Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Umeleta Uzi alafu unakuwa mtu wa pili Ku comment baada ya kuanzisha Uzi.
Vituko!
Coward president Pombe Magufuli.
He's real fucking coward.
Bora umesema ni Rais wa awamu ya tano,siyo awamu ya sita.!
Ila anavyowataja Waislamu kama specific group linaloonewa hapo hayuko sawa naona kama kuna Udini ndani yake, anataka kura za huruma kutoka Dini hiyo
Magufuli nusu muhula umemtosha, akijaribu kulazimisha atabaki Yeye na familia yake kwenye vizimba vya mahakama za kimataifa.Hahaaaa, Mkuu awamu ya sita itakuwa in 2025, keep waiting..
Kwani lissu ni lowassa?kwa nini kila uchaguzi wanasiasa wanatumia Mashek wa uamsho kama kete ya kutaka kura? kama hao mashee wana haki kwa nini hawapewi lkn ktk kila kipindi cha uchaguzi utasikiaa wagombea wana watumia kama kete....halafu uchaguzi ukiisha hakuna atakaye wazungumzia!! Lowasa aliiahidi hivyo hivyo ktk uchaguzi wa mwaka 2015 Lisu naye tena mwaka huu 2020...kuna jambo la kutafakari
Kwanza jifunze kunukuu vizuri hapa JF.Kwanza jielimishe uzijue tofauti kati ya "Kifungo" na "Mahabusu" , hapo utazijua status za hao wanazuoni wa dini kuwa wamefungwa ama wako mahabusu..
Asante.
Kwa nini unadhani sijakuelewa?Nadhani hujanielewa mimi nataka hao watoke na wengine sitaki hii itumike kama yale ya babu Seya. Hawa walifungwa toka wakati wa Kikwete na Kikwete ana mkono katika hili, huwezi kuwafunga watu bila kesi na hizi sheria zao za baadhi ya kesi kukosa dhamana mimi nataka aseme makosa yote yatakuwa na dhamana ili kuruhusu haki itendeke. Naunga mkono hilo na wengine wengi wanaosota ndani bila kesi, Haki ni msingi wa kila kitu.
Ipi?Evidence?
HaiweziHivi hii hoja Magufuli aliwahi kuijibu popote?
Kwani umesahau kama miaka mitano midomo yetu ilitiwa zipukwa nini kila uchaguzi wanasiasa wanatumia Mashek wa uamsho kama kete ya kutaka kura? kama hao mashee wana haki kwa nini hawapewi lkn ktk kila kipindi cha uchaguzi utasikiaa wagombea wana watumia kama kete....halafu uchaguzi ukiisha hakuna atakaye wazungumzia!! Lowasa aliiahidi hivyo hivyo ktk uchaguzi wa mwaka 2015 Lisu naye tena mwaka huu 2020...kuna jambo la kutafakari
Kwanza jifunze kunukuu vizuri hapa JF.
Kwa nini unafikiri nahitaji kujifunza tofauti ya kifungo na mahabusu?
Kifungo ni nini na mahabusu ni nini? Mahabusu ina ukomo gani? What is the letter and spirit of the law?
Nimesoma ripoti ya Jaji Nyalali kuhusu sheria 40 kandamizi, unaijua? Umeisoma?
Unajua indefinite detention ni nini na madhara yake?
Waulize waliowashikilia kwanini wanaendelea kuwashikilia nakutoa mwanya kwawapinzani kilainapo fika uchaguzi wanawatumia kama mtaji wawa funge au wawaachie kwajambo hili linaumiza sanakwa nini kila uchaguzi wanasiasa wanatumia Mashek wa uamsho kama kete ya kutaka kura? kama hao mashee wana haki kwa nini hawapewi lkn ktk kila kipindi cha uchaguzi utasikiaa wagombea wana watumia kama kete....halafu uchaguzi ukiisha hakuna atakaye wazungumzia!! Lowasa aliiahidi hivyo hivyo ktk uchaguzi wa mwaka 2015 Lisu naye tena mwaka huu 2020...kuna jambo la kutafakari
Sawa kabisa.View attachment 1602807
Mgombea urais Tundu Lissu ameendelea kusisitiza na kumtaka Rais Magufuli awaachie mara moja mashekhe wa Uamsho na mahabusu wengine waliofungwa kwa hila.
Tundu Lissu ameahidi ndani ya siku 100 za kwanza atakapo ingia madarakani ataawachia mashekhe wa Uamsho kwani kesi yao haina msingi wowote.
Lissu amewauliza waislam wa nchi hii kwa nini hawapazi sauti kuhusu unyama wanaofanyiwa waislam wenzao? Hapo hapo akawaomba watumie kura yao vizuri katika uchaguzi huu ili ndugu zao waweze kuachiwa huru.
Tundu Lissu ameshangaa iweje mashekhe hao wasipelekwe mahakamani kama kweli wana kesi ya kujibu ili mahakama iweze kuamua kama wamevunja sheria ama lah.
Suala lipo mahakamani,Lissu anakuwa na kiwewe cha kutaka kick ili iweje??Very good Mkuu, so kama unajua kuwa hao wapo mahabusu na kuwa bado hawajahukumiwa na kufungwa, then ingefaa ukaongelea 'madhara' ya kuwaweka mahabusu kwa muda mrefu kabla ya kesi yao kumalizika.
Bottom line - Masheikh wapo Mahabusu, bado hawajahukumiwa kufungwa..!!
Haujui ughaidi huyo anasema tu.View attachment 1602807
Mgombea urais Tundu Lissu ameendelea kusisitiza na kumtaka Rais Magufuli awaachie mara moja mashekhe wa Uamsho na mahabusu wengine waliofungwa kwa hila.
Tundu Lissu ameahidi ndani ya siku 100 za kwanza atakapo ingia madarakani ataawachia mashekhe wa Uamsho kwani kesi yao haina msingi wowote.
Lissu amewauliza waislam wa nchi hii kwa nini hawapazi sauti kuhusu unyama wanaofanyiwa waislam wenzao? Hapo hapo akawaomba watumie kura yao vizuri katika uchaguzi huu ili ndugu zao waweze kuachiwa huru.
Tundu Lissu ameshangaa iweje mashekhe hao wasipelekwe mahakamani kama kweli wana kesi ya kujibu ili mahakama iweze kuamua kama wamevunja sheria ama lah.
Lowasa alishinda?kwa nini kila uchaguzi wanasiasa wanatumia Mashek wa uamsho kama kete ya kutaka kura? kama hao mashee wana haki kwa nini hawapewi lkn ktk kila kipindi cha uchaguzi utasikiaa wagombea wana watumia kama kete....halafu uchaguzi ukiisha hakuna atakaye wazungumzia!! Lowasa aliiahidi hivyo hivyo ktk uchaguzi wa mwaka 2015 Lisu naye tena mwaka huu 2020...kuna jambo la kutafakari
Suala lipo mahakamani,Lissu anakuwa na kiwewe cha kutaka kick ili iweje??
Huku ni kutaka kuungwa mkono na mafungu mbalimbali ya Watanzania, hata kama ni mafungu ya waharifu. Kwa nini mashehe tu ndiyo waachiliwe na si wafungwa wengine? Lissu anamaanisha kwamba hao mashehe wanashikiliwa kwa ajili ya Uislamu wao na hivyo anataka apate sapoti ya Waislamu. Ikumbukwe kwamba hao mashehe walishikwa wakati wa utawala wa Kikwete ambaye ni Muislamu.View attachment 1602807
Mgombea urais Tundu Lissu ameendelea kusisitiza na kumtaka Rais Magufuli awaachie mara moja mashekhe wa Uamsho na mahabusu wengine waliofungwa kwa hila.
Tundu Lissu ameahidi ndani ya siku 100 za kwanza atakapo ingia madarakani ataawachia mashekhe wa Uamsho kwani kesi yao haina msingi wowote.
Lissu amewauliza waislam wa nchi hii kwa nini hawapazi sauti kuhusu unyama wanaofanyiwa waislam wenzao? Hapo hapo akawaomba watumie kura yao vizuri katika uchaguzi huu ili ndugu zao waweze kuachiwa huru.
Tundu Lissu ameshangaa iweje mashekhe hao wasipelekwe mahakamani kama kweli wana kesi ya kujibu ili mahakama iweze kuamua kama wamevunja sheria ama lah.
kwann iwe siku 100 na sio siku moja