Uchaguzi 2020 Lissu ni mtu jasiri, jaribio lolote la kuiba kura zake litaleta shida

Uchaguzi 2020 Lissu ni mtu jasiri, jaribio lolote la kuiba kura zake litaleta shida

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,905
Reaction score
4,054
Amini usiamini, Tanzania itakuwa kwenye taharuki kubwa ikiwa Tume itapuuzia kuendesha uchaguzi huru na wa haki.

Nikimaanisha kuwapa haki mawakala wa vyama vyote haki ya kuingia vituoni na kuwapa nakala ya matokeo, wakipuuza tume Mambo haya mawili Kuna hatari kubwa inakuja.

Tazama what happened at Kiluvya? Msichukue kiurahisi Mambo haya.

Nimefikisha
 
CCM lazima waibe kura, na Wana mbinu nyingi.

Saivi wanakusanya ID za kura hasa za akina mama, wanachukua kopi, wanasema watazitumia kuwapa mikopo. Inasemekana hizo zinatumika kwa ajili ya kura za vituo hewa vya kupigia kura vya chama.
 
CCM lazima waibe kura, na Wana mbinu nyingi.

Sasa hivi wanakusanya IDza kura hasa za akina mama, wanachukua kopi, wanasema watazitumia kuwapa mikopo. Inasemekana hizo zinatumika kwa ajili ya kura za vituo hewa vya kupigia kura vya chama.
Haki huinua Taifa.
 
Nimesema jana!! Katika umri wangu na uzoefu wangu ikiwemo kusoma historia ya Tanzania. Nchi hii haijawai pata mwanasiasa kiwango cha Tundu Antiphas Lissu.

Si Kambona, si kolimba, Si Njelu kusaka na G55 yao, si mtikila, si tuntemeke sanga , si aboud Jumbe, si Maalim Seif, Mbowe, Lipumba, Magufuli, si Juma Duni Haji , Zi zitto, si Nyerere wala si kikwete.

Lissu ni alama ya kitu cha kipekee sana kwenye siasa za Tanzania. Ni alama kweli ya haki, uhuru, amani, upendo na kubwa zaidi Lissu ni kielelezo cha kutumia akili na si nguvu katika kusimamia kweli unaloliamini bila kujali matokeo yatakuwaje!

Kitendo cha yeye mwenyewe jana kuongoza katika kusimamia analolitetea tena kwenye mazingira magumu vile (Mbele ya askari waliosheheni Silaha za kivita) huku akisimamia msimamo wake hadi mwisho kushinda ni kielelezo cha kipekee sana kwa jinsi gani huyu mtu ni special.

Jana Lissu kafanya kampeni kubwa sana, maana hata wale waliodhani angeshindwa mwishoni walipigwa na butwaa.

Lissu sio tu ni binadamu, ni binadamu na nusu

Lissu sio tu mwana siasa ni mwana siasa na nusu

Lissu sio tu mtu wa haki ni mtu wa haki na nusu

Hongera Lissu!!

Watanzania wote kwa pamoja tunasema Shkamoo!!
 
Ccm lzm waibe kura, na Wana mbinu nyingi.

Saivi wanakusanya id za kura hasa za akina mama, wanachukua kopi, wanasema watazitumia kuwapa mikopo. Inasemekana hizo zinatumika kwa ajili ya kura za vituo hewa vya kupigia kura vya chama

Still halitowasaidia
 
Hivi kumbe lissu na vibaraka wenzake wanaamini wataibiwa Kura? Kura zip?

Daaah kweli Dunia haishiwi vituko.

Ukweli nikwamba Hata Kama TL akipewa jukumu la kuhesabu kura za JPM bado JPM atashinda asubuhi.. Kama lissu angegombea ubunge angepita asubuhi tu Ila Urais siyo level yake kabisaa.
 
Policcm na Neccm wanahaha kuinusuru ccm na mgombea wake! Hali ni mbaya. Tukio la kumzuia Mh. Tundu Lissu ni la kushangaza.

Yaani CCM ni nyepesi sana bila ya mbereko. Yaani mtu yuko kwenye safari zake za kichama kama Makamu Mwenyekiti wa hicho chama, wewe unaweka magari yako njiani kimzuia asipite!

Ifikie wakati Polisi wetu wawe hata na chembe ya aibu. Kiukweli wanajidhalilisha. Lissu ana akili nyingi! hivyo wakienda kichwa kichwa kama walivyofanya jana, dunia inawaona na kuwadharau kama vilaza fulani hivi wasiojua sheria na majukumu yao.

Hakika Tanzania siyo Police State!!
 
Ccm lzm waibe kura, na Wana mbinu nyingi.

Saivi wanakusanya id za kura hasa za akina mama, wanachukua kopi, wanasema watazitumia kuwapa mikopo. Inasemekana hizo zinatumika kwa ajili ya kura za vituo hewa vya kupigia kura vya chama
Kama ni kweli Magufuli na wagombea wake wanakubalika kwa Watanzania, kuna haja gani ya kuiba kura?
 
[emoji3577][emoji3577][emoji3577]
4890980.jpg
 
Ona sasa huu ujinga!

Lisu ana kura za kuiba?

Yani mashabiki wa Lissu mmeshajihakikishia ushindi! Hivi ni Lisu tu ndio mwenye wafausi?

Jana kapigishwa jua pale killuvya kwa zaidi ya masaa 8 hakuna hata panzi alienda kumuunga mkono mpaka polisi wakamua kumuachia kwa hiyari yao akiwa hoi kachoka, alafu unakuja hapa eti akiibiwa kura? Kura kutoka wapi?

Mtu anaetarajiwa kupata 20% aibiwe kura?
Wataibiana na Membe labda.
 
Kuna mzee mmoja nimeonana hivi karibuni, anasema Mwl Nyerere alikuwa na ujasiri, roho ngumu na werevu kama Lissu hivihivi katika kupambana na wakoloni. Alikuwa haogopi kabisa!

Anasema kama Lissu Mwl alikuwa na mvuto wa ajabu wa kukubalika na kupendwa
 
Lisu ana damu ya ujasiri aliyopewa Kenya baada ya awali ya kitanzania kumwagwa. Chochote afanyacho shetani umrudia mara saba yeye ndo ana loose zaidi. Kila akitaka kummaliza yanamgeuka anajimaliza mwenyewe
Kwahiyo mle mwilini ana damu nyingi sana ya wakenya.

Hahahaha.. Bavicha bhana
 
Back
Top Bottom