Uchaguzi 2020 Lissu: Ni kweli nina tiketi ya ndege kwenda Ubelgiji 18 Desemba 2020

Sijui ukweli wa aliyetoa amri apigwe, ila hoja zako hazina mashiko kwani ukishamjua mbaya wako na kumjulisha kuwa umemjua kwa hali ya kawaida hatokudhuru kwan wote watamnyoshea vidole kuwa anahusika.
 
Ninyi ndio wapumbav mlioamua kujitoa ufahamu!Ulitaka aje mapema ili mmalize kazi mliyoianza?Timing yake ni nzuri!Tunachotaka ni uchaguzi huru na haki!Tofauti na hapo haki itatafutwa kwa namna nyingine,bao la mkono safari hii halina nafasi!
 
Inawezekana serikali ikawa ina mkono wake ndio!!! Maana kwa maelezo yake na ushaidi wa Mazingira ya tukio lenyewe!! Watu wengi Wana mashaka makubwa na serikali hii ya awamu ya tano, wengi waliokuwa wanatofautiana mitizamo na serikali ya awamu hii, wameishia pabaya, wengine wamepotea na hawajulikani walipo, wengine wametekwa kwa siku kadhaa na wakionekana hawataki kuzungumza walikuwa wapi na wametendewa nini uko walikokuwa?! Na serikali ipo kimya tu!! Wengine wameuawa na watu wasiojulikana, na wengine wamejeruhiwa vibaya na serikali ipo kimya tu!!
Wapo waliofilisiwa mali zao!! Wapo walio magerezani hawajui hatma yao, wala watanzania hatujui hatma yao je ni ukweli walituibia ama ni ukweli wanaonewa?!! Mashaka matupu!! Wakulima wanalia tu hakuna zao lililostawi kimapato iwe ni kahawa, pamba, mbaazi, korosho n.k wakulima wamebaki na sintofahamu kubwa!;wakisema waandamane waonyeshe hisia zao labda kuna mtu anawahujumu au anahujumu jitihada njema za serikali!! Anatoka mkubwa wa Nchi anasema atawapiga na kuwavunja wakiandamana kuonyesha hisia zao!! Hawapaswi kuonyesha hisia zozote hata kama ni uchungu walie kimya kimya Mkuu wa Nchi hataki kelele za wanyonge hao!! Sasa ni nani wa kuwasikiliza?!! Ni nani wa kuwapa maelezo ya kueleweka maana hayo ndio maisha yao!! Wanataka wapate nao wafurahie Nchi yao, wale vizuri wavae vizuri, wajenge nyumba nzuri, wasomeshe watoto ili watimize ndoto za watoto wao!!
Wengine walipatwa na tetemeko nyumba zao zikabomoka, mifugo yao ikafa, mazao yakaharibika!! Wakabaki na huzuni kuu na taharuki, wakawa wanamsubili mfariji mkuu, Amiri jeshi mkuu wa Nchi wakiwa na matumaini angalau wanaweza kupata mwelekeo, ukitegemea ujenzi wa nyumba ni mgumu mno hasa mkoa huo maana vifaa vyote vinatoka nje ya mkoa huo!! Kwa mshangao mkubwa Kiongozi wetu Mkuu akaenda uko amejawa na hasira, akawatukana na kuleta masikhara msibani!! Haya na mengine mengi!!! Watu wakisema serikali inahusika serikali itakataa?!!!
 
Akili zenu ni matope,wanaozishikilia wakiwaona wanawacheka sana!Huu ni upumbaav gani ulioandika hapa?
Pole. Tuvumiliane....! Hakuna namna mtani. Ndugu Lissu tumnyime kura 28/10/2020. Lissu ha a uwezo wa kuongoza Tanzania yenye mafanikio.
 
Kweli kabisa!Watu wengi ambao wametofautiana na awamu hii wamelionja joto la jiwe kwa namna yao!Wengine wamesoteshwa rumande,wengine wamenyang'anywa mali(Kina Sumaye na Lowassa mpaka wakasalimu amri),wengine kuharibiwa na kutaifishwa mali zao(Mbowe+Manji......)wengine wamepotezwa,wengine wameuwawa na wengine wamepigwa risasi!
Swali la msingi:Ni nani huyo anayewashughulikia wale wanaoonekana kuwa tofauti na serikali ya Magufuli???Ni watu tu wanajitolea au anawatuma???
 
huyo mtembea na viyoyozi ni mzima??mnafanya makosa yale yale wakati mgombea wenu magonjwa kama yote[emoji3]
 
Lissu this time around labda uagize rocket ikufate,ila kama ni hizi ndege asee umekwama Ticket hiyo we irudishe tu.
 
Hapo kwenye kusema alipigwa risasi kwa amri ya Magufuli hata yeye anajua sio kweli ila imekua kitu cha kisiasa zaidi. Uchaguzi upite kesi uendelee tutasikia mengi na yenye ushahidi
ni kweli maana hakuna hata mmoja aliyekamatwa
 
Kuhudhuria clinic ya matibabu ni jambo la kawaida.

Uzuri kamlipua kuwa yeye ndio alitoa amri apigwe risasi.

Hii inaitwa akuanzae,mmalize.
Hii ilipasawa iwekewe uzi kabisa.

Lissu : Magufuli ndiye aliyeamrisha niuawe kwa kupigwa risasi.

Lakini kwa vile magufuli sio Mungu,akaoneshwa ukuu wa Mungu.
 

Still bado unaongea "ujinga" tu kwa sababu ni "mjinga"..

"Ujinga" na kuwa "mjinga" wala siyo tusi na kwa hiyo usije fikiri kuwa nakutukana ila ukweli ni kuwa wewe ndivyo ulivyo, yaani...MJINGA..

"Ujinga" ni "attribute" ya kitu ama mtu ikiwa na maana kuwa, isiyo ama asiye na uelewa ama ufahamu wa jambo fulani..

Huyo mtu ni wewe..

By the way;

Unafahamu kuwa Tanzania ni mwanachama wa INTERPOL? Hiki ni kifupi cha maneno "International Police"..

Na unafahamu kweli wewe kuwa Ubelgiji ni mshirika wa maendeleo wa Tanzania?

Na je, unafahamu kuwa Tanzania ina uhusiano wa kibalozi na Ubelgiji?

Kitu gani kinaishinda serikali kupitia jeshi la polisi kuagiza nchi ya Ubelgiji imlete huyo dereva kama inamhitaji kweli?

Kitu gani kimeishinda serikali kupitia jeshi la polisi kwenda hukohuko kumhojia huyo dereva kama wanadhani ni shahidi muhimu kama unavyodai?

Huyo dereva kama ulivyosema ni shahidi tu...

Je, unajua kuwa "victim" ama muathirika mwenyewe wa tukio hilo baya kabisa kutokea nchini kwetu yupo hapa nchini?

Hebu iulize serikali yako kupitia Jeshi la polisi, imemhoji? Kama HAPANA, waulize kwa nini?..

Unajua nini?

To some extent ninaweza kukubaliana na wewe kuwa dereva ni shahidi muhimu sana kwa pande zote yaani Tundu Lissu ama serikali..

Dereva anahitajika na serikali kama kichaka tu na kwa nia ovu..

Nakuhakikishia akifika kienyeji tu leo ama kesho, huyo atauwawa mara moja kufunika ushahidi dhidi ya Magufuli..!!

Uzuri wa jambo hili ni huu: JINAI HAIOZI ama HAIFI. Nakuhakikishia wote walioitenda jinai hii SOONER or LATER watalipia dhambi hii..!

Ndiyo maana mimi nakuona wewe ni mjinga tu na unajitaji kuelimishwa kuondoa huo ujinga wako..

Aidha, sisi wengine siyo wajinga na pengine wapumbavu kama wewe na wenzako huko..

Jibu la maswali haya yote ni moja tu..

KWAMBA; MUUAJI HAWEZI KUJICHUNGUZA NA KUJICHUKULIA HATUA ZA KISHERIA MWENYEWE..!!

Kama mpaka hapo hujanielewa, basi mimi sina msaada tena wa maelezo ya ziada kwako. Otherwise, endelea kuwa mjinga tu kwa kushindwa kutumia bongo yako vyema kufikiri..!!
 
Naona mtalii kaamua kuweka wazi kuwa baada ya uchaguzi anarejea kwao belgium.

Sasa wewe kapange foleni kumpigia kura mtalii aliyetumwa na mabosi zake kina Amsterdam kuja kutuvuruga.
 
Yaani tunasumbuliwa na mtu mgonjwa! Mse*ge huyu!
 
Timu kampeni ya CCM; kuweni makini sana kwa hoja mnazomwambia mgombea wenu aziseme kuhusu Lissu.

Hili la jana umebakia uchi tena wa mnyama!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…