Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Labda vizazi vya familia Yako isiyo na mwelekeo, hakuna kizazi makini kitamkumbuka huyo kibaraka wa wazungu.Bora Lissu atakumbukwa na vizazi vijavyo kama shujaa, sio nyie ambao Makamu wa Rais anafukuzwa kama mbwa mnabakia kucheka tu.