Lisu kiboko mapungufu sehemu ya mwanadamu
Lisu ndiye aliyetoa hoja yakupinga sheria iliyokua inazuia wanafunzi mwaka wa kwanza kuhusika kujadili mijadala mbali bali nkrumah Hall ila kua wasikilizaji mwaka 1992
Kumbuka hata akina samweli sita waliburuzwa Wakiwa mwaka wa kwanza lakini NGULI huyu alikataa kuhusika kwenye uburuzwaji
Baada ya kutoa hoja nakusikilizwa maprofesa ilibidi waone haya na kukubali kwamba kweli walikuwa wanafanya makosa kuzuia wanafunzi mwaka wa kwanza kujadili mijadala na kua wasikilizaji
Toka hapo nyinyi wote mliopitia hicho chuo hapo kutoka 1993 hadileo ukiona unatoa na kuchangia mijadala mwanafunzi mwaka wa kwanza tambua hayo nimatunda ya Lisu antpass
Jingine kwa faida yako
Lisu toka alivopata ufahamu tu akiwa darasa la tatu hajawahi wahi shule namba hadi anahitimu la saba (Ly),na kila alipokutana mkono wa mwalimu alijitetea hajawahi pigwa fimbo
Jiulize walimu wa miaka hiyo shule ya msingi!!!
Kwaleo hayo
Mchomoaji betri kitambo
Tuwe macho na mada kama hizi ambazo zinaundwa kitalaamu ili kutafuta namna yoyote ya kumzodoa mtu au kumtafutia kisingizio uchwara siku za usoni.
Nitoe pongezi kwa wanasheria na madaktari ambao "the law of omerta" ina apply kwao vyema.
Piga ua ma lawyer na madaktari hawazodoani na haswa mbele ya wapumbavu. Ndiyo maana ya msemo wao pendwa: "my learned brother" na mara nyingine "wakili msomi."
Hata iweje mahakamani - wao ni dugu moja.
Hatatokea lawyer wa kuja hapa kumzodoa Lissu hata kama ni kutokea tiss.
Kukurejea mkuu, tuachane na hoja nyepesi nyepesi hizi za kutanua uwanja huko primary, secondary na general schools. Tuachane na hoja za vijiweni:
1. Kutowahi shule au kutoramba bakora primary na secondary huko sasa ni labda kutaka kumtafutia sababu ya ku-m-discredit huyu bwana kwa nguvu kwenye mambo ambayo hajasema mwenyewe hadharani.
2. Mwulize
Pascal Mayalla kama bakora za Mkuu wa shule "Bino" kuna mtu duniani au hata huko mbinguni angaliweza kuziepuka.
3. Chuo kikuu kutoa hoja kwamba first year hawakuwa wakiruhusiwa?! Haijawahi kuwapo model ya demokrasia hapa nchini kuliko yoyote iliyo wahi kuwapo UDSM muda wowote. Huko ndiko pia kuna total academic freedom.
4. #3 Angalia rekodi zako sawa sawa. Umtambue Matiko Matare alivyo kinukisha UDSM mapema sana kabla 1992.
5. #4 cheche zake zilionekana kwenye kunji Nkrumah akiwa fresher (jumatatu) mara tu baada ya orientation week.
6. CV yake kutokea na mavitu yake first year kulimfanya kuwa rais wa wanafunzi wote around 1992 unayoiongelea wewe.
Kwamba first year kuruhusiwa kuanza kuongea UDSM ilitokea kutokana na jitihada za Lissu 1992 ni kutaka kumuwekea maneno mengine mdomoni kwa kutokujua au kwa nia ovu.
Tuwe macho na cheap politics hizi ambazo zimefichwa chini ya meza zenye kulenga kuwatengezea waheshimiwa wetu kesi uchwara za masafa marefu.
Lissu ni dume. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!