Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Wasipo fanya hivyo watasitahili kuitwa ni tume ambayo haiko huruAmini usiamini, Tanzania itakuwa kwenye taharuki kubwa ikiwa tume itapuuzia kuendesha uchaguzi huru na wa haki. Nikimaanisha kuwapa haki mawakala wa vyama vyote haki ya kuingia vituoni na kuwapa nakala ya matokeo, wakipuuza tume Mambo haya mawili Kuna hatari kubwa inakuja.
Tazama what happened at kiluvya? Msichukue kiurahisi Mambo haya.
Nimefikisha
CCM si ni kipenzi cha wanyonge sasa kwanini wanahangaika kuiba kura tena?CCM lazima waibe kura, na Wana mbinu nyingi.
Saivi wanakusanya ID za kura hasa za akina mama, wanachukua kopi, wanasema watazitumia kuwapa mikopo. Inasemekana hizo zinatumika kwa ajili ya kura za vituo hewa vya kupigia kura vya chama.
Kwa unyenyekevu huu huo uhuru wa tume utatoka wapi?Wasipo fanya hivyo watasitahili kuitwa ni tume ambayo haiko huru
Ukweli mtupu.Hivi kumbe lissu na vibaraka wenzake wanaamini wataibiwa Kura? Kura zip?
Daaah kweli Dunia haishiwi vituko.
Ukweli nikwamba Hata Kama TL akipewa jukumu la kuhesabu kura za JPM bado JPM atashinda asubuhi.. Kama lissu angegombea ubunge angepita asubuhi tu Ila Urais siyo level yake kabisaa.
Kuiba, kuiba kuiba! Nani kasema ataibiwa mpuuzi wewe? Kuna mambo munayakuza bila sababu. Kwani chama hakina wasimamizi? Hawana pesa za kuwalipa mawakala? Hawana mawakala waaminifu kulinda kura? kama yote hayo hayawezekani, kwa nini wameingia kwenye uchaguzi. Unawezaje kuanza mchezo bila kujua matatizo ya mchezo. Kama hawana pesa watajiju kwani miaka yote hiyo ruzuku walipewa ya nini?Amini usiamini, Tanzania itakuwa kwenye taharuki kubwa ikiwa tume itapuuzia kuendesha uchaguzi huru na wa haki. Nikimaanisha kuwapa haki mawakala wa vyama vyote haki ya kuingia vituoni na kuwapa nakala ya matokeo, wakipuuza tume Mambo haya mawili Kuna hatari kubwa inakuja.
Tazama what happened at kiluvya? Msichukue kiurahisi Mambo haya.
Nimefikisha
Hapo itakuwa tume yenye ??????????Kwa unyenyekevu huu huo uhuru wa tume utatoka wapi?View attachment 1592736
Hahah kwny mikutano yenu acheni kwenda na wakina Diamond,msiwalazimishe wafanyakazi wa serikali waje kwny mikutano yenu,msizifunge shule ili mjaze watoto wa shule kwny mikutano na msikodi ma-bus,lorry kwenda kusomba watu muone kama mtapata hata watu 100.Tatizo mmeamua kuamini kwamba raia kwenye kampeni za ccm wanafwata wasanii. Ila kila kitu kiko wazi jpm ana wafuasi wengi sana.
Lissu ana mtindio wa ubongo, na kashajikatia tamaa. Hizo purukushani afanyazo ni utopolo tu, naye anajua hawezi kushinda maana watanzania washamdharau kabisa.Nimesema jana!! Katika umri wangu na uzoefu wangu ikiwemo kusoma historia ya Tanzania. Nchi hii haijawai pata mwanasiasa kiwango cha Tundu Antiphas Lissu.
Si Kambona, si kolimba, Si Njelu kusaka na G55 yao, si mtikila, si tuntemeke sanga , si aboud Jumbe, si Maalim Seif, Mbowe, Lipumba, Magufuli, si Juma Duni Haji , Zi zitto, si Nyerere wala si kikwete.
Lissu ni alama ya kitu cha kipekee sana kwenye siasa za Tanzania. Ni alama kweli ya haki, uhuru, amani, upendo na kubwa zaidi Lissu ni kielelezo cha kutumia akili na si nguvu katika kusimamia kweli unaloliamini bila kujali matokeo yatakuwaje!
Kitendo cha yeye mwenyewe jana kuongoza katika kusimamia analolitetea tena kwenye mazingira magumu vile (Mbele ya askari waliosheheni Silaha za kivita) huku akisimamia msimamo wake hadi mwisho kushinda ni kielelezo cha kipekee sana kwa jinsi gani huyu mtu ni special.
Jana Lissu kafanya kampeni kubwa sana, maana hata wale waliodhani angeshindwa mwishoni walipigwa na butwaa.
Lissu sio tu ni binadamu, ni binadamu na nusu
Lissu sio tu mwana siasa ni mwana siasa na nusu
Lissu sio tu mtu wa haki ni mtu wa haki na nusu
Hongera Lissu!!
Watanzania wote kwa pamoja tunasema Shkamoo!!
Panzi ni wewe ulietaka watu wafanye vurugu ili mpate sababu ya kumuweka Lissu ndani.Ona sasa huu ujinga!
Lisu ana kura za kuiba?
Yani mashabiki wa Lisu mmeshajihakikishia ushindi! Hivi ni Lisu tu ndio mwenye wafausi?
Jana kapigishwa jua pale killuvya kwa zaidi ya masaa 8 hakuna hata panzi alienda kumuunga mkono mpaka polisi wakamua kumuachia kwa hiyari yao akiwa hoi kachoka, alafu unakuja hapa eti akiibiwa kura? Kura kutoka wapi?
Mtu anaetarajiwa kupata 20% aibiwe kura?
Wataibiana na Membe labda.
Dah!...mpaka leo kuna watu bado wanasombwa kujaza mikutano? Au wanalipwa?Hahah kwny mikutano yenu acheni kwenda na wakina Diamond,msiwalazimishe wafanyakazi wa serikali waje kwny mikutano yenu,msizifunge shule ili mjaze watoto wa shule kwny mikutano na msikodi ma-bus,lorry kwenda kusomba watu muone kama mtapata hata watu 100.
Waache kudharau wale wanaotumia madaraka yao vibaya wamdharau mtu asie na kosa!!Lissu ana mtindio wa ubongo, na kashajikatia tamaa. Hizo purukushani afanyazo ni utopolo tu, naye anajua hawezi kushinda maana watanzania washamdharau kabisa.
hakuna wa kumwibia yeye asubiri uhakisiaAmini usiamini, Tanzania itakuwa kwenye taharuki kubwa ikiwa tume itapuuzia kuendesha uchaguzi huru na wa haki.
Nikimaanisha kuwapa haki mawakala wa vyama vyote haki ya kuingia vituoni na kuwapa nakala ya matokeo, wakipuuza tume Mambo haya mawili Kuna hatari kubwa inakuja.
Tazama what happened at kiluvya? Msichukue kiurahisi Mambo haya.
Nimefikisha
Kura zenyewe za kuibiwa ziko wapi?. Wao kila chaguzi wanaibiwa tu, tangu Mbowe, Slaa, lowasa.Mnaanza kujishtukia,akuna mtu wa kuibiwa kura kila chama kitakuwa na mawakala kuanzia ngazi za vituo mpaka wilayani/mikoani kwenye majumuisho.
sema mshaona upepo mbaya kwa Lissu mnatengeneza visingizio mapema.
moyon unaujua ukweli lakin....hiko ndo cha muhimuHivi kumbe lissu na vibaraka wenzake wanaamini wataibiwa Kura? Kura zip?
Daaah kweli Dunia haishiwi vituko.
Ukweli nikwamba Hata Kama TL akipewa jukumu la kuhesabu kura za JPM bado JPM atashinda asubuhi.. Kama lissu angegombea ubunge angepita asubuhi tu Ila Urais siyo level yake kabisaa.
Wanabebwa kama kawa mzee baba,kuna wilaya huko unajiandikisha kwenda kwny mkutano wa Wajomba unapewa na mifuko mitatu ya mbolea ili ukajaze mafuriko.Dah!...mpaka leo kuna watu bado wanasombwa kujaza mikutano? Au wanalipwa?
Nikulipe mshahara,nikujazie gari mafuta,posho ya nyumba nikupe na umtangaze mpinzani ni mshindi hiiiiiiiiiiiiiiii,yayaaaa geteeeeeeeee.Kura zenyewe za kuibiwa ziko wapi?. Wao kila chaguzi wanaibiwa tu, tangu Mbowe, Slaa, lowasa.
Ccm hawakubaliki.. labda kwa kikundi kidogo cha bongolala na akili mgandoKama ni kweli Magufuli na wagombea wake wanakubalika kwa Watanzania, kuna haja gani ya kuiba kura?