Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 3,243
- 4,502
Mwamba anajiamini sanaBaada ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuahirishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, kiongozi huyo amesema, akitoka itakuwa ni mchakamchaka tu.
View attachment 3390221
Wanaogopa wanatamani kukimbia lakini hapakimbilikiMmesikia huko ninyi maccm? Lisu akitoka gerezani itakuwa ni mwendo wa barabarani tu. Yale ya yule jaji mwingine hayapo!
Once a radical .... your always a radicalMwamba anajiamini sana
Yupo gerezani lakin ana ujasiri wa ajabu na hajapoteza matumaini😁
Ajionee huruma yeyeLissu awe na huruma.Mama atalia sana.Mola turehemu.
NB;Efefyuu wajiandae kuua watu.
Wakati huo wewe unalia kwa kwikwi.Ajionee huruma yeye
Labda wwInasikitika tunaopiganiwa tumelala fofofo
Wewe umefanya nini mkuu nijifunze kutoka kwakoLabda ww
Nani alikuaminisha?Kwa hiyo hajaachiwa kama tulivyoaminishwa!?
Ila Lissu, he is so happy, confedent na hana wasiwasi kabisa, sijui bi kizee anajisikaiaje akimuonaBaada ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuahirishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, kiongozi huyo amesema, akitoka itakuwa ni mchakamchaka tu.
View attachment 3390221
Akina mwijaku wataharaUkitoka badili gia weka presha ya uchaguzi watia nia watapata kiwewe sana. Una majembe ya kuleta upinzani
MnoooWatanzania wote tungekuwa kama huyu jamaa nchi ingekuwa mbali sana.
One man ArmyHuyu ndo LISSU!!!!
Wajiandae kuua watu gani wakati wewe utakua umejificha uvunguni?Lissu awe na huruma.Mama atalia sana.Mola turehemu.
NB;Efefyuu wajiandae kuua watu.
Huo mchakamchaka anaufanyaje na chama chake kimezuiliwa na mahakama kwa Sasa kufanya shughuli za kisiasa...na vilevile chama chake hakitashiriki uchaguzi,,mwisho wa siku kura watapigiwa wale walioshiriki uchaguzi.Baada ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuahirishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, kiongozi huyo amesema, akitoka itakuwa ni mchakamchaka tu.
View attachment 3390221