Lissu anapambania vitu vya msingi ambavyo kwa akili ya machawa kwa sasa hawawezi kuvielewa!Ebu angalia wakati yeye anaangaika mahakamani na kesi zake , uku maandalizi ya uchaguzi yanaendelea kama yalivyopagwa,
Kiongozi wa ACT ameusoma udhaifu wa LISSU, kama mnafutilia siasa mtakubaliana na mimi kua ZITO ameona fursa ya chama chake kua chama kikuu cha upinzani,
LISSU mnampa tu credit za bure,, kiongozi gani haoni mambo kwa upana,
Hivi alishawai fikiri itakuaje kwa chama kukosa wateuliwa kwenye uchaguzi huu,
Ahaache kupoteza muda, ajue kua anavipa vyama vingine nguvu,
ACHENI KUMSIFIA SIFIA, NDO MNAMPOTEZA ZAIDI , MWAMBIENI UKWELI
ENDELEENI KUMJAZA UPEPO UKU VYAMA VINGINE VIKIENDELEA NA MAANDALIZI YA UCHAGUZI ALAFU BAADA YA OCTOBER MJE HAPA
Unaukaribiaje ule utumbo uliochacha??Nenda ukamfokee Mkurugenzi wa Tume ya uchaguzi aliyesema CHADEMA wamejiondoa kwenye uchaguzi kwa kutosaini kanuni za maadili.
LISSU NI MZIGO. muda utaongeaLissu anapambania vitu vya msingi ambavyo kwa akili ya machawa kwa sasa hawawezi kuvielewa!
Hivi unafikiri kwa mazingira yalivyo sasa kuna haja ya kufanya uchaguzi? Si Bora mkae vikao vyenu pale Dodoma mteuane vyeo!?
WaTanganyika si wajinga!
Mhii na wewe una ubongo?.Ebu angalia wakati yeye anaangaika mahakamani na kesi zake , uku maandalizi ya uchaguzi yanaendelea kama yalivyopagwa,
Kiongozi wa ACT ameusoma udhaifu wa LISSU, kama mnafutilia siasa mtakubaliana na mimi kua ZITO ameona fursa ya chama chake kua chama kikuu cha upinzani,
LISSU mnampa tu credit za bure,, kiongozi gani haoni mambo kwa upana,
Hivi alishawai fikiri itakuaje kwa chama kukosa wateuliwa kwenye uchaguzi huu,
Ahaache kupoteza muda, ajue kua anavipa vyama vingine nguvu,
ACHENI KUMSIFIA SIFIA, NDO MNAMPOTEZA ZAIDI , MWAMBIENI UKWELI
LISSU NI MZIGO. muda utaongea
ENDELEENI KUMJAZA UPEPOMhii na wewe una ubongo?.
View attachment 3402104
Tatizo mshazoea funika kombe mwanaharamu apite!LISSU NI MZIGO. muda utaongea
Uchaguzi umesusiwa kwenye mitandao ya kijamii huku mtaani watu wanausubiri kwa hamuTatizo mshazoea funika kombe mwanaharamu apite!
WaTanganyika kwa wingi wao washasusia chaguzi... Kiongozi yeyote wa chama chochote anayewapuuza anapuuzwa yeye na chama chake!
UKU-HUKUENDELEENI KUMJAZA UPEPO UKU VYAMA VINGINE VIKIENDELEA NA MAANDALIZI YA UCHAGUZI ALAFU BAADA YA OCTOBER MJE HAPA
Kwa akili yako yupo mtu wa kuamini mtu kama zitto opportunistEbu angalia wakati yeye anaangaika mahakamani na kesi zake , uku maandalizi ya uchaguzi yanaendelea kama yalivyopagwa,
Kiongozi wa ACT ameusoma udhaifu wa LISSU, kama mnafutilia siasa mtakubaliana na mimi kua ZITO ameona fursa ya chama chake kua chama kikuu cha upinzani,
LISSU mnampa tu credit za bure,, kiongozi gani haoni mambo kwa upana,
Hivi alishawai fikiri itakuaje kwa chama kukosa wateuliwa kwenye uchaguzi huu,
Ahaache kupoteza muda, ajue kua anavipa vyama vingine nguvu,
ACHENI KUMSIFIA SIFIA, NDO MNAMPOTEZA ZAIDI , MWAMBIENI UKWELI
hapana, yuko sahihi...unakwenda kwenye uchaguzi ambao unajua fika kuwa ccm watawaengua nyote! acha hizoEbu angalia wakati yeye anaangaika mahakamani na kesi zake , uku maandalizi ya uchaguzi yanaendelea kama yalivyopagwa,
Kiongozi wa ACT ameusoma udhaifu wa LISSU, kama mnafutilia siasa mtakubaliana na mimi kua ZITO ameona fursa ya chama chake kua chama kikuu cha upinzani,
LISSU mnampa tu credit za bure,, kiongozi gani haoni mambo kwa upana,
Hivi alishawai fikiri itakuaje kwa chama kukosa wateuliwa kwenye uchaguzi huu,
Ahaache kupoteza muda, ajue kua anavipa vyama vingine nguvu,
ACHENI KUMSIFIA SIFIA, NDO MNAMPOTEZA ZAIDI , MWAMBIENI UKWELI
Hivi zitto ni kiongozi wa ACT?Ebu angalia wakati yeye anaangaika mahakamani na kesi zake , uku maandalizi ya uchaguzi yanaendelea kama yalivyopagwa,
Kiongozi wa ACT ameusoma udhaifu wa LISSU, kama mnafutilia siasa mtakubaliana na mimi kua ZITO ameona fursa ya chama chake kua chama kikuu cha upinzani,
LISSU mnampa tu credit za bure,, kiongozi gani haoni mambo kwa upana,
Hivi alishawai fikiri itakuaje kwa chama kukosa wateuliwa kwenye uchaguzi huu,
Ahaache kupoteza muda, ajue kua anavipa vyama vingine nguvu,
ACHENI KUMSIFIA SIFIA, NDO MNAMPOTEZA ZAIDI , MWAMBIENI UKWELI
Imani haihitaji nguvu au matukio ya kupangwa ni swala la conviction tena ya kudumu.Ebu angalia wakati yeye anaangaika mahakamani na kesi zake , uku maandalizi ya uchaguzi yanaendelea kama yalivyopagwa,
Kiongozi wa ACT ameusoma udhaifu wa LISSU, kama mnafutilia siasa mtakubaliana na mimi kua ZITO ameona fursa ya chama chake kua chama kikuu cha upinzani,
LISSU mnampa tu credit za bure,, kiongozi gani haoni mambo kwa upana,
Hivi alishawai fikiri itakuaje kwa chama kukosa wateuliwa kwenye uchaguzi huu,
Ahaache kupoteza muda, ajue kua anavipa vyama vingine nguvu,
ACHENI KUMSIFIA SIFIA, NDO MNAMPOTEZA ZAIDI , MWAMBIENI UKWELI
Walio mtandaoni unadhani ni ideal humans au softwares.Uchaguzi umesusiwa kwenye mitandao ya kijamii huku mtaani watu wanausubiri kwa hamu