Kwanini mnapenda kuulizana maswali magumu 😄😄😄Unaogopa kulipiziwa kisasi kwani ww umemfanya nini?
Ashakanyagwa muda mrefu mbonaEndelea kujikanyaga, ukimaliza anza kukanyagana, angalia mwisho usije ukakanyagwa.
Alipe kisasi kwa nani?Hiyo ni danganya toto ili kuwaaminisha watanzania wenye hofu yakumnyima kura baada yakumstukia kuwa ni mtu anayetaka kulipiza kisasi hafai.