Uchaguzi 2020 Lissu ni mtu jasiri, jaribio lolote la kuiba kura zake litaleta shida

Uchaguzi 2020 Lissu ni mtu jasiri, jaribio lolote la kuiba kura zake litaleta shida

Hahah kwny mikutano yenu acheni kwenda na wakina Diamond,msiwalazimishe wafanyakazi wa serikali waje kwny mikutano yenu,msizifunge shule ili mjaze watoto wa shule kwny mikutano na msikodi ma-bus,lorry kwenda kusomba watu muone kama mtapata hata watu 100.
Broo wasanii ndo wamefwata ccm,, nyimbo za kumsifia rahisi zimeanza kabla ya kampeni. Na wameamua kumuunga mkono baada ya kuona kazi anayofanya.

Na hayo malori ni kwajili ya wananchi wa maeneo ambayo wagombea hawataweza kufika kutokana na muda na changamoto za umbali.

Na nyie upinzani msitegemee kuwa kuna raia wa vijijini wanajuaa hata sera yenu moja.
 
Policcm na Neccm wanahaha kuinusuru ccm na mgombea wake! Hali ni mbaya. Tukio la kumzuia Mh. Tundu Lissu ni la kushangaza...
Kitendo cha Polisi jana kimeiharibia sana CCM na kuitangazia dunia kuwa CCM mpya ni genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuendelea kutawala
 
Broo wasanii ndo wamefwata ccm,, nyimbo za kumsifia rahisi zimeanza kabla ya kampeni. Na wameamua kumuunga mkono baada ya kuona kazi anayofanya.

Na hayo malori ni kwajili ya wananchi wa maeneo ambayo wagombea hawataweza kufika kutokana na muda na changamoto za umbali.

Na nyie upinzani msitegemee kuwa kuna raia wa vijijini wanajuaa hata sera yenu moja.
'Nyimbo za kumsifia rahisi'.

Kweli rahisi.
 
Amini usiamini, Tanzania itakuwa kwenye taharuki kubwa ikiwa tume itapuuzia kuendesha uchaguzi huru na wa haki....
Kura zenyewe ziko wapi? Mnaota ndoto za mchana..hivi na akili zako kabisa unaona tobo atapata kura za kuibiwa??
 
Mkuu hizo za kupigiwa tu na wapiga kura wake hazitoshi, sasa hizo za kuibiwa zitatoka wapi
 
Amini usiamini, Tanzania itakuwa kwenye taharuki kubwa ikiwa tume itapuuzia kuendesha uchaguzi huru na wa haki...

Hana kura za kuibiwa urais amekwisha shindwa kilichobaki ni kuongeza ruzuku kwa chama tu. Ndoto bila uhalisia hauwezi kumpa mtu Urais, chora jiografia halafu uone anashinda wapi. 2025 ukikaza msuli anaweza kuchukua nchi.

MNAJAZA MAKURASA JF BILA SABABU.
 
Tutalinda kura za CDM kwa silaha zozote tulizonazao.
 
Nimesema jana!! Katika umri wangu na uzoefu wangu ikiwemo kusoma historia ya Tanzania. Nchi hii haijawai pata mwanasiasa kiwango cha Tundu Antiphas Lissu...
Na jana tu kajiongezea malaki ya kula, wao bila kujua
 
Ona sasa huu ujinga!

Lisu ana kura za kuiba?....
Kwani Polisi wao walikuwa kivulini ? Kwa taarifa yako jana, ile ilikuwa ni kampeni ya uchaguzi kubwa sana tena ikiendeshwa kwa gharama za Jeshi la Polisi.
 
Na jana tu kajiongezea malaki ya kula, wao bila kujua
Lissu anasimamia jambo analoliamini kwa ujasiri hadi unafika muda hadi wewe unaemuangalia au kumsikiliza unasisimka. Huyu jamaa si wa kawaida aisee
 
Amini usiamini, Tanzania itakuwa kwenye taharuki kubwa ikiwa tume itapuuzia kuendesha uchaguzi huru na wa haki.

Nikimaanisha kuwapa haki mawakala wa vyama vyote haki ya kuingia vituoni na kuwapa nakala ya matokeo, wakipuuza tume Mambo haya mawili Kuna hatari kubwa inakuja.

Tazama what happened at Kiluvya? Msichukue kiurahisi Mambo haya.

Nimefikisha
KWA ATAKAYE IBA KURA BORA APATE UGONJWA WA UKICHAA MILELE MAANA WATU HAWA WANATUZUNGUSHA VICHWA SANA TUTAOMBA MASAADA SOUTH KOREA (WOTE HATUWEZI KUWA WATOTO)
 
Back
Top Bottom