Lissu ni kibaraka, anatumiwa na mabeberu wanaotaka kuiba rasilimali za Tanzania

Lissu ni kibaraka, anatumiwa na mabeberu wanaotaka kuiba rasilimali za Tanzania

Bashiri buku 7+

Kazi mnayo. Ila muwapage na mrejesho:

Haki, uhuru na maendeleo ndiyo habari ya mjini.

Hatudanganyiki!
 
CCM walishauza nchi miaka mingi sana sasa tundu Lisu awe dalali kwa kipi hasa wakati CCM mlishauza kila kitu wee ni kichaa kabisa.
 
Tajiri Tanzanite,

Daaah kweli mataga mnatia huruma 😂😂😂😂

Kwa iyo unajiona umeandikaaaaaaa weweeee 😂😂😂😂

Na lazima mrukwe na akili sababu ya Lissu mwaka huu
 
Wapiga dili wa awamu hii mnateseka sana jifunzeni kulima mchicha pindi dili zikikoma Oktoba. Kwani mabeberu ndo walikuambieni mmpige risasi.

Mmwaga damu zetu anaemiliki kikundi cha wasiojulika anajulikana.Sisi si kisiwa huwezi kuwa na maendeleo bila kuliwa.
 
Tulikuambieni msizue mikutano ya siasa mkaweka pamba vumilieni sindano bado.
 
Pole sana, naona umejaza mambo ya mtaani kwenye jukwaa la wasomi na wajuvi wa mambo
 
Kwa akili zenu ndio mna muonyesha Bashiru kwamba mna mjibu Lissu? Mnachekesha kweli.
 
Mmeanza kuweweseka baada ya kugundua kwamba Meko na Fiesta yake ameshindwa kushawishi Watanzania.
 
Mbona huyo MTU ashakujulikana longi sana. Hatafanikiwa mkuu no worries Mungu yupo
 
Mh wale wezi wa Trillion 1.5 wenyewe wako kundi gani?

Na wale waliogawa madini yetu kwa kishika uchumba cha dola millioni Mia tatu nao tunawaweka kundi gani?
 
Mtamaliza propaganda zote mwaka huu dadeki!!! Na hapo ni siku 10 kumi tu za kampeni. Mpaka kampeni zinaisha lazima Ccm wote mrukwe akili kwa sababu ya Tundu Antiphas Lissu!!😂😂
 
Back
Top Bottom