Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Kwrli kwenye kundi la watu na viatu vipo!Sasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu.na Ni very selfish huyu jamaa!!!
Hiyo Ng'ombe imefugwa Kwenye zizi la Bashite huko KOLOMIJEKwrli kwenye kundi la watu na viatu vipo!
Oneni hii ng'ombe!
Arguments za watoto au watu wazima wajinga wa vijiweni.Mwanasheria wa kweli hawezi kupindisha ukweli wa kauli zake kijinga jinga hivi, eti kwa sababu ya vijisent kidogo ili taifa liangukie kwenye mikono ya fisadi kuu (mh Lowasa) kama walivyokuwa wanamwita. Mwanasheria wa aina hii anaweza hata kukufanya ushindwe kesi kisa tu waliokushitaki au uliowashitaki wamempa chochote ajaze tumbo lake. Hana tofauti na yule mchungaji wa afrika kusini ambae alikuwa tayar kuwalisha binadam menzake nyasi, ili yeye na familia yake mkono uende kinywani. Toka aoneshe dhahiri kuwa anapigania tumbo lake kupitia mgongo wa siasa za hovyo, watu wenye akili wote tumempuuza, na haaminiki tena kama anaweza kusimamia kesi za watu kwa uadilifu na ukweli.
View attachment 1900881
View attachment 1900882
View attachment 1900883
Genius kwako ni mtu wa aina gani?Kuwa best student siyo alama ya kuwa genius
Lissu ameshindwa kuitumia hiyo auhuo u genius wake anaonekana kama wa majalalani tu nayeAkihojiwa na Sarah Wambui Mwangi akiwa Nairobi Tundu Lissu alisema kabla ya kuangukia kwenye siasa alitamani sana kuwa PROFESA wa Sheria ili arudi kufundisha UDSM. Ufinyu wa bajeti uliokuwepo Chuo wakati huo wakati huo haukuwezesha ajira yake kufanikiwa na hivyo akaingia kitaa kutafuta ajira.
Katika maelezo yake Tundu Lissu anasema alikuwa best student pale chuo kikuu katika mwaka wao kwa maana ya kuwa alipaata ufaulu wa juu zaidi kuliko wanafunzi wote wa kitivo cha Sheria.
Akili na Uwezo wa mwanasiasa na wakili huyu nguli unafanya aonekane genious, kumbe una support ya historia yake ya kitaaluma.
Leo naomba tupate ushuhuda kwa waliosoma na Tundu Lissu Uwezo wake na akiwa darasani na kwenye mijadala mbalimbali tangu akiiwa primary, secondary hata chuo kikuu.
Tu appreciate Uwezo wa watu wengine wanaoonekana kufanya vizuri katika maeneo mbalimbali.
Maendeleo hayana CHAMA.
Wewe chuki zitakuua chief believe meWapi Mimi nilileta mada ya kulogwa humu jukwaani mkuu? Hebu pitia profile yangu ulete hapa hiyo mada, by the way lissu Ni mpuuzi mkubwa Sana hapaswi kuchekewa,Ni hatari kwa msitakabali wa taifa letu.
Majinga kamawewe ndo taifa linapiga Rivasi!! Unajua ametetea wananchi kiasi gani waliodhulumiwa ardhi, migodi kuwanyanyasa, amepambana na mafisadi vipi? Amepinga utawala dhalimu na kuitetea demokrasia vp... Ulitaka akusaidie kwamkeo ndio ujue alikuwa best student eeh!!Sasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu.na Ni very selfish huyu jamaa!!!
Akihojiwa na Sarah Wambui Mwangi akiwa Nairobi Tundu Lissu alisema kabla ya kuangukia kwenye siasa alitamani sana kuwa PROFESA wa Sheria ili arudi kufundisha UDSM. Ufinyu wa bajeti uliokuwepo Chuo wakati huo wakati huo haukuwezesha ajira yake kufanikiwa na hivyo akaingia kitaa kutafuta ajira.
Katika maelezo yake Tundu Lissu anasema alikuwa best student pale chuo kikuu katika mwaka wao kwa maana ya kuwa alipaata ufaulu wa juu zaidi kuliko wanafunzi wote wa kitivo cha Sheria.
Akili na Uwezo wa mwanasiasa na wakili huyu nguli unafanya aonekane genious, kumbe una support ya historia yake ya kitaaluma.
Leo naomba tupate ushuhuda kwa waliosoma na Tundu Lissu Uwezo wake na akiwa darasani na kwenye mijadala mbalimbali tangu akiiwa primary, secondary hata chuo kikuu.
Tu appreciate Uwezo wa watu wengine wanaoonekana kufanya vizuri katika maeneo mbalimbali.
Maendeleo hayana CHAMA.
Hayo ni maneno ya mkosaji! Inawezekana ukawa best student ila usifikishe vigezo vya kufundisha chuo. Hukupata 3.8 GPA and aboveAkihojiwa na Sarah Wambui Mwangi akiwa Nairobi Tundu Lissu alisema kabla ya kuangukia kwenye siasa alitamani sana kuwa PROFESA wa Sheria ili arudi kufundisha UDSM. Ufinyu wa bajeti uliokuwepo Chuo wakati huo wakati huo haukuwezesha ajira yake kufanikiwa na hivyo akaingia kitaa kutafuta ajira.
Katika maelezo yake Tundu Lissu anasema alikuwa best student pale chuo kikuu katika mwaka wao kwa maana ya kuwa alipaata ufaulu wa juu zaidi kuliko wanafunzi wote wa kitivo cha Sheria.
Akili na Uwezo wa mwanasiasa na wakili huyu nguli unafanya aonekane genious, kumbe una support ya historia yake ya kitaaluma.
Leo naomba tupate ushuhuda kwa waliosoma na Tundu Lissu Uwezo wake na akiwa darasani na kwenye mijadala mbalimbali tangu akiiwa primary, secondary hata chuo kikuu.
Tu appreciate Uwezo wa watu wengine wanaoonekana kufanya vizuri katika maeneo mbalimbali.
Maendeleo hayana CHAMA.
Lisu kiboko mapungufu sehemu ya mwanadamu
Lisu ndiye aliyetoa hoja yakupinga sheria iliyokua inazuia wanafunzi mwaka wa kwanza kuhusika kujadili mijadala mbali bali nkrumah Hall ila kua wasikilizaji mwaka 1992
Kumbuka hata akina samweli sita waliburuzwa Wakiwa mwaka wa kwanza lakini NGULI huyu alikataa kuhusika kwenye uburuzwaji
Baada ya kutoa hoja nakusikilizwa maprofesa ilibidi waone haya na kukubali kwamba kweli walikuwa wanafanya makosa kuzuia wanafunzi mwaka wa kwanza kujadili mijadala na kua wasikilizaji
Toka hapo nyinyi wote mliopitia hicho chuo hapo kutoka 1993 hadileo ukiona unatoa na kuchangia mijadala mwanafunzi mwaka wa kwanza tambua hayo nimatunda ya Lisu antpass
Jingine kwa faida yako
Lisu toka alivopata ufahamu tu akiwa darasa la tatu hajawahi wahi shule namba hadi anahitimu la saba (Ly),na kila alipokutana mkono wa mwalimu alijitetea hajawahi pigwa fimbo
Jiulize walimu wa miaka hiyo shule ya msingi!!!
Kwaleo hayo
Mchomoaji betri kitambo
Without a PhD huwezi Sema lolote kwa wanaume wenzako! Na kama huna na wewe ni wale waleWatu unajua hawaelewi how bring this nigga was?
Unafananisha kilaza Magufuli na this world's chess nigga?
Tundu sio your average joe,he is smart and we know he will one day be a decision maker in this republic!
Wewe ni mpuuzi najua argument zako tangu yule jamaa aliyejipiga risasi SinzaUnajua GPA yake?
Hujui
Unaona Lissu ni your average person eeeh?
Akihojiwa na Sarah Wambui Mwangi akiwa Nairobi Tundu Lissu alisema kabla ya kuangukia kwenye siasa alitamani sana kuwa PROFESA wa Sheria ili arudi kufundisha UDSM. Ufinyu wa bajeti uliokuwepo Chuo wakati huo wakati huo haukuwezesha ajira yake kufanikiwa na hivyo akaingia kitaa kutafuta ajira.
Katika maelezo yake Tundu Lissu anasema alikuwa best student pale chuo kikuu katika mwaka wao kwa maana ya kuwa alipaata ufaulu wa juu zaidi kuliko wanafunzi wote wa kitivo cha Sheria.
Akili na Uwezo wa mwanasiasa na wakili huyu nguli unafanya aonekane genious, kumbe una support ya historia yake ya kitaaluma.
Leo naomba tupate ushuhuda kwa waliosoma na Tundu Lissu Uwezo wake na akiwa darasani na kwenye mijadala mbalimbali tangu akiiwa primary, secondary hata chuo kikuu.
Tu appreciate Uwezo wa watu wengine wanaoonekana kufanya vizuri katika maeneo mbalimbali.
Maendeleo hayana CHAMA.
Kweli wewe 'maamuma' haswaaa! Huna akili kichwani halafu unauliza hivi!Sasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu.na Ni very selfish huyu jamaa!!!
Soma upate PhD ndipo uongee na PhD siyo za kuwekwa makabatini ni za kuweka online. Unaniuliza GPA wakati nimesimamia PhD nyingi nchi hiiPHD ni kama una muda wa kusoma,sio inamaanisha you are genius
Tunazungumzia watu wenye IQ kubwa hapa
Hatuzungumzii watu waliokua na muda wa kukaa darasani kwenye dawati na kusoma mpaka uzeeni kama ajira