Lissu ni kibaraka, anatumiwa na mabeberu wanaotaka kuiba rasilimali za Tanzania

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hili kolo la Lumumba limekaririshwa thus limeweka phone no likumbukwe teuzi,litasubiri sana labda libadili kabila,raslimali zipi sasa watakazo wakose hali soko la kuzuia raslimali zetu tunawategemea wao ,huyo boss wake ataishi milele kuzilinda?zama zake zitapita atakuja mwingine atawapa Nyerere yuko wapi aendelee kuzilinda,
 
Magogoni pumzi inakata. Karibu tutaanza kuwatembelea ICU
Mtoa mada umechelewa
**punguza tabia za kujipendekeza utal$$&&waaaaa

Kama si msukuma asahau teuzi,MTU wa MBEYA na teuzi wapi na wapi kaweka na namba
 
Wewe umevurugwa vya kutosha yaani njaa naona imekupanda hadi kichwani kabisa
In God we Trust
 
Wachana naye huyo kwangu pakavu tia mchuzi njaa imempanda kichwani
In God we Trust
 
Wewe mpumbav umetokea wapi tena?Hizi ngonjera hazina mashiko tena kwa watu makini!
 
Kama ni kibaraka ni kibaraka mpumbavu na lofa. Nasema hivyo kwa kuwa kama Wakili msomi, mbunge wa muda mrefu, na anayetaka atambulike kama mwanasiasa maarufu, angetambua kuwa anaokena juha katika jumuiya ya wastaarabu. Km matokeo ya majadiliano ya Serikali na Barrick, ambayo amekuwa akibeza katika safari zake hizo, yamekuwa tofauti na vile anavyotaka jamii iamini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuunga mkono 100% Hatumtaki kibaraka hapa kwetu ila tatizo ni kwamba; Vibaraka halisi wamejaa kule mjengoni. Ni hao hao waliowafurumusha wabunge wenzao wa upinzani halafu haraka haraka wakapitisha kwa mbwembwe mikataba ya kifisadi na kinyonyaji inayotuyumbisha hadi leo. Vibaraka hao wa mabeberu wakaungana pamoja na kuwaruhusu hao mabeberu kujichotea rasilimali zetu na kwenda jilambia utamu wake huko ughaibuni.
Huwezi kutuambia kuwa Lissu anasema nini cha uongo huko anakozurura. Tumempa wenyewe nafasi hiyo kwani hakuna hata kimoja tumeweza kumpinga kwa point katika hayo anayoyanena. Mtanzania wa leo sio yule wa "Zidumu fikra sahihi". Mtanzania wa leo, japo hasemi lakini anaona wala hana haja kuwekewa maneno tena.
Kama mtu atasimama na kuandika maneno ya kumfurahisha mtu mwingine tu kuwa yupo kwenye raiti tiraki, huku anaona anapotea njia huoni huyo ndiye kibaraka?? Tusimpinge Lissu kwa maneno ya hadithi za kizee tu bali tumpinge kwa point zake.
Kamateni hata kichaa mseme ndiye anashukiwa kumpiga risasi. Mlipeni gharama zake za kujitibu, mpeni mishahara yake na uthibitisho wa ulinzi wake tuone kama ataendelea kuzurura.
Not that, pls tuachane naye ajizururishe hadi achoke bila sisi kumjibu
Pia, nashauri tuachane na maneno haya kuwa anatumika na mabeberu kwani yeye ndiye aliyesimama kidete kupinga mikataba hiyo ya kifisadi. Sasa leo, useme ati yeye ndiye anatumwa na mabeberu! Pathetic! Hao mabeberu mnawaona hawana akili au?? Kwa nini wamtumie mtu wa gharama wakati wanao waliowapigia chapuo??? Labda ungelituaminisha kuwa hao mabeberu ndio waliolambisha zile risasi lakini sio kwamba wao leo ndio wanamtuma. Tafuteni gea nyingine
 
Na ww pia ni kibaraka wa maguu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…