Lissu ni mwepesi sana kuingia kwenye mtego wa kisiasa, hafai kuwa kiongozi

Mheshimiwa kumdhibiti kwa kisingizio cha kinywa chake bila shaka mgempiga risasi kwa mara ya pili.
 
Hapo umefikia upeo wako wa juu kabisa wa kufikiri!
 
Ukweli upi?. Ukitaka awe dalali Kama zito?. Wakati yupo ndani mikutano si ilikua inaendelea na heche akawajambisha now mmefungia chadema. Ccm ndiyo wepesi sana. na ndiyo maana amtaki uchakuzi uwe wa haki. HAKI na ccm ni MUNGU na Shetani
 
Alinifurahisha Sana alivyoukwepa mtego wa kisiasa wa "Wenje". Jomba ana balaa Sana,kimasihara akautwaa uenyekiti🤣
 
Kwa hiyo unataka leo Lissu akubali nusu mkate atoke gelezani afutiwe kesi zote na CDM ikubali kuingia uchaguzi siyo?
 
Kushiriki uchaguzi katika mazingira haya ni uwendawazimu
Ni taahira pekee anaweza kupeleka chama chake kwenye uchaguzi huu akifikiri kuishinda CCM.

Yaani kwa Tume hii hadi muda huu CCM ishashinda 98%. ya majimbo yote.
2% watagawana Chauma na ACT kwa hisani ya CCM.
 
Lissu na CCM lao moja. Lissu katumwa kuiua Chadema. Lissu halali gerezani.
 
Shida za tatizo la liko kwako kwa kiwango cha juu sana. Unaonaongelea uchaguzi upi? Huu tayari matokeo yako mezani? Rais akiwa jimbo la Busega amemuahidi Mpina kwenye viti vyake Kumi,hivyo akawaagiza wasimchague kwenye ubunge. Sasa hapo kuna uchaguzi au maigizo ya uchaguzi. Binafsi nashukuru kwa kuwa siku hiyo itakuwa siku ya mapumziko nitatafuta shughuli ya maana kuifanya,ili kuikumbuka siku ambayo sikupiga kura toka niwe na sifa za kupiga kura enzi ya Mwalimu Nyerere
 
Hivi zitto ni kiongozi wa ACT?
mkuu naona bado unaleta dharau kwa your opponent

ni very amusing pal machadema yanapojifanya kuleta masihara ndani ya vita eti kwa kuwacheka opponents wake

big mistake

zitto is gonna burry all of you

recognize and respect your opponents na wape attention inayotakiwa uweze ku figure out how to take them out

leo unauliza,eti zitto ni kiongozi wa ACT?it means unamdharau sana zitto na ACT.....

machadema are just kids......just liket this here!
 
Wewe ni mjinga hustahili kutoa ushauri hata kwa wadogo zako.

Hivi Lissu amejipa hizo kesi mahakamani ?!.

Kwamba Lissu amejitandika risasi 38 na 16 mwilini mwake ?!.


Ushauri ulitakiwa uelekezwe kwa wanaosababisha matatizo kwa wengine kwa kulinda madaraka yao. Si kwa Lissu mwaathirika
 
Mkiwa na njaa huwa mnazani kila mtu ana tamaa kama nyie. Miaka yote hiyo wamefanya wanachofanya na hakija wapa matokeo chanya na wameumizwa na wameuliwa na wamepotezwa na vilema juu. Unadhani wewe una akili kweli. ? Acha nisikutukane ila shingo yako naionea huruma imebeba beseni la 💩💩
 
Lakini yote hayo ni kwa sababu ya kutaka kuwa chama kikuu Cha upinzani au nia ni kuweka utaratibu mzuri wa kuchagua au kuchaguliwa? Lissu yupo sahihi kabisa,haiwezekani watu wote nchi mzima tuwe misukule kwa kupata viongozi ambao watu wanaupata kwa maagizo ya aliyepo madarakani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…