Uchaguzi 2020 Lissu ni mtu jasiri, jaribio lolote la kuiba kura zake litaleta shida

Huzioni figisu mnazomfanyia??? Kama sisi ni toothless god mgemzuia mgombea wetu kwa masaa 9 jana alafu mkaja kuufyata????

Kwani tulikwambia kuwa Kuna shida kwa yeye akikaa masaa 8 katika kudai haki yake??
Mkuu Lisu jana atakuwa kalaani sana,

Yani mnatiwa vidole vya macho alafu mnakaa kimya huku mnatoa mikwara kupitia jf?
 
Wakae kufanya nini? Sheria ya uchaguzi inasemaje?
Na ndio hizo sheria zinazowashindisha CCM..

Tume ya kwenu, Mkurugenzi wa Tume ni mwanaCCM, wasimamizi wa Uchaguzi kwenye majimbo ni CCM sasa unafikiri kuna haki hapo??
 
Kile kichwa jasiri hatari... Wasithubutu kabisa maana mtiti wake...na atawashinda kila jambo lililo mbele yake...
 
Nyie mliyoweka plate no za Ccm akili zenu ziko sawa kweli????
Kwani mashindano kila kinachofanywa na Magufuli na yeye lazima aige?

Utawekaje plate number za jina lako halafu upite barabarani polisi wakisema wachunguze kama ni gari la wizi je au uhalali wa ilo gari kuwa barabarani mtasemaje Lissu anaonewa? Kama nilivyokwambia huyo mtu anachekewa sana kwa kuvunja sheria, katika harakati zake za kudhani yupo sawa na raisi wa nchi.
 
Mimi mwenyewe naomba kuwa wakala lakini pesa kwanza. Sitaki kuitwa kamanda wa misuri wakati wenzetu ni makamanda wa pesa za ruzuku.
 
Kile kichwa jasiri hatari... Wasithubutu kabisa maana mtiti wake...na atawashinda kila jambo lililo mbele yake...
Kwa nini hakuwahi kupewa kuwa M/kiti wa chama? au chama kina wenyewe?
 
Kuna mzee mmoja nimeonana hivi karibuni, anasema Mwl Nyerere alikuwa na ujasiri, roho ngumu na werevu kama Lissu hivihivi katika kupambana na wakoloni. Alikuwa haogopi kabisa!
Anasema kama Lissu Mwl alikuwa na mvuto wa ajabu wa kukubalika na kupendwa
Kweli kabisa labda tofauti ni moja tu lisu ameshinda unusu mauti
 
Dah hakika huyu jamaa ni hatar kwa msimamo wa jana mpaka jamaa wakasalenda aisee nahic aliwekewa damu ya walibya
 
Ni kweli kabisa.
Vijana wana mengi ya kujifunza toka kwa huyu mwanasiasa.

Jana nimesoma mahali historia yake toka udogoni, moja nililojifunza ni kuwa aliijua purpose yake toka akiwa mdogo kabisa. Amekuwa tayari kuisimamia hiyo hata ikibidi kuhatarisha uhai wake.
 
I can assure you kura haziwezi kuibiwa na Lissu atashindwa vibaya mno na kuwashangaza ...watanzania walio wengi kwa mamilioni hawamtaki Lissu .Narudia watanzania walio wengi hawamtaki Lissu...nyie na Lissu mnasema watanzania wanataka mabadiliko na wanataka Lissu...that is wrong...semeni baadhi ya watanzania wanamtaka Lissu na msiseme watanzania wanamtaka Lissu...kura hazitaibiwa...upo mwaka nilibahatika kuwa mhusika kwenye uchaguzi mkuu..wakati wa kuhesabu nikashauri mtu au wakala wa CUF awe ndiye anayechukua kura kwenye maboksi na kutamka ni ya chama gani kura hiyo...wote walikubaliana na ushauri huo...wakati huo Cuf ilikuwa na nguvu Sana na hasa kwenye Hilo...dah..baada ya kumalizika zoezi lile yule Ndugu alikuja kwangu na kukiri kwangu binafsi katika maongezi ya kirafiki na akasema kumbe CCM hawaibi kura...
Mimi nawaambia wizi wa kura ambao umekuwa ukitangazwa ni illusion...Kila kituo matokeo yanabandikwa Sasa kura zinaibiwa saa ngapi? Labda kwenye mitandao ndiyo kura zinaibiwa..lakini kwa wengi wanaofahamu process na pengine kushiri kwenye uchaguzi wanajua fika hakuna wizi...
Kwa hiyo kwenye uchaguzi huu Lissu atashindwa Tena vibaya Sana...baadhi ya watu ni wajinga wakati wa kupiga kura...badala ya kupiga kura eti utaona kwenye karatasi ya kura ameandika matusi na kuchora michoro ya ajabu kwa baadhi ya wagombea...stupid...yaani anakuwa amepoteza kura tayari...yaani uanaharakati wake anaudhihirisha mpaka kwenye karatasi ya kura...very stupid indeed..

Lissu mwenyewe anajua atashindwa ..anachojaribu kufanya ni kuharibu credibility ya uchaguzi kuwa hauko fair..anatumia press ya nje na kadhalika...lakini hatafanikiwa....na hakuna atakayelala barabarani after 28th...
 
CCM lazima waibe kura, na Wana mbinu nyingi.

Saivi wanakusanya ID za kura hasa za akina mama, wanachukua kopi, wanasema watazitumia kuwapa mikopo. Inasemekana hizo zinatumika kwa ajili ya kura za vituo hewa vya kupigia kura vya chama.
Ni kweli hata huku mitaani kwetu wamepita ila hawathubutu kuingia kwa mtu mwenye uelewa. Wanaowazunguka wajinga tu
 
Rubbish
 
Ccm majizi sana
 
Tatizo mmeamua kuamini kwamba raia kwenye kampeni za ccm wanafwata wasanii. Ila kila kitu kiko wazi jpm ana wafuasi wengi sana.
 
umecheki Kiluvya jana lakini?
 
Hakuna haja ya kuiba kura. Jamaa keshashindwa kihalali kabisa.
 
Tume ya ccm haina akili , watajaribu kubabaka uchaguzi na hawatobakia salama ndani ya nchi na nje ya nchi hii.
 
Safari hii CCM hawataiba kura, kama wakijaribu wataaiingiza nchi kwenye hekaheka mpya ambayo haijawahi kutokea - watawaponza wenye dhamana ya uchaguzi huu kuwa katika wakati mgumu mno hasa Mkrugenzi wa Uchanguzi.
 
CCM lazima waibe kura, na Wana mbinu nyingi.

Saivi wanakusanya ID za kura hasa za akina mama, wanachukua kopi, wanasema watazitumia kuwapa mikopo. Inasemekana hizo zinatumika kwa ajili ya kura za vituo hewa vya kupigia kura vya chama.
Chadema watapata kura toka kwa CCM, waambie hao wajinga wanaochukua namba za watu wasihangaike, mara zote siku ya kufa ikifika haikimbiwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…