Lissu, Slaa, Mwabukusi na wa namna hiyo; ukikaa na waridi nawe utanukia; kina Mdude watafika kwani hata mbuyu ulianza kama mchicha.
8. TAL apewe nafasi aionyooshe CHADEMA; tunahitaji mageuzi ya msingi ndani ya chama hiki pendwa, sasa!
9. Tatizo lililopo Tanzania lipo vyamani kote, lakini sisi nani kuwapa ushauri CCM, CUF, UDP au wa namna hiyo?
10. Ni upuuzi watanzania kukosa heshima au shukurani; kwani wapuuzi hata hawajui heshima wala inatokea wapi:
Mbowe, Lissu nidhamu inaporejea wafundeni wafuasi heshima
11. Ni upuuzi watanzania kukosa nidhamu kwani wasiokuwa na nidhamu hawajui hata umuhimu wake:
Mbowe, Lissu chukueni hatua kurejesha nidhamu kwenye chama
12. Ni ujinga uliopitiliza watanzania kutojua tofauti za vyama; kwanini vinatofautiana au hata vinasimamia nini:
Mbowe, Lissu wafundeni wafuasi Falsafa ya Chama
13. Combination hii ni ya kutafuta kwa udi na uvumba panapo majaliwa kuwa chini ya mwamvuli mmoja:
"TAL, Zitto, Jussa, Mwabukusi, Mdude, Nshalla, Slaa, Shivji, Ulimwengu, Kitila, Mpina, Madeleka, Kigaila, Maria Sarungi, askofu Mwamakula, askofu Bagonza, Father Kitime, Sheikh Ponda na wa namna hiyo."
14. #13 ni combination ya ushindi.
Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe.
Mungu umbariki TAL.
|||\\\\\\Malizia kabisa kuwa TAL ni Rais Mungu aliyetuahidi kwa ukombozi na kwamba atakayekiuka mpango wa Mungu atakufa tu! siyo utaniImeandikwa katika misahafu kuwa, Mungu hataliacha taifa lake.

|||\\\\\\Malizia kabisa kuwa TAL ni Rais Mungu aliyetuahidi kwa ukombozi na kwamba atakayekiuka mpango wa Mungu atakufa tu! siyo utani
LISSU kwangu namheshimu sana kisiasa, lakini Kwa hili la Wapalestina amechemka. Hili kilishasemwa na Mwenyezi Mungu kupitia manabii wake, kuwa Waisraeli walipewa nchi hiyo, walipomkaidi Mungu akasema atawatawanya, ikatokea wakapigwa na na. Alisema atawarejesha,alawarenesha baada ya kusota kwa makumi ya miaka wakifukuzwa kila mahali na kuuawa. Alisema wakirudi kwenye nchi yao,hakuna wa kuwatoa (Amos 9:15). Huu utabiri wa kwamba hakuna wa kuwatoa Tena kwenye nchi yao utatimia tu, hizi habari za kisiasa Wacha zikae kisiasa hazitabadili chochote kilichosemwa na Mwenyezi Mungu.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Aliyekuroga alishakufa na hata wazazi wako wanakusikitikia, nchi hii ina watu milion 60 nk bado akili yako anategemea lissu ,ni babaako, anakulisha?
Fulu Uenyekiti.