Lissu ni mwepesi sana kuingia kwenye mtego wa kisiasa, hafai kuwa kiongozi

naliwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2013
Posts
485
Reaction score
1,074
Ebu angalia wakati yeye anaangaika mahakamani na kesi zake , uku maandalizi ya uchaguzi yanaendelea kama yalivyopagwa,

Kiongozi wa ACT ameusoma udhaifu wa LISSU, kama mnafutilia siasa mtakubaliana na mimi kua ZITO ameona fursa ya chama chake kua chama kikuu cha upinzani,

LISSU mnampa tu credit za bure,, kiongozi gani haoni mambo kwa upana,
Hivi alishawai fikiri itakuaje kwa chama kukosa wateuliwa kwenye uchaguzi huu,

Ahaache kupoteza muda, ajue kua anavipa vyama vingine nguvu,

ACHENI KUMSIFIA SIFIA, NDO MNAMPOTEZA ZAIDI , MWAMBIENI UKWELI
 
Lissu anapambania vitu vya msingi ambavyo kwa akili ya machawa kwa sasa hawawezi kuvielewa!
Hivi unafikiri kwa mazingira yalivyo sasa kuna haja ya kufanya uchaguzi? Si Bora mkae vikao vyenu pale Dodoma mteuane vyeo!?
WaTanganyika si wajinga!
 
ENDELEENI KUMJAZA UPEPO UKU VYAMA VINGINE VIKIENDELEA NA MAANDALIZI YA UCHAGUZI ALAFU BAADA YA OCTOBER MJE HAPA

Hivi kwenye ile orodha ya vyama vinavyoshiriki uchaguzi CHADEMA ipo?. Au ulikuwa nje ya nchi?. Tatizo mnaongea bila kujua kinachoendelea.
 
Lissu anapambania vitu vya msingi ambavyo kwa akili ya machawa kwa sasa hawawezi kuvielewa!
Hivi unafikiri kwa mazingira yalivyo sasa kuna haja ya kufanya uchaguzi? Si Bora mkae vikao vyenu pale Dodoma mteuane vyeo!?
WaTanganyika si wajinga!
LISSU NI MZIGO. muda utaongea
 
Ebu angalia wakati yeye anaangaika mahakamani na kesi zake , uku maandalizi ya uchaguzi yanaendelea kama yalivyopagwa,

Kiongozi wa ACT ameusoma udhaifu wa LISSU, kama mnafutilia siasa mtakubaliana na mimi kua ZITO ameona fursa ya chama chake kua chama kikuu cha upinzani,

LISSU mnampa tu credit za bure,, kiongozi gani haoni mambo kwa upana,
Hivi alishawai fikiri itakuaje kwa chama kukosa wateuliwa kwenye uchaguzi huu,

Ahaache kupoteza muda, ajue kua anavipa vyama vingine nguvu,

ACHENI KUMSIFIA SIFIA, NDO MNAMPOTEZA ZAIDI , MWAMBIENI UKWELI
Mhii na wewe una ubongo?.
20240824_025055.jpg
 
LISSU NI MZIGO. muda utaongea
Tatizo mshazoea funika kombe mwanaharamu apite!
WaTanganyika kwa wingi wao washasusia chaguzi... Kiongozi yeyote wa chama chochote anayewapuuza anapuuzwa yeye na chama chake!
 
Uchaguzi umesusiwa kwenye mitandao ya kijamii huku mtaani watu wanausubiri kwa hamu
 
Ebu angalia wakati yeye anaangaika mahakamani na kesi zake , uku maandalizi ya uchaguzi yanaendelea kama yalivyopagwa,

Kiongozi wa ACT ameusoma udhaifu wa LISSU, kama mnafutilia siasa mtakubaliana na mimi kua ZITO ameona fursa ya chama chake kua chama kikuu cha upinzani,

LISSU mnampa tu credit za bure,, kiongozi gani haoni mambo kwa upana,
Hivi alishawai fikiri itakuaje kwa chama kukosa wateuliwa kwenye uchaguzi huu,

Ahaache kupoteza muda, ajue kua anavipa vyama vingine nguvu,

ACHENI KUMSIFIA SIFIA, NDO MNAMPOTEZA ZAIDI , MWAMBIENI UKWELI
Kwa akili yako yupo mtu wa kuamini mtu kama zitto opportunist
 
Ebu angalia wakati yeye anaangaika mahakamani na kesi zake , uku maandalizi ya uchaguzi yanaendelea kama yalivyopagwa,

Kiongozi wa ACT ameusoma udhaifu wa LISSU, kama mnafutilia siasa mtakubaliana na mimi kua ZITO ameona fursa ya chama chake kua chama kikuu cha upinzani,

LISSU mnampa tu credit za bure,, kiongozi gani haoni mambo kwa upana,
Hivi alishawai fikiri itakuaje kwa chama kukosa wateuliwa kwenye uchaguzi huu,

Ahaache kupoteza muda, ajue kua anavipa vyama vingine nguvu,

ACHENI KUMSIFIA SIFIA, NDO MNAMPOTEZA ZAIDI , MWAMBIENI UKWELI
hapana, yuko sahihi...unakwenda kwenye uchaguzi ambao unajua fika kuwa ccm watawaengua nyote! acha hizo
 
Ebu angalia wakati yeye anaangaika mahakamani na kesi zake , uku maandalizi ya uchaguzi yanaendelea kama yalivyopagwa,

Kiongozi wa ACT ameusoma udhaifu wa LISSU, kama mnafutilia siasa mtakubaliana na mimi kua ZITO ameona fursa ya chama chake kua chama kikuu cha upinzani,

LISSU mnampa tu credit za bure,, kiongozi gani haoni mambo kwa upana,
Hivi alishawai fikiri itakuaje kwa chama kukosa wateuliwa kwenye uchaguzi huu,

Ahaache kupoteza muda, ajue kua anavipa vyama vingine nguvu,

ACHENI KUMSIFIA SIFIA, NDO MNAMPOTEZA ZAIDI , MWAMBIENI UKWELI
Hivi zitto ni kiongozi wa ACT?
 
Imani haihitaji nguvu au matukio ya kupangwa ni swala la conviction tena ya kudumu.
 
Back
Top Bottom