Nyinyi vurugeni amani halafu mseme watu wengine. Nawaambia pakiharibika huyo Lisu au Mbowe hamtawaina hata siku moja. Vurugeni nyumba yenu ukitaraji jirani akusaidie.Lisu ni mgombea halisi toka zao la upinzani, sio pandikizi toka chama tawala. Hivyo anachokiongea yupo tayari kukitetea tofauti na ilivyokuwa kwa Lowasa au Membe kama alivyopandikizwa awamu hii ya uchaguzi.
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi (NEC) anajukumu kubwa la kulinda amani ya nchi hii kwa kutenda haki kwa kumtangaza mshindi wa kweli.
HahahaaWakati serikali ina hamasisha watu waende kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi mkuu, Chadema walikua wakihamasisha watu wasiende kujiandikisha mbaka ipatikane katiba Mpya. Chakushangaza baada ya matokeo watadai wameibiwa kura.
hahahaha dah Aisee nimecheka sana ivi iyo ya kumfufua Amina Chifupa imekaaje? kiukweli hafaiSALAAM ZA GWAJIMA KUTOKA MWISHO WA RELI.
1. Ulituaidi Chuo Cha Marubani hukutimiza.
2. Uliaidi kujenga Chuo Cha Biblia, hukutimiza.
3. Uliaidi kujenga Hospitali Kata ya Salasala, hukutimiza Hilo.
4. Uliaidi kumfufua Amina Chifupa, Hukutimiza pia.
5. Uliaidi kugeuza Misikiti kuwa Sunday schools, Hujatimiza.
6. Umeshindwa kulipia semitrailer mbili bandalini (90Mil.)
7. Ulituaidi na ukatutaka kuchanga fedha za kuanzisha TV lkn hujatimiza.
8. Ulituaidi na kutuchangisha fedha za kuanzisha Radio, lkn hujatimiza.
9. Ulituuzia viwanja (2015) kule Kiluvya (Mwanakondoo), lkn mpaka Leo hujatupatia.
10. Ulituaidi kuleta ndege 12 za abiria, lkn hujatimiza.
11. Ulituaidi treni ya umeme lkn hujatimiza.
12. Ulituaidi lujenga kanisa lenye uwezo wa Kubeba watu 250,000 kwa ibada moja, lkn hujatimiza na bado tuko chini ya mabati.
13. Leo unatuaidi kwenye kampeni kuwapeleka wananchi wa Kawe Marekani📷📷📷📷, Askofu! Askofu! Askofu! Mungu anakuona ujue.....dhambiya Uongo ni ya shetani mwenyewe kabisa.
14. Aidha, bado tunakumbuka juu ya ile video. Maana mwenendo wako baada ya ile video umebadilika Sana, ijapokuwa bado hatuamini Kama Kuna mahusiano.
Embu tuachie Kawe yetu bana...
Majibu yaliyojaa weledi na busara..👍[emoji23][emoji23][emoji23] mjomba mbona umepanic sana. Hivi kazi za mbunge zilizotajwa kwenye katiba zinaweza kweli kukufanya mtu ujue mbunge wako alichokitekeleza kwenye Jimbo lake? Hayo majukumu yaliyotokea kwenye katiba yapo general kwa kila mbunge, sisi wapiga kura tunataka kujua vitu specifically vinavyotugusa ambavyo amevifanya.
Lakini hii ndo inaonyesha uhalisia wa mbunge tuliekua naye. Mpaka nyinyi mnaompigia kampeni kwenye mitandao, mnapata shida kumjibia pale mnapoulizwa amefanya nni kwenye Jimbo letu la kawe kwa miaka 10. Matokeo yake ndo haya mnaishia kutukana.
Ni heri kuwa dikteta kuliko kuwa shogaHuyu dikteta akisikia Sauti ya Lisu sukari inapanda anaomba kupumzika. Ndgu na jamaa zake wawe wanakaa naye karibu kumfariji.
Ikulu ni mahara patakatifu, shoga hawezi kupafikiaLissu ameshasema mara kadhaa kwamba akishindwa kwa haki atakubali matokeo! Sasa wananchi tunataka kumsikia na mgombea wa CCM jr akishindwa atakubali matokeo???
Mwambieni asisahau kumeza vidonge vya kuzibua valve za moyo. Maana imefikia hatua Sasa Jakaya anamuombea kura "in absentia" utadhani ni mfungwa au mkimbizi wa kisiasa.Ni heri kuwa dikteta kuliko kuwa shoga
Mashoga poleni sana! CCM hawawezi kuhojiana na genge LA mashogaMajibu yaliyojaa weledi na busara..👍
Mbona nyie ccm pamoja na kuonesha wazi mtashindwa, lakini hamna matusi na kejeli kama ilivyo upande wa 'ushindi'??
Why!
Maslahi ya Uhuru, haki na Maendeleo ya watu.Atawaingiza watu barabarani? Kwa maslahi ya nini?
Wote tusiopenda kutekwa, kuuliwa na kufilisiwa na huyu mshamba na limbukeniHao watu atakaowaingiza barabarani ni wakina nani?
Mwambie Huyo shoga, ana bwana yake anaedanganya umma kuwa ni wakili wake, ikulu haendi, wazungu watamtumia sana, nchii ski ya kishogaMwambieni asisahau kumeza vidonge vya kuzibua valve za moyo. Maana imefikia hatua Sasa Jakaya anamuombea kura "in absentia" utadhani ni mfungwa au mkimbizi wa kisiasa.
Haki ya mashoga, Uhuru wa kuwa shoga,mmmmmm mashoga poleni sana, bado sanaaaMaslahi ya Uhuru, haki na Maendeleo ya watu.
Wote tusiopenda kutekwa, kuuliwa na kufilisiwa na huyu mshamba na limbukeni
Hoja mfu. Sasa ndiye kawashika pabaya mpk jiwe sukari inashuka qnaamua kupumzika.Mwambie Huyo shoga, ana bwana yake anaedanganya umma kuwa ni wakili wake, ikulu haendi, wazungu watamtumia sana, nchii ski ya kishoga
Imba uimbavyo uzushi wako huu, lkn watanzania wamemkubaliHaki ya mashoga, Uhuru wa kuwa shoga,mmmmmm mashoga poleni sana, bado sanaaa
Kwa mwandiko huu ni vema ungerudisha resources zako kwenye kisomo cha watu wazimaUliaidi
No need. Hiki ndio kielelezo tosha cha aina ya elimu inayotolewa bureKwa mwandiko huu ni vema ungerudisha resources zako kwenye kisomo cha watu wazima
Huyo hayati ni MUNGU? Kwanza umesha sema kwa sasa ni marehemu, ana uwezo gani kwa sasa kupangia walio hai?Mbona hayati alishawaambia nchi hawezi kupewa mtu kwamakaratasi?