econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 25,522
- 40,795
- Thread starter
- #61
Sidhani. Vyuo vikuu ni vingi, wasomi ni wengi lakini ndio CCM inapata kura milioni 31 pamoja na uchafu wao wote( kama tume ilisema ukweli). Lazima tukubali watanzania ni watu watofauti.Watanzania wengi sio kwamba hawapendi siasa bali wana uelewa mdogo au duni sana kuhusu siasa za uwajibikaji na uongozi wa umma kwa ujumla
