Uchaguzi 2020 Lissu ni zaidi ya Lowassa, kaeni mkao wa kukabidhi Nchi kwa Amani

Kwa kweli wanahangaika sana, na sisi tunasema baada ya tarehe 28/10/2020 hatutaki story za kuobiwa kura hapa.
 
Pamoja na TBC kuibeba ccm, kazi wanayo.Sio kwetu watu wrote wanasema urais ni lissu
 
Kama jpm ameweza kuwa rais hakuna atakayeshindwa kuwa rais.
 
Siku moja nilipita mitaa ya Karume kununua gazeti akaja mama mmoja hivi kajifunika kanga kuona picha ya Lissu gazetini akapigwa na mshangao anauliza " jamaani huyu si Lissu" mwisho akasema " ambaye hajakuumba hawezi kukuumbua"

Mama yule alitoka akiwa na bashasha tele baada ya kuambiwa Lissu anagombea urais.
 
Kama Kura za Maoni ccm walitumia makapu ya hela Rushwa sijui itakuwa makapu mangapi kura hii? Lol! Yetu macho! Mpaka mawaziri kama Yule mama anagawa pesa kama njugu na wote waliochukua fomu wote wanalalamika kuwa kutoa hela ilikuwa lazima!
 
Pumbavu
Mnapakua picha mitandaoni ili mumdanganye nani ?
 
Mkuu naomba kueleweshwa ziliposimikwa hizo windmills hapa tz tafadhali.
 
Mkuu ongeza picha ziwe nyingi ili na Vijijini waone hizo picha maana huko Vijijini hamna taarifa za hivyo
 
oyaaa izi threads zote zishatosha sasa kila saa kitu icho icho
 
Makamanda kwa kutiana molali mko njema, uhalisia John pombe magufuli wa ccm atatangazwa mshindi baada ya kuongoza kwa kura nyingi sana.
Hata mtoto wa mkulu juzi tulikuwa nae mahala anasema kabisa anajiandaa kuondoka white house
 
Ametujengea sisi hayo! Lissu akitawala atayaendeleza tu hakuna ubaya!
 
Hayo madude yanamsaidia nini mwananchi wa Bugembe kwimba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…