Uchaguzi 2020 Lissu: Ni kweli nina tiketi ya ndege kwenda Ubelgiji 18 Desemba 2020

Naomba video za mkutano wa Tundu lisu Tanga Jiji
 
Hivi kuna mtu ambaye si mgonjwa? kuna mtu ambaye mwili wake unafanya kazi kwa 100% yupo?

Haya mohospital tunajenga kila siku ni kwa ajili ya nani? Ina maana mtu akienda hospital au kuonana na Dr hafai kuwa kiongozi?

Kuna watu /viongozi kila siku wako kwa madaktari wao kila kukicha wanaongozana nao, lakini ni viongozi wetu wazur tu.

Hebu fungua macho uone hilo halafu utuambie mbona hawaashindwa kutuongoza?
 
bora TL mbovu wa miguu kuliko Jiwe mbovu wa akili!.
 
Anaenda nyumbani kwake harudi huyo, acha wajifurahishe kwa kampeni ila Mbowe anajua HAKUNA rais anayeitwa tundu.
wachaaa waisome nambaaa

ccm ni ile ile na chadema ndo walewale
 
Lissu anazidi kumvuruga Magufuli. Yaaani umpige mtu risasi alafu utumie propaganda ya huyo mtu kuwa na ticket ya kufanya check up kutokana na ulemavu ukiomsababishia then unatumia kama mtaji wa kisiasa?????

Kweli Lissu kawashika pabaya magufuli na watu wake 😂😂😂
 
Ni kama Tumeingizwa chaka na NEC vile!! Je ikitokea amekuwa Raisi, na tarehe hiyo akaenda kumwona Dakitari wake na akamwambia Kwa Hali aliyonayo inabidi akae huko Kwa matibabu kwa miezi mitatu zaidi itakuweje majukumu yake ya Urais nchini
Akiwa Raisi hakuna shida. Tutafanya arrangement daktari wake aje Tanzania. Una swali lingine??
 
Sasa watu anao wahutubia hawaonekani au ndo Kama mechi za Uingereza tunawekewa Maspika uwanjani.
 
Mbona aliepo mgonjwa zaidi ?! . Chezea kikombe cha loliondo !!
 
Amethibitisha ni nani aliyempiga risasi. Hii ndo hoja kuu
 
Wewe jamaa sikuwahi kukufikiria ktk kiwango hiki cha ujinga!! Mkuu nadhani kuna haja ujitafakar upya.
 
Kwaiyo baada ya uchaguzi akishaingiza watoto wa watu barabarani yeye Lissu atasepazake akale bata Ubelgiji kwa kisingizio cha matibabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…