UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 10,047
- 9,346
"Lissu ni mwepesi sana kuingia kwenye mtego wa kisiasa hafai kua kiongozi"
Naunga mkono hoja 👆
Uwezo wake wa kufikiri na kuona mambo kwa upana ni mdogo sana. Ukichanganya na ukweli kwamba uwezo wake wa kufikiri hutegemeana na majira ya mwezi, yani ndiyo kabisaa!