Uchaguzi 2020 Lissu: Ni kweli nina tiketi ya ndege kwenda Ubelgiji 18 Desemba 2020

Lissu acha kuudanganya wananchi, kama kweli ulipigwa risasi kwa Amri yake kwanza usingerudi tena Tanzania, lakini kama haitoshi tangu ulivyorudi ulivyoshuka uwanja wa ndege ulisindikizwa chini ya ulinzi wa Askari wa Tanzania hadi nyumbani kwako, kama haitoshi Mikutano yako yote ya kampeni hadi unapolala unalindwa na Askari wa Tanzania, hili linawezekanaje?! kweli wewe ungeamini kulindwa na wabaya wako waliokukosa?!?! Lissu unadanganya watanzania na dunia kwa ujumla,
ulipo lazwa Nairobi viongozi hao hao unaowatuhumu walikuja hadi hospotali kukujulia hali na wewe ulikubali waruhusiwe kuja kukuona!!! Ilikuwaje wabaya wako waliotaka kukuua uwaruhusu kuja kukona hospitali?!! Inawezekanaje!! Huo ni uongo mtupu!!
Si kama mchawi tuu. Anakuukia mtoto afu yeye ndo wa kwanza kulia kwa sauti
 
Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa Watanzania hawawezi kumchagua Mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji Mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Uongozi ni afya njema ya ubongo. Mheshimiwa Lissu ubongo wake una madini ambayo toka tupate uhuru wengi hatukuyashuhudia. Ameonyesha uhalisia wa maisha ya wananchi kwa umakini wa hali ya juu sana. Mbali na kuwa mwanasiasa Bali pia ameonyesha kuwa mwalimu wa juu ya haki zetu. Watu mliomlengo wa Utesi mjue kuwa kiungo kinacharatibu mifumo ya Fikra ni Ubongo na sio Mguu wala mkono wala kiuno. Mumeshuhudia kwa macho yenu pamoja na ulemavu aliotengenezewa lakn bado yuko physically fit kuliko sisi wenye viongo fit.
Tuache propaganda za kitoto. Akili ziko kichwani sio mguuni. Mungu bariki Tanzania mpya itakayojali utu wetu na haki zetu!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa Watanzania hawawezi kumchagua Mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji Mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Bora lissu mwenye matatizo ya mguu, je na mwingine mwenye PACEMAKER, akizima, akikutana na moshi au vumbi inazima, kama si gereji tena badi. Kati ya hao wawili nani mwenye hatari zaidi ya kuzima.
 
Hiyo ni Marekani, lakini point yangu ni kuwa uraisi ni Kichwa zaidi na si nguvu. Hata hivyo sijaona tatizo kwenda check up.
.....wew ulikuwepo marekani kipind iyo 1932" unajuwa sela alizotumia mpaka akawa raisi je unajuwa Marekan ilikuwa katika kipindi gani??" Je Tanzania nayo ipo katika kipind iko iko" sisi hatutak wanasias tunatka Actio Mkuu na sias ndio iliifanya Anguko kuu la Marekan kutokea lakn alipoingia man of action mambo yalienda" sisi hatuwaz Mkuu ilihali tunachokitak kinafanyika rais ata Kama awe mgonjwa wa hakili hatuna shida kbhxa"...
 
Nimeiona hii tiketi ila naendelea kujilidhisha tarehe hizi na zile alizosema Lissu how..?
IMG_20201024_113934.jpg
 
Bora lissu mwenye matatizo ya mguu, je na mwingine mwenye PACEMAKER, akizima, akikutana na moshi au vumbi inazima, kama si gereji tena badi. Kati ya hao wawili nani mwenye hatari zaidi ya kuzima.
Pacemaker kila binadamu anayo
Hata wewe Hapo unayo unazaliwa nayo(natural cardiac pacemaker)
Au kwa jina lingine Sinoatrial Node
 
Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa Watanzania hawawezi kumchagua Mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji Mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Jiwe anapokaa ana feni . Sasa ule ni uzima?
 
Kama alipigwa risasi kwa amri ya Rais, huyo Rais anashindwa kumpiga sasa hivi mwambie huyo pimbi watanzania sio wajinga.
Ngoja nikusaidie kumwambia. "Ulisema wewe hukuleta tetemeko..!! Watanzania siyo wajinga".
 
Lissu acha kuudanganya wananchi, kama kweli ulipigwa risasi kwa Amri yake kwanza usingerudi tena Tanzania, lakini kama haitoshi tangu ulivyorudi ulivyoshuka uwanja wa ndege ulisindikizwa chini ya ulinzi wa Askari wa Tanzania hadi nyumbani kwako, kama haitoshi Mikutano yako yote ya kampeni hadi unapolala unalindwa na Askari wa Tanzania, hili linawezekanaje?! kweli wewe ungeamini kulindwa na wabaya wako waliokukosa?!?! Lissu unadanganya watanzania na dunia kwa ujumla,
ulipo lazwa Nairobi viongozi hao hao unaowatuhumu walikuja hadi hospotali kukujulia hali na wewe ulikubali waruhusiwe kuja kukuona!!! Ilikuwaje wabaya wako waliotaka kukuua uwaruhusu kuja kukona hospitali?!! Inawezekanaje!! Huo ni uongo mtupu!!
Pole sana..!!
 
Kadakwa..
Anaenda kuchukua fedha za kumshukuru eti akifanikiwa kuvuruga hii nchi yetu..
 
Kwa hiyo Lissu bado hajapona!!! Sasa Watanzania hawawezi kumchagua Mtanzania ambaye ni mgonjwa kuwa Rais. Jukumu la urais linahitaji Mtanzania ambaye yupo sawia kiafya ili aweze kutimiza majumuku hayo kwa ufanisi. Watanzania sasa mnasababu nyingine ya msingi ya kutokumchagua Ndugu Lissu tarehe 28/10/2020.
Hujielewi wewe
 
Back
Top Bottom