n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Huu ndio ukweli mchungu. Mungu ibariki CCM, Mungu ibariki Tanzania.Makamanda kwa kutiana molali mko njema, uhalisia John pombe magufuli wa ccm atatangazwa mshindi baada ya kuongoza kwa kura nyingi sana.
Salendar bridgeichumu lya,
Porojo aiseee. LISSU mwenyewe amekiri kuwa kwa maendeleo haya yaliyofanywa na RAIS WETU MPENDWA JPM tena kwa kipindi kifupi, Aisee PAMOJA na Marisasi ya kutengeneza na sanaa kutoboa ni kazi so wamekubaliana waanzishe mitafaruku akamatwe apate umaarufu wa huruma.
Nakubaliana na wewe bado kuna mapungufu mengi ya maendeleo na hakutakuja siku yote yakakamilishwa kwa sababu maisha ya binadamu hubadilika (dynamic).Hizi ni propaganda tu zisizo na Uhalisia wowote kwa maisha ya Mtanzania....!!!!
1. Hivi unajua Kuna Shule za msingi na Sekondari Zina Mwalimu mmoja au 2 tu?...
Nakubaliana na wewe bado kuna mapungufu mengi ya maendeleo na hakutakuja siku yote yakakamilishwa kwa sababu maisha ya binadamu hubadilika (dynamic)....
PoleWasichoelewa watu ni kwamba Magufuli na CCM yake wakati umewakataa!
Yaani majira hayakubaliani nao ingawa wanalazimisha!
Japo watu wanapuuza lakini CCM inaanguka mwaka huu... na Magufuli hana upepo kabisa!
Naamini hoja zako zinawakilisha au ni "copy & paste" za viongozi wa upinzani, hasa CHADEMA. Ni hoja zinatokana na madai ya muda mrefu ya upinzani yanayosukumwa kisiasa (hawatoi ushahidi) kwa nia ya kupata huruma ya jamii ya kiTanzania na kiMataifa.Hilo la kusema ati Wapinzani kazi yao ni kulaumu,kupinga na kulalamika sikubaliani na wewe....!!!
Hivi ulitegemea Wapinzani wafanyeje au waseme Nini? Hivi unyama, ubabe na ukatili anaowafanyia Wapinzani huyu Rais Magufuli wanyamae tu kama mijikondoo? Tabia hii ya Jiwe ni mpya kabisa na haijawahi kufanywa na Marais wote walopita!!!
Hata leo hii ikatokea CCM wakawa upande pinzani wataanza kulalamika tu....!!
Delete ccm Oct 28Nimefanikiwa kupitia mikoa zaidi ya saba bara tangu Lissu arejee nchini na kuonesha nia ya dhati ya kugombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, nimekutana na watu wengi lakini jambo kubwa ni upendo watu walionao kwa Lissu.
Naamini kama wameandikishwa kwenye daftari ya wapiga kura Lissu atabeba 80% ya kura zote kinachotakiwa ni ulinzi wa kura na kuweka mikakati ya kulazimisha kutangaza mshindi hili likifanikiwa Magufuli atavunja record sio tu ya kutawala kwa muhula mmoja bali kukabidhi nchi bila maandamano na kumwaga damu.
Unataka mafuriko subiri kampeni zianzeNaamini hoja zako zinawakilisha au ni "copy & paste" za viongozi wa upinzani, hasa CHADEMA. Ni hoja zinatokana na madai ya muda mrefu ya upinzani yanayosukumwa kisiasa (hawatoi ushahidi) kwa nia ya kupata huruma ya jamii ya kiTanzania na kiMataifa...
Pole wewe mwenye dhiki! Msura wako umechakaa kama nguo yenye kiraka!!Pole
Naweza kukubaliana na wewe kwa kuwa Bashiru alisema ccm itatumia vyombo vyote vya dola kuhakikisha kinabaki madarakani. Moja ya vyombo hivyo ni tume ya uchaguzi.Umepitia mikoa saba kwa usafiri gani na nani alikutuma. Uwekezaji wa Lowassa kwenye siasa za urais wa nchi unaweza mlinganisha na huyo mpiga kelele wenu asiyejitambua. Nani ampe nchi yule.Magu anajizoelea 95% na 90% ya wabunge
Nimefanikiwa kupitia mikoa zaidi ya saba bara tangu Lissu arejee nchini na kuonesha nia ya dhati ya kugombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, nimekutana na watu wengi lakini jambo kubwa ni upendo watu walionao kwa Lissu.
Naamini kama wameandikishwa kwenye daftari ya wapiga kura Lissu atabeba 80% ya kura zote kinachotakiwa ni ulinzi wa kura na kuweka mikakati ya kulazimisha kutangaza mshindi hili likifanikiwa Magufuli atavunja record sio tu ya kutawala kwa muhula mmoja bali kukabidhi nchi bila maandamano na kumwaga damu.
Makamanda kwa kutiana molali mko njema, uhalisia John pombe magufuli wa ccm atatangazwa mshindi baada ya kuongoza kwa kura nyingi sana.
Hakuna kitu kama hichoWasichoelewa watu ni kwamba Magufuli na CCM yake wakati umewakataa!
Yaani majira hayakubaliani nao ingawa wanalazimisha!
Japo watu wanapuuza lakini CCM inaanguka mwaka huu... na Magufuli hana upepo kabisa!
Magufuli ni kwavile tu hatuna tume huru, tungekuwa na tume huru Magufuli angeondolewa kabisa kwenye kinyang'anyiro cha uraisi, maana hana sifa sio tu za kuwa raisi hata mwenyekiti wa kitogoji hafai kabisa. raisi gani kila akiongea ni kejeri kwa wanawake na wanachi anaowaongoza. raisi unatakiwa uwe mnyenyekevu kwani unalipwa mshahara mzuri na watu wenyeshida nyingi. kuwa raisi haina maana kuwa wewe ni mtu mhimu kuliko wananchi wengine bali ni kwasababu wote tukiwa maraisi nani ataongozwa?Nimefanikiwa kupitia mikoa zaidi ya saba bara tangu Lissu arejee nchini na kuonesha nia ya dhati ya kugombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, nimekutana na watu wengi lakini jambo kubwa ni upendo watu walionao kwa Lissu.
Naamini kama wameandikishwa kwenye daftari ya wapiga kura Lissu atabeba 80% ya kura zote kinachotakiwa ni ulinzi wa kura na kuweka mikakati ya kulazimisha kutangaza mshindi hili likifanikiwa Magufuli atavunja record sio tu ya kutawala kwa muhula mmoja bali kukabidhi nchi bila maandamano na kumwaga damu.
weka numba nikurushie ya bia mbiliCCM Kwa sasa sala zenu zote ni kwa polisi na Time ya Magufuli tu. Hamna mlichobakiza.
Niwape taarifa: safari hii polisi hawatafua dafu na hata mkileta jeshi la wananchi labda mtuuwe wote. Maana hatuna cha kupoteza!
Ni bora tuawe barabarani tukiitafuta haki ili ikiwezekana tukose wote badala ya kuwaruhusu muendelee kutawala kwa ushindi wa wizi.
Aki ya nani hatabaki mtu safari hii mkitumia usalama na policcm wenu.
Atashinda na njaa labda.Magufuli atashinda mchana kweupe
Sikuwa na maana mafuriko ya mashabiki kwenye kampeni, ambao wengi wao huenda tu kupoteza muda, na si wapiga kura.Unataka mafuriko subiri kampeni zianze
Mbona hamkufanya hivyo 2015, lakini hata sasa licha ya kuwepo watu kibao wa propaganda, lakini ukweli wa mambo kura zenu hazitoshiNimefanikiwa kupitia mikoa zaidi ya saba bara tangu Lissu arejee nchini na kuonesha nia ya dhati ya kugombea Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, nimekutana na watu wengi lakini jambo kubwa ni upendo watu walionao kwa Lissu.