Uchaguzi 2020 Lissu: Ni kweli nina tiketi ya ndege kwenda Ubelgiji 18 Desemba 2020

Asilimia 95 ya watu wanapohitimu miaka 50 lazima wanaanza kuwa na maradhi fulani mwilini ambayo wanaweza kugundua au wasigundue, mwisho wa siku ndio yatapelekea vifo vyao kwa miaka ya mbeleni.

Kuna tetesi kwamba rais Magufuli anasaidiwa na kidhibiti mapigo ya moyo maarufu kama "Pacemaker" aliyowekewa huko ughaibuni baada ya kulishwa sumu kufuatia kubomolea watu nyumba zao alipokuwa waziri.

All in all, hakuna binadamu mzima kwa asilimia mia moja na ndio maana hakuna ajuaye ni lini anaweza kuondoka ktk dunia hii.

Nakumbuka kuelekea kwenye kampeni za mwaka 2015, Selina Kombani (Rip) alimkejeli Lowassa kuwa ikulu hakuna wodi ya kuuguza wagonjwa na leo hii Lowassa bado yuko hai lakini ni Selina Kombani ambaye hayupo duniani, hivyo ndivyo Mungu alivyo.

Jana Tundu Lissu aliweka wazi kuwa ni Magufuli ndiye aliyetoa amri wasiojulikana wakamuue!! Huenda sio miaka mingi Tundu Lissu akahudhuria mazishi ya Magufuli tofauti na labda Magufuli alivyokuwa akifikiria, kama mwanadamu.

Mungu ni wa ajabu sana na hakuna anayejua criteria wala principals anazotumia ktk utendaji wake wa kazi.

Kuna rais moja wa Marekani aliyeitwa Franklin Delano Roosevelt (Rip), huyu bwana nafikiri ndiye rais aliyeongoza hilo taifa kwa muda mrefu, miaka 12 lkn sehemu kubwa ya urais wake alitumikia akiwa kwenye Wheelchair baada ya kupooza miguu lkn watu bado walimpa kura, (Jadili).

God is very ambiguous and rather unpredictable, whatever he does whether good or bad for anyone he doesn't care but he remains God.
 
Habari za kishamba Kama hizi ndo huwa sipendi hata kuziona
 
Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema ni kweli ana tiketi ya ndege ya kuondoka nchini kwenda Ubelgiji Desemba 18, 2020.

Amesema hayo kumjibu mgombea wa urais kupitia CCM, Dkt. John Magufuli ambaye alisema ana taarifa kuna baadhi ya wagombea wana tiketi za ndege ili wakimbie wakisababisha fujo nchini.

Lissu amesema ataenda kutokana na matatizo ya kiafya aliyoyapata baada ya kupigwa risasi mwaka 2017. Ambapo daktari wake amemuambia Desemba 20 arudi Ubelgiji ili aangalie maendeleo yake.

Amewaambia Wananchi wa Lindi kuwa, kwanza alipigwa kwa amri ya Rais na kama kukimbia angekimbia alipopigwa risasi hawezi kukimbia wakati huu.

Sasa umetwanga Risasi Hujawapeleka HUKO THE HEGUE utaweza wapelekaa Wakikuchapa kwenye uchaguziii, We Jamaa Unatupigia Kelele tu Subili Mpini ukuingie.
 
Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa Watanzania hawawezi kumchagua Mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji Mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Unafikiri kwa kutumia nn ?tumia akili mzee
 
Habari wakuu, na hasa wote mnaofuatilia uzi huu.

Binafsi, nimefurahishwa na mwitikio mliouomyesha kujibu post namba mbili ya uzi huu ambayo nimeiweka. Kwa mara ya kwanza tangu nijiunge JF, sijawahi kuweka bandiko hapa likapata attention kubwa namna hii (zaidi ya alert 76) tena kwa muda mfupi. Hii imenifurahisha sana.

Hata hivyo nitumie post hii hapa, kuwatoa wasiwasi wale wote ambao hawakubaliani na maelezo yaliyokwenye post yangu ambayo ni namba mbili kwenye uzi huu. Wakuu, mnaopinga maelezo ya post hiyo muwe na amani kabisa kuelezwa ukweli kuwa Lissu bado hajapona na anaumwa! Haya maelezo kayasema mwenyewe mgonjwa Lissu kwa watanzania wote.

Kiutaratibu, hakuna anayeruhusiwa kutangaza afya ya mwanzake bila ridhaa ya muhusika. Katika hili Lissu katoa ridhaa ya sisi watanzania kuelezana kuwa mpaka sasa Lissu si timamu kiafya hivyo tutumie busara katika maamuzi yetu hiyo tarehe 28/10/2020 kwa kutomchagua. Lissu katumia tafsida ya maneno ya kiswahili ili asiwaudhi wale wote waliomchagua kuwa mwakilishi wao katika uchaguzi huu na wale wang'ambo wanaompigia upatu!

Lissu ni muungwana sana kaamua atuweleze mapema sisi wapiga kula tusimchague maana afya yake haiwezi kuhimili mikikimiki ya nafasi ya kuwa rais. Lissu kaona kabisa itakuwa aibu kuchaguliwa yeye hata Ikulu hajakaa sawa na kuweka mipango binafsi ya uendeshaji nchi ndani ya muda mfupi eti sasa akalazwe wodini. Kwa hili, nampongeza Lissu.

Wagombea wengine wametudhibitishia kuwa wako salama na timamu kiafya kuendesha nchi katika nafasi ya urais. Kwa sababu mpaka sasa hawajatueleza kuwa wana matatizo ya kiafya. Kwa hiyo, ni vyema tumpigie kura mtanzania mwenzetu ambaye siyo Lissu kura ya kuwa rais. Mtanzania huyo kwa miaka mitano iliyopita ameirudishia heshima kubwa nchi yetu kwa majirani zetu na duniani kwa ujumla. Kwa hiyo apewe miaka mingine mitano kuimarisha heshima ya Tanzania na kutoa furusa sawa kwa watanzania wote katika nyanja zote za kimaendeleo.

Mungu ibariki Tanzania,
Mungu ibariki Afrika.
 
Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa Watanzania hawawezi kumchagua Mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji Mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.

Haa haa haa..we jamaa acha kufuru..

Hujafa hujaumbika eti..

Si ajabu hata wewe hapo ulipo ni mgonjwa..

Na hata hujui kuwa, kina Magufuli, kina Ndugai na viongozi wengi wengine hapo walipo ni wagonjwa lakini hawanyanyapaliwi kwa kauli ama matendo..

Unaweza jiona mzima wa mwili (physically fit) lakini roho na nafsi yako inaugua ugonjwa wa kufisha..

Na kumbuka, ni bora mara milioni uwe mzima wa afya kiroho kuliko kujivunia uzima wa mwili maana roho ikiwa salama, automatic mwili unakuwa mzima...!

Point yangu ni hii, MPENDE JIRANI KAMA UNAVYOIPENDA NAFSI YAKO....acha kutumia mdomo wako kukufuru maana utaiponza nafsi yako...!!
 
Kila mgombea ana ugonjwa wake. Nani ni mzima 100% tumia akili jombaa usikae na kichwa.!
Ukiona mtu anajitangaza hadharani kuwa ni mgonjwa tena katika kipindi cha kuwania madaraka ya kuongoza nchi ujue hali imekuwa tete. Hakuna mtu anapenda kujitanga kuwa afya yake ina mgogoro hadharani wakati huu hasa kwa Lissu mwenyewe. Maana kufanya hivyo ni kudhibitisha umma kuwa huna uwezo wa kukeleza majukumu yako. Katika zama hizi za maendeleo ya kiuchumi ambapo nchi zinazoendelea zinataka kujitegemea kiuchumi itakuwa ni kukosa hekima kumchagua mgombea ambaye hatatimiza majukumunyake sawa sawa. Bahati nzuri Watanzania wote wana hekima hata wale wa chama Lissu. Kwa hiyo watatumia kujitangaza kwa Lissu kuwa anaumwa kwa kutompigia kura. Bila ushabiki hata wewe ungepata kigugumizi kutangaza hadharani kuyumba afya yako nyakati hizi.

Kwa maelezo haya huna budi kujipima ni namna gani unazitumia akili zako ulizojaaliwa na Mwenyezi Mungu kabla ya kutilia shaka matumizi yaa akili za mwenzako.
 
Haa haa haa..we jamaa acha kufuru..

Hujafa hujaumbika eti..

Si ajabu hata wewe hapo ulipo ni mgonjwa..

Na hata hujui kuwa, kina Magufuli, kina Ndugai na viongozi wengi wengine hapo walipo ni wagonjwa lakini hawanyanyapaliwi kwa kauli ama matendo..

Unaweza jiona mzima wa mwili (physically fit) lakini roho na nafsi yako inaugua ugonjwa wa kufisha..

Na kumbuka, ni bora mara milioni uwe mzima wa afya kiroho kuliko kujivunia uzima wa mwili maana roho ikiwa salama, automatic mwili unakuwa mzima...!

Point yangu ni hii, MPENDE JIRANI KAMA UNAVYOIPENDA NAFSI YAKO....acha kutumia mdomo wako kukufuru maana utaiponza nafsi yako...!!
Rejea post namba 201 ya uzi huu. Lissu hajanyanyapaliwa hata kidogo! Ebu pitia tena post namba 199 ya uzi huu upate ufafanuzi zaidi.
 
Hujawahi kwenda hospitali wakati unaruhusiwa ukapewa siku nyingine ya kuonwa? Hebu acheni Watanzania wachague kiongozi wanayemtaka.
Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa Watanzania hawawezi kumchagua Mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji Mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
 
Magu ni msemakweli! Kama asingesema kuna mgombea ana tiket tusingejua..
 
Habari wakuu, na hasa wote mnaofuatilia uzi huu.

Binafsi, nimefurahishwa na mwitikio mliouomyesha kujibu post namba mbili ya uzi huu ambayo nimeiweka. Kwa mara ya kwanza tangu nijiunge JF, sijawahi kuweka bandiko hapa likapata attention kubwa namna hii (zaidi ya alert 76) tena kwa muda mfupi. Hii imenifurahisha sana.

Hata hivyo nitumie post hii hapa, kuwatoa wasiwasi wale wote ambao hawakubaliani na maelezo yaliyokwenye post yangu ambayo ni namba mbili kwenye uzi huu. Wakuu, mnaopinga maelezo ya post hiyo muwe na amani kabisa kuelezwa ukweli kuwa Lissu bado hajapona na anaumwa! Haya maelezo kayasema mwenyewe mgonjwa Lissu kwa watanzania wote.

Kiutaratibu, hakuna anayeruhusiwa kutangaza afya ya mwanzake bila ridhaa ya muhusika. Katika hili Lissu katoa ridhaa ya sisi watanzania kuelezana kuwa mpaka sasa Lissu si timamu kiafya hivyo tutumie busara katika maamuzi yetu hiyo tarehe 28/10/2020 kwa kutomchagua. Lissu katumia tafsida ya maneno ya kiswahili ili asiwaudhi wale wote waliomchagua kuwa mwakilishi wao katika uchaguzi huu na wale wang'ambo wanaompigia upatu!

Lissu ni muungwana sana kaamua atuweleze mapema sisi wapiga kula tusimchague maana afya yake haiwezi kuhimili mikikimiki ya nafasi ya kuwa rais. Lissu kaona kabisa itakuwa aibu kuchaguliwa yeye hata Ikulu hajakaa sawa na kuweka mipango binafsi ya uendeshaji nchi ndani ya muda mfupi eti sasa akalazwe wodini. Kwa hili, nampongeza Lissu.

Wagombea wengine wametudhibitishia kuwa wako salama na timamu kiafya kuendesha nchi katika nafasi ya urais. Kwa sababu mpaka sasa hawajatueleza kuwa wana matatizo ya kiafya. Kwa hiyo, ni vyema tumpigie kura mtanzania mwenzetu ambaye siyo Lissu kura ya kuwa rais. Mtanzania huyo kwa miaka mitano iliyopita ameirudishia heshima kubwa nchi yetu kwa majirani zetu na duniani kwa ujumla. Kwa hiyo apewe miaka mingine mitano kuimarisha heshima ya Tanzania na kutoa furusa sawa kwa watanzania wote katika nyanja zote za kimaendeleo.

Mungu ibariki Tanzania,
Mungu ibariki Afrika.
Utetezi wako bado ni dhaifu, hautoshi..

Soma post yangu namba #200

Shida yako ni moja, kuwa mantiki (logic) ya hoja ndiyo msingi wa kushambuliwa kwako..

Unataka mtu yeyote aliye mgonjwa anyanyapaliwe kwa kutopewa haki ya kuajiriwa kufanya kazi ukitoa reference ya Tundu Lissu. Hili ndilo tatizo lako..

Mimi nikakuambia hata Magufuli hapo alipo ni mgonjwa..

Hata wewe ulipo hapo ni mgonjwa..

Je, ukose au unyimwe haki yako kwa sababu u mgonjwa wa ugonjwa fulani..??

By the way umesikiliza hiyo video clip ya maelezo ya TL mwanzo mwisho?

Amesema bila kupepesa macho kuwa, sababu yeye kwenda kuchekiwa maendeleo ya afya yake tarehe 18/12/2020 ni Rais Magufuli mwenyewe kukodi majambazi na kuwatuma kwenda kumpiga risasi Tundu Lissu kwa lengo la kumuua..!!

Akasema, isingekuwa roho ya uuaji iliyomo ndani ya Magufuli, obviously Tundu Lissu angekuwa mzima wa afya leo wala kusingekuwa na safari za Ubelgiji kwa ajili ya matibabu..!!

Hizi ni tuhuma mbaya sana kwa Rais John Pombe Magufuli...

Ya kwamba kumbe tuna Rais muuaji wa raia wake wanaomkosoa, au siyo...????
 
Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa Watanzania hawawezi kumchagua Mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji Mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Mbona kuna mtu anakarabatiwa kila siku?

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
.....wew ulikuwepo marekani kipind iyo 1932" unajuwa sela alizotumia mpaka akawa raisi je unajuwa Marekan ilikuwa katika kipindi gani??" Je Tanzania nayo ipo katika kipind iko iko" sisi hatutak wanasias tunatka Actio Mkuu na sias ndio iliifanya Anguko kuu la Marekan kutokea lakn alipoingia man of action mambo yalienda" sisi hatuwaz Mkuu ilihali tunachokitak kinafanyika rais ata Kama awe mgonjwa wa hakili hatuna shida kbhxa"...
Issue hapa ni kuhusu yule aliesema Lissu hafai kuwa Raisi kwa sababu anatakiwa kwenda for check up, hivyo akaconclude kwamba Lissu ni mgomjwa hataiweza kazi ya raisi. Nilimjibu yeye kwa kumpa mfano wa huyo raisi wa marekani. issue unazoleta wewe ni nje ya mada ile. By the way katiba yetu hairuhsu raisi ambaye ni mgonjwa wa akili.
 
yeyote aliye mgonjwa
Mkuu tuanzie hapa kwanza. Tuelezane ukweli maana halisi ya maneno 'Ugonjwa' na 'mtu mgonjwa'. Kunauwezekano, tunapisha tafsiri sahihi ya maneno haya. Anza mkuu, unaelewaje hayo maneno niliyowekea alama hizi ' '.
 
Hujawahi kwenda hospitali wakati unaruhusiwa ukapewa siku nyingine ya kuonwa? Hebu acheni Watanzania wachague kiongozi wanayemtaka.
Mkuu, posti yangu inafafanua hali halisi ili kuwasaidia wapiga kura kufanya maamuzi sahihi wakiwa na taarifa sahihi. Voters, who are well informed of capabilities of aspirants in this coming general election.
 
Mgombea urais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema ni kweli ana tiketi ya ndege ya kuondoka nchini kwenda Ubelgiji Desemba 18, 2020.

Amesema hayo kumjibu mgombea wa urais kupitia CCM, Dkt. John Magufuli ambaye alisema ana taarifa kuna baadhi ya wagombea wana tiketi za ndege ili wakimbie wakisababisha fujo nchini.

Lissu amesema ataenda kutokana na matatizo ya kiafya aliyoyapata baada ya kupigwa risasi mwaka 2017. Ambapo daktari wake amemuambia Desemba 20 arudi Ubelgiji ili aangalie maendeleo yake.

Amewaambia Wananchi wa Lindi kuwa, kwanza alipigwa kwa amri ya Rais na kama kukimbia angekimbia alipopigwa risasi hawezi kukimbia wakati huu.

Muongo huyo

MUONGO HUYO! Alipigwa risasi 16 za NDEGE na wenzake ndani ya chama chao kama sehemu ya kugombea madaraka ya UENYEKITI na pia kama njia ya kumfanya aende Ulaya kupanga huu mkakati wa kuja kuvuruga nchi, kwani ilikuwa vigumu sana kuyapanga haya wakati akiwa Bungeni , akiendelea na Ubunge wake; kwani asingeweza kutoka kwa muda mrefu waliokuwa wakihitaji hao mabeberu kwa ajili ya "kumtengeneza na kumtayarisha" kwa kuvuruga uchaguzi wetu. Pia walihitaji muda wa kutosha kwa ajili ya kumwekea vyuma na vifaa vya mawasiliano mwilini mwake, kumhakikishia pesa za uchaguzi, pesa za kuishi yeye na familia yake na pia makazi mapya baada ya kukamilisha MISHENI yake hapa nchini. Misheni ambayo IMEMSHINDA.
Na siku za nyuma tuliwambia kuwa mwenzenu anayo makazi Ubelgiji, mkatutukana humu JF lakini leo Lissu kategua hicho kitendawili. HALAFU nauliza kweli Serikali inaweza kumpiga mtu risasi namna hiyo ILI IWEJE? Sielewi naomba ufafanuzi wa hili jamani.
 
Mmepa ulemavu kiumbe wa Mungu ambaye alizaliwa akiwa mzima kabisa. Halafu hao hao mnajaribu kucheka ulemavu wake! Mungu anawaona na "unyenyekevu" na "ibada" zenu feki.
Mkuu, posti yangu inafafanua hali halisi ili kuwasaidia wapiga kura kufanya maamuzi sahihi wakiwa na taarifa sahihi. Voters, who are well informed of capabilities of aspirants in this coming general election.
 
Mkuu tuanzie hapa kwanza. Tuelezane ukweli maana halisi na maneno 'Ugonjwa' na 'mtu mgonjwa'. Kunauwezekano, tunapisha tafsiri sahihi ya maneno haya. Anza mkuu, unaelewaje hayo maneno niliyowekea alama hizi ' '.

Wewe ndiye umeyatumia ktk hoja yako..

Anza wewe kujieleza umeyatumia katika context gani?

Ulikuwa na maana gani kusema "kumbe huyu ni mgonjwa, hajapona?"

Ndiyo. Sema wewe kwanza. Maana inawezekana umezua mjadala tu usio na maana kumbe wewe ulikuwa na maana nyingine nzuri tu..
 
Labda Rais wa TPBO Yassin Ustadhi au yule Rais wa vijana Bwana Nyosh El Sadat.

Amri jeshi Mkuu hawezi kuamrisha mtu apigwe shaba halafu akaishia kupapaswa nyonga na hips tu,amuulize J.Khashoggi anaujua mziki wake au mahasimu wa PK.

Of all hitmen waende unprofessional wa kutumia risasi 38 huku mtu mwenyewe kaning'iniza gololi tu hana hata manati?[emoji16]!
Sijui akili zenu uwa mnaweka wapi!! Maisha yetu yapo mikononi mwa Mwenyezi MUNGU,mtafanya vibwanga vyote, lakini MUNGU kama hajaruhusu ni kazi bure hata mtumie wale navy seal. Mwenyezi MUNGU akiamua jambo lake unaweza ukawa mzima kabisa umekaa unafurahia maisha, muda huo huo pumzi yako ikakata!! Tusifurahie mateso ya binadamu mwenzetu maana hata mkidhulumu uhai wake hautaongezewa kwenu wala kwenye ukoo wenu.
 
Mmepa ulemavu kiumbe wa Mungu ambaye alizaliwa akiwa mzima kabisa. Halafu hao hao mnajaribu kucheka ulemavu wake! Mungu anawaona na "unyenyekevu" na "ibada" zenu feki.
Ha ha haaaa! Ninyi watani zangu mnanifurahisha sana. Mkibanwa hoja mnaamisha magoli!!!

Suala hapa ni kuwa Lissu ni mgonjwa. Hakuna mahali pamezungunzwa 'ulemavu'. Kwa maelezo yako haya, ni dhahiri, Mkuu una vinasaba vya kumnyanyapaa Ndugu Lissu. Nakushauri, tafuta namna ya kuachana na vinasaba
hivyo.

Tuendelee na mjadala ulipo mezani.
 
Back
Top Bottom