Uchaguzi 2020 Lissu ni mtu jasiri, jaribio lolote la kuiba kura zake litaleta shida

Uchaguzi 2020 Lissu ni mtu jasiri, jaribio lolote la kuiba kura zake litaleta shida

Amini usiamini, Tanzania itakuwa kwenye taharuki kubwa ikiwa tume itapuuzia kuendesha uchaguzi huru na wa haki. Nikimaanisha kuwapa haki mawakala wa vyama vyote haki ya kuingia vituoni na kuwapa nakala ya matokeo, wakipuuza tume Mambo haya mawili Kuna hatari kubwa inakuja.

Tazama what happened at kiluvya? Msichukue kiurahisi Mambo haya.

Nimefikisha
Wasipo fanya hivyo watasitahili kuitwa ni tume ambayo haiko huru
 
CCM lazima waibe kura, na Wana mbinu nyingi.

Saivi wanakusanya ID za kura hasa za akina mama, wanachukua kopi, wanasema watazitumia kuwapa mikopo. Inasemekana hizo zinatumika kwa ajili ya kura za vituo hewa vya kupigia kura vya chama.
CCM si ni kipenzi cha wanyonge sasa kwanini wanahangaika kuiba kura tena?
 
Wasipo fanya hivyo watasitahili kuitwa ni tume ambayo haiko huru
Kwa unyenyekevu huu huo uhuru wa tume utatoka wapi?
Screenshot_2020-09-28-13-03-17-1.jpg
 
Hivi kumbe lissu na vibaraka wenzake wanaamini wataibiwa Kura? Kura zip?

Daaah kweli Dunia haishiwi vituko.

Ukweli nikwamba Hata Kama TL akipewa jukumu la kuhesabu kura za JPM bado JPM atashinda asubuhi.. Kama lissu angegombea ubunge angepita asubuhi tu Ila Urais siyo level yake kabisaa.
Ukweli mtupu.
 
Amini usiamini, Tanzania itakuwa kwenye taharuki kubwa ikiwa tume itapuuzia kuendesha uchaguzi huru na wa haki. Nikimaanisha kuwapa haki mawakala wa vyama vyote haki ya kuingia vituoni na kuwapa nakala ya matokeo, wakipuuza tume Mambo haya mawili Kuna hatari kubwa inakuja.

Tazama what happened at kiluvya? Msichukue kiurahisi Mambo haya.

Nimefikisha
Kuiba, kuiba kuiba! Nani kasema ataibiwa mpuuzi wewe? Kuna mambo munayakuza bila sababu. Kwani chama hakina wasimamizi? Hawana pesa za kuwalipa mawakala? Hawana mawakala waaminifu kulinda kura? kama yote hayo hayawezekani, kwa nini wameingia kwenye uchaguzi. Unawezaje kuanza mchezo bila kujua matatizo ya mchezo. Kama hawana pesa watajiju kwani miaka yote hiyo ruzuku walipewa ya nini?

Acha kabisa kubuni matukio yajayo. Kama ni kuibiwa ni uzembe wao. Taratibu zote zimewekwa kama mbinu za kuzuia matukio kama hayo. wewe unaanza kutishia na majigambo ya kibwege tena!
 
Mnaanza kujishtukia,akuna mtu wa kuibiwa kura kila chama kitakuwa na mawakala kuanzia ngazi za vituo mpaka wilayani/mikoani kwenye majumuisho.
sema mshaona upepo mbaya kwa Lissu mnatengeneza visingizio mapema.
 
Tatizo mmeamua kuamini kwamba raia kwenye kampeni za ccm wanafwata wasanii. Ila kila kitu kiko wazi jpm ana wafuasi wengi sana.
Hahah kwny mikutano yenu acheni kwenda na wakina Diamond,msiwalazimishe wafanyakazi wa serikali waje kwny mikutano yenu,msizifunge shule ili mjaze watoto wa shule kwny mikutano na msikodi ma-bus,lorry kwenda kusomba watu muone kama mtapata hata watu 100.
 
Nimesema jana!! Katika umri wangu na uzoefu wangu ikiwemo kusoma historia ya Tanzania. Nchi hii haijawai pata mwanasiasa kiwango cha Tundu Antiphas Lissu.

Si Kambona, si kolimba, Si Njelu kusaka na G55 yao, si mtikila, si tuntemeke sanga , si aboud Jumbe, si Maalim Seif, Mbowe, Lipumba, Magufuli, si Juma Duni Haji , Zi zitto, si Nyerere wala si kikwete.

Lissu ni alama ya kitu cha kipekee sana kwenye siasa za Tanzania. Ni alama kweli ya haki, uhuru, amani, upendo na kubwa zaidi Lissu ni kielelezo cha kutumia akili na si nguvu katika kusimamia kweli unaloliamini bila kujali matokeo yatakuwaje!

Kitendo cha yeye mwenyewe jana kuongoza katika kusimamia analolitetea tena kwenye mazingira magumu vile (Mbele ya askari waliosheheni Silaha za kivita) huku akisimamia msimamo wake hadi mwisho kushinda ni kielelezo cha kipekee sana kwa jinsi gani huyu mtu ni special.

Jana Lissu kafanya kampeni kubwa sana, maana hata wale waliodhani angeshindwa mwishoni walipigwa na butwaa.

Lissu sio tu ni binadamu, ni binadamu na nusu

Lissu sio tu mwana siasa ni mwana siasa na nusu

Lissu sio tu mtu wa haki ni mtu wa haki na nusu

Hongera Lissu!!

Watanzania wote kwa pamoja tunasema Shkamoo!!
Lissu ana mtindio wa ubongo, na kashajikatia tamaa. Hizo purukushani afanyazo ni utopolo tu, naye anajua hawezi kushinda maana watanzania washamdharau kabisa.
 
Ona sasa huu ujinga!

Lisu ana kura za kuiba?

Yani mashabiki wa Lisu mmeshajihakikishia ushindi! Hivi ni Lisu tu ndio mwenye wafausi?

Jana kapigishwa jua pale killuvya kwa zaidi ya masaa 8 hakuna hata panzi alienda kumuunga mkono mpaka polisi wakamua kumuachia kwa hiyari yao akiwa hoi kachoka, alafu unakuja hapa eti akiibiwa kura? Kura kutoka wapi?

Mtu anaetarajiwa kupata 20% aibiwe kura?
Wataibiana na Membe labda.
Panzi ni wewe ulietaka watu wafanye vurugu ili mpate sababu ya kumuweka Lissu ndani.
 
Hahah kwny mikutano yenu acheni kwenda na wakina Diamond,msiwalazimishe wafanyakazi wa serikali waje kwny mikutano yenu,msizifunge shule ili mjaze watoto wa shule kwny mikutano na msikodi ma-bus,lorry kwenda kusomba watu muone kama mtapata hata watu 100.
Dah!...mpaka leo kuna watu bado wanasombwa kujaza mikutano? Au wanalipwa?
 
Lissu ana mtindio wa ubongo, na kashajikatia tamaa. Hizo purukushani afanyazo ni utopolo tu, naye anajua hawezi kushinda maana watanzania washamdharau kabisa.
Waache kudharau wale wanaotumia madaraka yao vibaya wamdharau mtu asie na kosa!!
 
Amini usiamini, Tanzania itakuwa kwenye taharuki kubwa ikiwa tume itapuuzia kuendesha uchaguzi huru na wa haki.

Nikimaanisha kuwapa haki mawakala wa vyama vyote haki ya kuingia vituoni na kuwapa nakala ya matokeo, wakipuuza tume Mambo haya mawili Kuna hatari kubwa inakuja.

Tazama what happened at kiluvya? Msichukue kiurahisi Mambo haya.

Nimefikisha
hakuna wa kumwibia yeye asubiri uhakisia
 
Bavicha kwa kujifariji, hivi mwenyekiti kajichimbia wapi?
 
Mnaanza kujishtukia,akuna mtu wa kuibiwa kura kila chama kitakuwa na mawakala kuanzia ngazi za vituo mpaka wilayani/mikoani kwenye majumuisho.
sema mshaona upepo mbaya kwa Lissu mnatengeneza visingizio mapema.
Kura zenyewe za kuibiwa ziko wapi?. Wao kila chaguzi wanaibiwa tu, tangu Mbowe, Slaa, lowasa.
 
Hivi kumbe lissu na vibaraka wenzake wanaamini wataibiwa Kura? Kura zip?

Daaah kweli Dunia haishiwi vituko.

Ukweli nikwamba Hata Kama TL akipewa jukumu la kuhesabu kura za JPM bado JPM atashinda asubuhi.. Kama lissu angegombea ubunge angepita asubuhi tu Ila Urais siyo level yake kabisaa.
moyon unaujua ukweli lakin....hiko ndo cha muhimu
 
Dah!...mpaka leo kuna watu bado wanasombwa kujaza mikutano? Au wanalipwa?
Wanabebwa kama kawa mzee baba,kuna wilaya huko unajiandikisha kwenda kwny mkutano wa Wajomba unapewa na mifuko mitatu ya mbolea ili ukajaze mafuriko.
 
Kura zenyewe za kuibiwa ziko wapi?. Wao kila chaguzi wanaibiwa tu, tangu Mbowe, Slaa, lowasa.
Nikulipe mshahara,nikujazie gari mafuta,posho ya nyumba nikupe na umtangaze mpinzani ni mshindi hiiiiiiiiiiiiiiii,yayaaaa geteeeeeeeee.
 
Tume na ihakikishe kweli wanatenda haki, Hatwezi kuendelea kuhubiri amani kama hatutendi haki! Pasipo na haki huwa hapana amani na hata ikiwepo ni ya bandia tu kwani msingi wa amani ni haki!
 
Back
Top Bottom