GE2025 Lissu: Nikitoka (gerezani) ni mchakamchaka, nikitoka ni barabarani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Watanzania tumuunge mkono Tundu Lissu ana hoja ya kulikomboa taifa dhidi ya wakoloni weusi.
 
Hii ni kama watumishi wa umma na wale wa sekta binafsi.
 
Mara nyingi au mara zote kesi za kubambika Huwa Zinakosa vigezo vya kisheria na hapo ni lazima wakili wa utetezi umuone ni mkali,,,lakini ikitokea kesi ni ya halali na ina ushahidi wote kamilifu kwa mujibu wa Sheria hapo wakili wa utetezi Huwa anateseka sana.
Kwahiyo hata kibatala angelikua upande wa jamhuri usingemuona na uhodari huo kwasababu angekosa vigezo vya kisheria kutetea serikali..

Ndio sababu mawakili wengi mashuhuri hawachukui kesi ambayo anaona kisheria huwezi kuchomoka
 
Anatafuta kesi nyingine kabla hata hizi hazijaisha, barabarani anaenda kufanya nini ?
 
kuna wakati lazima tukubali TL anajua sana kuendelea kumshikilia sio kumkomoa ni kujiaibisha na ukimwachia anakiwasha kwel kwel yaan watawala wanachanganyikiwa
Ukikimbia mchumali,ukichuvhumaa mchumali!
 
Kufumba na kufumbua mnashangaa Mwamba ashatinga pale magogoni... Waroho wa keki ya taifa watapelekewa moto wa jenahanamu ukasome
 
Lisu na difficult character pamoja na mawakili wake kumuonya kuwa asipende kuzua mambo yanayoweza kuleta sintofahamu kwenye kesi yake hasikii

Ni heri walijitoa na kumuacha ajitetee mwenyewe.Sasa hii sentensi ya kusema nikitoka ni mchakamchaka barabarani mara oooh hawatuwezi vilikuwa na umuhimu gani kubwata mahakamani?

Anyway washabiki wengi wa Lisu hata humu kwenye uzi ukisoma comment zao unao wazi kabisa hawana hekima wala akili kichwani kama Lisu mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…