Lissu ni mwepesi sana kuingia kwenye mtego wa kisiasa, hafai kuwa kiongozi

Ebu angalia wakati yeye anaangaika mahakamani na kesi zake , uku maandalizi ya uchaguzi yanaendelea kama yalivyopagwa,

Kiongozi wa ACT ameusoma udhaifu wa LISSU, kama mnafutilia siasa mtakubaliana na mimi kua ZITO ameona fursa ya chama chake kua chama kikuu cha upinzani,

LISSU mnampa tu credit za bure,, kiongozi gani haoni mambo kwa upana,
Hivi alishawai fikiri itakuaje kwa chama kukosa wateuliwa kwenye uchaguzi huu,

Ahaache kupoteza muda, ajue kua anavipa vyama vingine nguvu,

ACHENI KUMSIFIA SIFIA, NDO MNAMPOTEZA ZAIDI , MWAMBIENI UKWELI
Na huo ndio ukweli. Lissu hajui siasa. Anafikiri kufanya siasa ni kupigapiga kelele na kutishiatishia. Anamtisha nani!?
 
Uchaguzi gani ww matako? Zzk ni mchumia tumbo km ww
 
Hafai kuwa kiongozi, na mmefunga jera!
Upo uwanjani mnataka kupigana ngumi,mpinzani, wako, umemfunga mikono yote nyuma, refa ni baba yako, mashabiki ni, ndugu zako, umempiga ngumi kaanguka, anashindwa, kunyanyuka, unashangilia, aaah, huyu sio bondia,! Seriously, mfungue mikono uone kama, hakutatui malinda!
 
Na huo ndio ukweli. Lissu hajui siasa. Anafikiri kufanya siasa ni kupigapiga kelele na kutishiatishia. Anamtisha nani!?
Kwa, akili, hizi, South Afrika isingetoka kwenye ubaguzi, nyie kenge Mandela, alikaa gerezani, miaka, 27! Kupinga udhalimu wa, apartheid!
Vijana wa, siku, hz, akili, hamna,
 
Ebu angalia wakati yeye anaangaika mahakamani na kesi zake , uku maandalizi ya uchaguzi yanaendelea kama yalivyopagwa,

Kiongozi wa ACT ameusoma udhaifu wa LISSU, kama mnafutilia siasa mtakubaliana na mimi kua ZITO ameona fursa ya chama chake kua chama kikuu cha upinzani,

LISSU mnampa tu credit za bure,, kiongozi gani haoni mambo kwa upana,
Hivi alishawai fikiri itakuaje kwa chama kukosa wateuliwa kwenye uchaguzi huu,

Ahaache kupoteza muda, ajue kua anavipa vyama vingine nguvu,

ACHENI KUMSIFIA SIFIA, NDO MNAMPOTEZA ZAIDI , MWAMBIENI UKWELI
Nimecheka kinoma, ni hivi cdm haipiganii kuwa chama kikuu cha upinzani. Cdm inataka box la kura liheshimiwe sio ishiriki ili iwe chama kikuu cha upinzani, hatua hiyo cdm imeshavuka. Sisi wafuasi wa cdm tumeridhika na msimamo wa cdm wa NRNE. Hatuna muda wa kuendekeza siasa za hadaa ili cdm ipate nafasi kwa hisani.

Kama kuna chama kitakuwa tawala, ama kikuu cha upinzani kwa mazingira hayo hiyo ni juu yao. Lakini cdm inataka uchaguzi wa kweli na mshindi halali atangazwe, na sio kupeana ushindi nje ya box la kura. Siasa za hadaa zimeshapitwa na wakati.
 
Lissu anapambania vitu vya msingi ambavyo kwa akili ya machawa kwa sasa hawawezi kuvielewa!
Hivi unafikiri kwa mazingira yalivyo sasa kuna haja ya kufanya uchaguzi? Si Bora mkae vikao vyenu pale Dodoma mteuane vyeo!?
WaTanganyika si wajinga!
Kwa vyovyote vile, kama yatafanyika mabadiliko ya katiba au sheria za uchaguzi leo yatakuwa infavour ya CCM. Kama litaundwa Bunge la katiba leo, kwa namba waliyonayo CCM inamaana idadi ya 2/3 ya wajunbe wa bunge la katiba itatoka CCM... maana yake kwa namna yeyote yale, kwa hali ya sasa mabadiliko yote yatatoka CCM na watatoa tu yale yaliyo in their favour. Ukweli mchungu lakini Viongozi wa upinzania wanatakiwa kuukubali huo ukweli ili wasonge mbele (refer Fr. Kitima alivyosema - kwa tafiti hata CCM wakifanya uchaguzi leo waashinda kwa zaidi ya 75%)
 
Ebu angalia wakati yeye anaangaika mahakamani na kesi zake , uku maandalizi ya uchaguzi yanaendelea kama yalivyopagwa,

Kiongozi wa ACT ameusoma udhaifu wa LISSU, kama mnafutilia siasa mtakubaliana na mimi kua ZITO ameona fursa ya chama chake kua chama kikuu cha upinzani,

LISSU mnampa tu credit za bure,, kiongozi gani haoni mambo kwa upana,
Hivi alishawai fikiri itakuaje kwa chama kukosa wateuliwa kwenye uchaguzi huu,

Ahaache kupoteza muda, ajue kua anavipa vyama vingine nguvu,

ACHENI KUMSIFIA SIFIA, NDO MNAMPOTEZA ZAIDI , MWAMBIENI UKWELI
LISSU bado anaamini kwenye historical and colonial politics. Bado anaamini kuwa atatoka gerezani akawe RAIS kama Mandela. Katika Dunia hii kuwa na kiongozi wa kisiasa mwenye uwezo mdogo wa kusoma wakati ni kujipotezea MALENGO. Lissu anashindwa kuelewa kuwa siasa inakuwa determines na mwenendo wa muda na mazingira. Ndio maana Mahakamani aliwaho kutamka kuwa KUZUILIWA KWA JAJI FULANI WA NCHI JIRANI KUINGIA NCHINI KUNAWEZA KUKALETA MATOKEO FULANI KWA HALI YA SASA ( Kauli aliyotoa kimantiki ilifanana na maneno hayo niliyoandika- hakutamka kama nilivyoandika). Niliposikia kauli Ile nikuamini kuwa Lissu empty minded kwenye siasa za Tanzania. Tujiulize: Jaji FULANI alizuiwa na yeye is still behind bars na maandalizi ya Uchaguzi yanaendelea....What has CHADEMA achieved? Watamkumbuka Mbowe.
 
Ebu angalia wakati yeye anaangaika mahakamani na kesi zake , uku maandalizi ya uchaguzi yanaendelea kama yalivyopagwa,

Kiongozi wa ACT ameusoma udhaifu wa LISSU, kama mnafutilia siasa mtakubaliana na mimi kua ZITO ameona fursa ya chama chake kua chama kikuu cha upinzani,

LISSU mnampa tu credit za bure,, kiongozi gani haoni mambo kwa upana,
Hivi alishawai fikiri itakuaje kwa chama kukosa wateuliwa kwenye uchaguzi huu,

Ahaache kupoteza muda, ajue kua anavipa vyama vingine nguvu,

ACHENI KUMSIFIA SIFIA, NDO MNAMPOTEZA ZAIDI , MWAMBIENI UKWELI
Lissu amshindwa kuelewa game plan ya maccm

sasa anapotezewa muda,chama chake kinapasuliwa kirahisi sana

Lissu should have known all these na kuangalia counter plans ambazo ni cutting edge kuwazidi maccm

sasa zitto anaonekana michael jordan wa siasa...anajichukulia wanasiasa na wanachama wa lissu toka chadema kibwege sana

akili nyingi bila ujanja ndio imepelekea yote haya

im really sorry for lissu na wanachadema

chadema has been on the maccm lunch table..so sad!
 
Ebu angalia wakati yeye anaangaika mahakamani na kesi zake , uku maandalizi ya uchaguzi yanaendelea kama yalivyopagwa,

Kiongozi wa ACT ameusoma udhaifu wa LISSU, kama mnafutilia siasa mtakubaliana na mimi kua ZITO ameona fursa ya chama chake kua chama kikuu cha upinzani,

LISSU mnampa tu credit za bure,, kiongozi gani haoni mambo kwa upana,
Hivi alishawai fikiri itakuaje kwa chama kukosa wateuliwa kwenye uchaguzi huu,

Ahaache kupoteza muda, ajue kua anavipa vyama vingine nguvu,

ACHENI KUMSIFIA SIFIA, NDO MNAMPOTEZA ZAIDI , MWAMBIENI UKWELI
Kuwa chama kikuu cha upinzani siyo lelemama.
 
Uchaguzi umesusiwa kwenye mitandao ya kijamii huku mtaani watu wanausubiri kwa hamu
Sijui kama unajua...
Hamasa kwenye chaguzi zetu ilionrkana mwaka 2000 ambapo zaidi ya watu 8+M waliojitokeza kupiga kura kati ya 10+M waliojiandikisha (84%)!

Mwaka 2015 uchaguzi wenye hamasa zote zile only 15M Tanzanians voted out of the 23M registered voters. Najua hutaki kujiuliza kwa nini wapigakura takribani 8M hawakujitokeza (65%)!

Mwaka 2020 uchaguzi uliofuata waliandikishwa wapiga kura 30M... Waliojitokeza vituoni ni nusu (50%)!
Najua bado hutaki kujiuliza kwa nini wapigakura takribani 15M hawakujitokeza!

Pamoja na uchakachuaji wote unaofanyika... Takwimu zinaonesha mdororo wa watu kujitokeza kupiga kura vituoni!

Mwaka 2025 bila shaka ndo mwaka utakaovunja rekodi kwa Rais kuchaguliwa na idadi ndogo zaidi ya waliojiandikisha kupiga kura!

WANANCHIWAMECHOKA

Rejea: IFES Election Guide | Country Profile: Tanzania, United Republic of
 
Ulivyokilaza na wewe unaamini kabisa huo utapeli unaoenda kufanyika kwamba ni uchaguzi.
 
Ebu angalia wakati yeye anaangaika mahakamani na kesi zake , uku maandalizi ya uchaguzi yanaendelea kama yalivyopagwa,

Kiongozi wa ACT ameusoma udhaifu wa LISSU, kama mnafutilia siasa mtakubaliana na mimi kua ZITO ameona fursa ya chama chake kua chama kikuu cha upinzani,

LISSU mnampa tu credit za bure,, kiongozi gani haoni mambo kwa upana,
Hivi alishawai fikiri itakuaje kwa chama kukosa wateuliwa kwenye uchaguzi huu,

Ahaache kupoteza muda, ajue kua anavipa vyama vingine nguvu,

ACHENI KUMSIFIA SIFIA, NDO MNAMPOTEZA ZAIDI , MWAMBIENI UKWELI
Zitto ni level nyingine huwezi linganisha na hilo lofa akibaraka la wazungu. Zitto mtu ameweza kuanzisha chama chake na kujenga makao makuu kabla ya hao chadomo. Zitto ni akili kubwa.
 
Ebu angalia wakati yeye anaangaika mahakamani na kesi zake , uku maandalizi ya uchaguzi yanaendelea kama yalivyopagwa,

Kiongozi wa ACT ameusoma udhaifu wa LISSU, kama mnafutilia siasa mtakubaliana na mimi kua ZITO ameona fursa ya chama chake kua chama kikuu cha upinzani,

LISSU mnampa tu credit za bure,, kiongozi gani haoni mambo kwa upana,
Hivi alishawai fikiri itakuaje kwa chama kukosa wateuliwa kwenye uchaguzi huu,

Ahaache kupoteza muda, ajue kua anavipa vyama vingine nguvu,

ACHENI KUMSIFIA SIFIA, NDO MNAMPOTEZA ZAIDI , MWAMBIENI UKWELI
Wateuliwa gani mkuu ambao wanakatwa majina kabla ya uchaguzi kufanyika.
 
Ebu angalia wakati yeye anaangaika mahakamani na kesi zake , uku maandalizi ya uchaguzi yanaendelea kama yalivyopagwa,

Kiongozi wa ACT ameusoma udhaifu wa LISSU, kama mnafutilia siasa mtakubaliana na mimi kua ZITO ameona fursa ya chama chake kua chama kikuu cha upinzani,

LISSU mnampa tu credit za bure,, kiongozi gani haoni mambo kwa upana,
Hivi alishawai fikiri itakuaje kwa chama kukosa wateuliwa kwenye uchaguzi huu,

Ahaache kupoteza muda, ajue kua anavipa vyama vingine nguvu,

ACHENI KUMSIFIA SIFIA, NDO MNAMPOTEZA ZAIDI , MWAMBIENI UKWELI
ulishawahi kujiuliza swali hili .... je nina AKILI TIMAMU? Kama ulishawahi kujua kama una akili timamu au lah. basi jua kwamba wewe huna akili timamu
 
Back
Top Bottom