Lissu ni kirusi kibaya ndani ya CHADEMA. Wana CHADEMA tokeni usingizini, Lissu anakwenda CCM

..Mbowe amekitoa chama mbali.

..lakini huenda naye amechoka na hizi harakati.

..umri na uchovu ndio sababu zinazonifanya niamini ni vizuri Chadema wakapata Mwenyekiti mpya.
Ningependa John Heche awe mwenyekiti, hata mimi pia nina wasiwasi na Lissu.
 
Lissu anapigania maswala sio vitu kama pesa, anaamini katika demokrasia chini ya tume huru ya uchaguzi, msigwa anadandiadandia tu
Ni kweli, naona dalili ya kuifufua ile Chadema ya Mwaka 2005 hadi 2015

Ilikuwa makini sana
 
Kwa hiyo tofauti ni Mbowe kakaa miaka mingi ila Tundu Lissu ni mpinzani wa kweli kwa maneno na kwa vitendo. Na kwa sababu hiyo Tundu Lissu akikaa muda mrefu ni sawa tu!
 

Most likely...

Hata hivyo, nadhani pia kuwa, na majira na nyakati za mtindo wa uongozi wake umepita na amefanya kazi kubwa na nzuri sana kwa miaka zaidi ya 20 ya uongozi wake na kuziweka CHADEMA katika ramani za siasa za dunia. Freeman Mbowe anastahili maua yake...

However, It's now high time awaachie wengine waje na mbinu na mikakati mipya ya kukipeleka chama mbele zaidi katika majira na nyakati hizi za mtindo mpya wa siasa za Tanganyika..

Hotuba ya Tundu Lissu Jana ilisema na kutoa Nuru mpya kabisa. Ili address kila kitu

Bila shaka Tundu Lissu atakuwa Mwenyekiti bora sana sawasawa na alivyokuwa Freeman Mbowe na pengine kumzidi na tunataka iwe hivyo....

Uongozi wa Freeman Mbowe ni muda tu. Otherwise huyu Bwana ni mmoja wa wenyeviti wa CHADEMA aliyefanya kazi kubwa sana kukiongoza chama kukua na kuwa chama shindani kwelikweli na CCM...

Amefanya kazi kubwa sana na nzuri kabisa. Sasa anastahili kupumzika na kuwa mshauri mkuu wa chama...
 
Mbowe amekuwa mwenyekiti tangu 2006. Bila shaka umeanza shule ukiwa mtu mzima eti!!
 
Nakubaliana na wewe kwa %💯.
 
Una mu underate sana Lissu, bora hata ungesema ACT au arudi NCCR. Ila ukae ukijua Lissu ndiye Mwenyekiti wa Chadema ajaye, John Heche Katibu Mkuu, na anayo tayari kura ya Freeman Mbowe.
Siwezo kupingana na mawazo yako mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…