Ebu angalia wakati yeye anaangaika mahakamani na kesi zake , uku maandalizi ya uchaguzi yanaendelea kama yalivyopagwa,
Kiongozi wa ACT ameusoma udhaifu wa LISSU, kama mnafutilia siasa mtakubaliana na mimi kua ZITO ameona fursa ya chama chake kua chama kikuu cha upinzani,
LISSU mnampa tu credit za bure,, kiongozi gani haoni mambo kwa upana,
Hivi alishawai fikiri itakuaje kwa chama kukosa wateuliwa kwenye uchaguzi huu,
Ahaache kupoteza muda, ajue kua anavipa vyama vingine nguvu,
ACHENI KUMSIFIA SIFIA, NDO MNAMPOTEZA ZAIDI , MWAMBIENI UKWELI