Utatukana ila nikikutukana ,mama yako mzazi tumbo linamcheza
Zwazwa uyo kumpuuza tu✍️
Utatukana ila nikikutukana ,mama yako mzazi tumbo linamcheza
IPO siku Yatatimia!Napenda nitoe maoni yangu kuhusu Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Tundu Lissu. Kwangu namuona kama Kiongozi sahihi, lakini kwa nchi isiyo sahihi.
Nitafafanua kwanini nasema hivyo.
1. Lissu kama Kiongozi sahihi.
Mh. Lissu ni Kiongozi sahihi kwa sababu amejipambanua msimamo wake, tangu awali. Amekuwa mstari wa mbele kupigania haki tangu utawala wa Mkapa, utawala wa Kikwete, utawala wa Magufuli na kwa sasa utawala wa Samiah. Ni viongozi wachache huwa na msimamo usiyoyumba kwa kipindi kirefu cha miaka Zaidi ya ishirini na sita (26). Viongozi wengi huyumba misimamo ila Lissu amekuwa consistent.
Kwanini nasema Lissu ni Kiongozi sahihi?. Lissu amejipambanua kama Kiongozi asiyekata tamaa. Hii nisifa kubwa kwa Kiongozi ya kwamba usikate tamaa hata kama kifo kipo mlangoni Pako.
Kwa mfano, tangu amiminiwe risasi, afukuzwe ubunge, uchaguzi uharibiwe 2020 na Sasa kesi ya uhaini. Hajawahi kukata tamaa. Mwingine kwa zile risasi angekimbia nchi milele na wala asirudi. Au angekubali yaishe Moja kwa Moja akaenda CCM na kujisalimisha ili asiendelee kusumbuliwa.
Pia Lissu sio fisadi. Naamini Lissu angekuwa anajihusisha na ufisadi au biashara, serikali ingeingia kati ili kumlipua mbele ya umma. Hivyo ni Kiongozi msafi na Hana doa sifa ambayo viongozi wengi Tanzania wamekosa.
Hivyo, Lissu anastahili sana kuwa Kiongozi wa Taifa la Tanzania maana amekuwa na msimamo usio yumba, sio fisadi na anahimili changamoto zozote dhidi yake.
2. Nchi isiyo sahihi
Pamoja na Lissu kuwa Kiongozi sahihi lakini changamoto ni kwamba yupo kwenye nchi isiyo sahihi. Naona Tanzania kama nchi isiyo sahihi kwa Lissu kuwa Kiongozi wake.
Kwanza, Tanzania inapenda viongozi wanafiki na waongo. Ukiwa mkweli unakuwa adui wa umma. Sasa Lissu ni mkweli hivyo ukweli wake unachukiza watu wengi wakiwemo viongozi na wananchi kwa ujumla. Kwa mfano, Lissu kasema mfumo wa uchaguzi ni mbovu tangu zamani na kudai kama mfumo hautabadilishwa atakinukisha. Kwa kauli hiyo kapewa kesi ya uhaini.
Pili, Tanzania haina mfumo bora wa uchaguzi. Kutokana na mfumo wetu wa uchaguzi kupata viongozi wazuri ni kazi sana. Mfumo wetu unaruhusu viongozi wenye pesa, Mafisadi, connection, undugu, uccm kupata nafasi za uongozi. Hivyo mtu kama Lissu ambaye sio fisadi, hana connection, sio CCM , hajajilimbikizia mali , mfumo wa uchaguzi wa Tanzania utamptapika.
Tatu, Tanzania ina wananchi ambao hawana interest na mambo ya siasa. Watanzania kwa ujumla wao wana interest na mambo ya dini, mpira na muziki. Hivyo vitu vitatu ndivyo vinapata sana uungwaji mkono Tanzania. Hivyo wengi wanaweza kuona harakati za kisiasa za Lissu hazina maana kwao. Watanzania hawajali kile ambacho Lissu anakipigania maana sio interest yao. Hii ingekuwa tofauti kama Lissu angekuwa Ghana, South Africa, Kenya, Marekani etc,
Nne, Tanzania imemtesa sana Lissu. Tangu aanze harakati za siasa na kupigania haki ni mateso juu ya mateso. Fikiria amepigwa risasi Tanzania, akiwa kwenye matibabu akafukuzwa ubunge, akiwa nje ya bunge hakulipwa stahiki zake, na hata aliporudi kugombea urais alifanyiwa vitimbi ikiwemo uchaguzi wa 2020 kuporwa kabisa. Na kwa Sasa ana kesi ya uhaini ambayo mwisho wa siku akipatikana na hatia atangongwa hadi kufa.
Nihitimishe kwa kusema kama ilivyokuwa kwa Patrice Lumumba wa DRC, Lissu ni Kiongozi sahihi kuongoza taifa la Tanzania ila nchi ya Tanzania sio nchi sahihi kwake kupata uongozi.
Mpaka uwe na Akili na HEKIMA, vinginevyo kwako, hapana asubuhi!Hakuna kiongozi wa hovyo kama huyo
Tumia Akili!Wanasiasa ni wale wale , angeenda tu kugombea Belgium ..
Kweli nyani haoni...le!Zwazwa uyo kumpuuza tu✍️
Sawa, hongera nyie mlizonazo. Tunashuhudia jinsi mnavyoijenga duniaMpaka uwe na Akili na HEKIMA, vinginevyo kwako, hapana asubuhi!
Wajukuu wakukumbuke Kwa Akili na HEKIMA,sio kuunga mkono vitu vya Ovyo!Sawa, hongera nyie mlizonazo. Tunashuhudia jinsi mnavyoijenga dunia
Sawasawa. Naona mwenzangu umeshajiandaa: wako watakukumbuka kwa kumuunga mkono lissu anayeungwa mkono na wazungu wanaoupigania ushoga, au sio?Wajukuu wakukumbuke Kwa Akili na HEKIMA,sio kuunga mkono vitu vya Ovyo!
Ya ushoga ya kwako, ushoga upo Toka enzi za Musa!Uovu uitwe Uovu Kwa jina lake na ukweli uitwe ukweli Kwa jina lake!Hii Ndio Akili na HEKIMA!Hsifundishwi shuleni ni Wewe tuu na Mungu wako!Sawasawa. Naona mwenzangu umeshajiandaa: wako watakukumbuka kwa kumuunga mkono lissu anayeungwa mkono na wazungu wanaoupigania ushoga, au sio?
Kama Kiongozi anapimwa kwa kumiminiw risasi basi Mwl. Nyerere na Mzee Nelson Mandela hawakuwa viongozi sahihi.Napenda nitoe maoni yangu kuhusu Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Tundu Lissu. Kwangu namuona kama Kiongozi sahihi, lakini kwa nchi isiyo sahihi.
Nitafafanua kwanini nasema hivyo.
1. Lissu kama Kiongozi sahihi.
Mh. Lissu ni Kiongozi sahihi kwa sababu amejipambanua msimamo wake, tangu awali. Amekuwa mstari wa mbele kupigania haki tangu utawala wa Mkapa, utawala wa Kikwete, utawala wa Magufuli na kwa sasa utawala wa Samiah. Ni viongozi wachache huwa na msimamo usiyoyumba kwa kipindi kirefu cha miaka Zaidi ya ishirini na sita (26). Viongozi wengi huyumba misimamo ila Lissu amekuwa consistent.
Kwanini nasema Lissu ni Kiongozi sahihi?. Lissu amejipambanua kama Kiongozi asiyekata tamaa. Hii nisifa kubwa kwa Kiongozi ya kwamba usikate tamaa hata kama kifo kipo mlangoni Pako.
Kwa mfano, tangu amiminiwe risasi, afukuzwe ubunge, uchaguzi uharibiwe 2020 na Sasa kesi ya uhaini. Hajawahi kukata tamaa. Mwingine kwa zile risasi angekimbia nchi milele na wala asirudi. Au angekubali yaishe Moja kwa Moja akaenda CCM na kujisalimisha ili asiendelee kusumbuliwa.
Pia Lissu sio fisadi. Naamini Lissu angekuwa anajihusisha na ufisadi au biashara, serikali ingeingia kati ili kumlipua mbele ya umma. Hivyo ni Kiongozi msafi na Hana doa sifa ambayo viongozi wengi Tanzania wamekosa.
Hivyo, Lissu anastahili sana kuwa Kiongozi wa Taifa la Tanzania maana amekuwa na msimamo usio yumba, sio fisadi na anahimili changamoto zozote dhidi yake.
2. Nchi isiyo sahihi
Pamoja na Lissu kuwa Kiongozi sahihi lakini changamoto ni kwamba yupo kwenye nchi isiyo sahihi. Naona Tanzania kama nchi isiyo sahihi kwa Lissu kuwa Kiongozi wake.
Kwanza, Tanzania inapenda viongozi wanafiki na waongo. Ukiwa mkweli unakuwa adui wa umma. Sasa Lissu ni mkweli hivyo ukweli wake unachukiza watu wengi wakiwemo viongozi na wananchi kwa ujumla. Kwa mfano, Lissu kasema mfumo wa uchaguzi ni mbovu tangu zamani na kudai kama mfumo hautabadilishwa atakinukisha. Kwa kauli hiyo kapewa kesi ya uhaini.
Pili, Tanzania haina mfumo bora wa uchaguzi. Kutokana na mfumo wetu wa uchaguzi kupata viongozi wazuri ni kazi sana. Mfumo wetu unaruhusu viongozi wenye pesa, Mafisadi, connection, undugu, uccm kupata nafasi za uongozi. Hivyo mtu kama Lissu ambaye sio fisadi, hana connection, sio CCM , hajajilimbikizia mali , mfumo wa uchaguzi wa Tanzania utamptapika.
Tatu, Tanzania ina wananchi ambao hawana interest na mambo ya siasa. Watanzania kwa ujumla wao wana interest na mambo ya dini, mpira na muziki. Hivyo vitu vitatu ndivyo vinapata sana uungwaji mkono Tanzania. Hivyo wengi wanaweza kuona harakati za kisiasa za Lissu hazina maana kwao. Watanzania hawajali kile ambacho Lissu anakipigania maana sio interest yao. Hii ingekuwa tofauti kama Lissu angekuwa Ghana, South Africa, Kenya, Marekani etc,
Nne, Tanzania imemtesa sana Lissu. Tangu aanze harakati za siasa na kupigania haki ni mateso juu ya mateso. Fikiria amepigwa risasi Tanzania, akiwa kwenye matibabu akafukuzwa ubunge, akiwa nje ya bunge hakulipwa stahiki zake, na hata aliporudi kugombea urais alifanyiwa vitimbi ikiwemo uchaguzi wa 2020 kuporwa kabisa. Na kwa Sasa ana kesi ya uhaini ambayo mwisho wa siku akipatikana na hatia atangongwa hadi kufa.
Nihitimishe kwa kusema kama ilivyokuwa kwa Patrice Lumumba wa DRC, Lissu ni Kiongozi sahihi kuongoza taifa la Tanzania ila nchi ya Tanzania sio nchi sahihi kwake kupata uongozi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kama Kiongozi anapimwa kwa kumiminiw risasi basi Mwl. Nyerere na Mzee Nelson Mandela hawakuwa viongozi sahihi.
Wacha uongo,Lisu huyu huyu aliemkaribisha na kumpigia kampeni Lowasa ndio ana msimamo? Angeondoka Chadema kama Slaa alivyofanya, ndio tungeamini ana msimamo.
Umeongea ukweli ila nadhani nature tu ingeleta mtu aina ya Lissu maana hiii cycle ya CCM kushinda 99% bunge na urais, ufisadi usioisha, mauaji n.k yangeendelea mpaka lini? Ilitakiwa atokee mtu jasiri wa kujitoa ufahamu kupambana nao head to head mpaka warudi mezani kubadili katiba na mambo mengine.Nihitimishe kwa kusema kama ilivyokuwa kwa Patrice Lumumba wa DRC, Lissu ni Kiongozi sahihi kuongoza taifa la Tanzania ila nchi ya Tanzania sio nchi sahihi kwake kupata uongozi
Inasikitisha sanaNne, Tanzania imemtesa sana Lissu. Tangu aanze harakati za siasa na kupigania haki ni mateso juu ya mateso. Fikiria amepigwa risasi Tanzania, akiwa kwenye matibabu akafukuzwa ubunge, akiwa nje ya bunge hakulipwa stahiki zake, na hata aliporudi kugombea urais alifanyiwa vitimbi ikiwemo uchaguzi wa 2020 kuporwa kabisa. Na kwa Sasa ana kesi ya uhaini ambayo mwisho wa siku akipatikana na hatia atangongwa hadi kufa.
Nimesema kwa context ya Lissu sio kwa context ya baraka ya mito na maziwa yaliyopo Tanzania.Mimi sikubaliani na wewe kwamba Tanzania siyo nchi sahihi. Kutokuwa sahihi labda CCM ndo siyo sahihi lakini Tanzania ni nchi sahihi na imebarikiwa Sana ukiachana na hao wanyonya damu na wauaji wa watanganyika.
Na huu ndio ukweli wenyewe.Huu ndio uhalisia, nimechelewa kujua wananchi wa Tz wanapenda CCM ila hawapendi nani anayeongoza. Wanapenda ufisadi ila hawapendi mtu fulani kuwa mnufaika wa ufisadi. Wanapenda mauaji ila hawapendi fulani akiua.
Hawapendi watu wenye akili timamu na wasafi, wapenda haki kama Lissu. Lissu yupo bahati mbaya kwenye hii nchi