D Dr wa Manesi JF-Expert Member Joined Aug 19, 2024 Posts 6,479 Reaction score 4,974 Sep 24, 2026 #101 econonist said: Bora Lissu atakumbukwa na vizazi vijavyo kama shujaa, sio nyie ambao Makamu wa Rais anafukuzwa kama mbwa mnabakia kucheka tu. Click to expand... Labda vizazi vya familia Yako isiyo na mwelekeo, hakuna kizazi makini kitamkumbuka huyo kibaraka wa wazungu.
econonist said: Bora Lissu atakumbukwa na vizazi vijavyo kama shujaa, sio nyie ambao Makamu wa Rais anafukuzwa kama mbwa mnabakia kucheka tu. Click to expand... Labda vizazi vya familia Yako isiyo na mwelekeo, hakuna kizazi makini kitamkumbuka huyo kibaraka wa wazungu.
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 43,349 Reaction score 104,110 Sep 24, 2026 #102 econonist said: Kweli kabisa. Atafute nchi aombe uraia akaishi na familia yake. Awaachie watanzania wahangaike na watu wasiojulikana, wapinzania madalali na bunge lililojaa machawa. Click to expand... Wazungu watuongezee na gunia la virus tufe wote..!! Kizaliwe kizazi kipya kinachojielewa..!
econonist said: Kweli kabisa. Atafute nchi aombe uraia akaishi na familia yake. Awaachie watanzania wahangaike na watu wasiojulikana, wapinzania madalali na bunge lililojaa machawa. Click to expand... Wazungu watuongezee na gunia la virus tufe wote..!! Kizaliwe kizazi kipya kinachojielewa..!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Sep 27, 2026 #103 Inasikitisha sana, muda huongea... Cc: Mahondaw