Lissu: Nilikuwa best student faculty of law na nilitamani kuwa Profesa ili nifundishe Sheria

Lissu: Nilikuwa best student faculty of law na nilitamani kuwa Profesa ili nifundishe Sheria

Best students wote walibakia kuwa Assistant Lectures pale Mlimani
Kama hakubakizwa Ni wazi hakuwa na sifa stahiki hivyo asidanganye Kuhusu ukosefu was bajeti kwani bajeti ya kuwasomesha haijwahi kuwa tatizo

Unakuwa Professor baada ya KUPITIA mchakato wa kitaaluma kuanzia Asst Lecture, Lecturer, Senior Lecturer, Associate Professor & Professor

Mchakato huo una vigezo vya kitaaluma na muda maalumu ili upande kutoka ngazi moja kwenda nyinginezo
 
Sasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu.na Ni very selfish huyu jamaa!!!
Kwrli kwenye kundi la watu na viatu vipo!
Oneni hii ng'ombe!
 
Nakumbuka miaka hiyo tukiwa pale Ilboru MWL wa history akimaliza kufundisha, baadae wakati wa prep Lissu aliweza kutoa summery ya kile kilichofundishwa bila kushika daftari wala kitabu, hata Galanosi kule Tanga aliendelea na tabia hiyo.
Lissu hawezi sifiwa na CCM na zama tulizo nazo hata siku moja ila zipo taarifa kwamba hotuba iliyotayarishwa na wafia CCM ktk mazishi ya Lissu yaliyopangwa ya kabla ya risasi za Area D inasemekana imesheheni sifa nakongole za kumwaga. Ila kwakuwa Mungu alikataa ombi la kifo kwa Lissu hiyo hotuba ikatupiliwa mbali na propaganda za kipumbav za kumchafua zinaendelea kutamalaki.
VIVA LISSU WENYE AKILI TU NDIO WAKUTAMBUAO HATA WEZI WA NYINYIEM WANAKUTAMBUA
 
Mwanasheria wa kweli hawezi kupindisha ukweli wa kauli zake kijinga jinga hivi, eti kwa sababu ya vijisent kidogo ili taifa liangukie kwenye mikono ya fisadi kuu (mh Lowasa) kama walivyokuwa wanamwita. Mwanasheria wa aina hii anaweza hata kukufanya ushindwe kesi kisa tu waliokushitaki au uliowashitaki wamempa chochote ajaze tumbo lake. Hana tofauti na yule mchungaji wa afrika kusini ambae alikuwa tayar kuwalisha binadam menzake nyasi, ili yeye na familia yake mkono uende kinywani. Toka aoneshe dhahiri kuwa anapigania tumbo lake kupitia mgongo wa siasa za hovyo, watu wenye akili wote tumempuuza, na haaminiki tena kama anaweza kusimamia kesi za watu kwa uadilifu na ukweli.

View attachment 1900881

View attachment 1900882

View attachment 1900883
Arguments za watoto au watu wazima wajinga wa vijiweni.
Unaijua siasa wewe? Unajua faida ya wakati ule kwa Chadema kama chama cha upinzani juu ya kumchukua Lowassa?
Umewahi kujiuliza kwa nini nyinyi CCM nanyi Lowassa alipokuwa Mgombea wa Chadema mlimtangaza sana kuwa anajinyea jukwaani lakini siku anarudi viongozi wenu wote wakiongozwa na huyo Magufuli walijipanga foleni Lumumba kumpokea kifalme?
Usiwe unajibu maneno yenu ya vijiweni kwenye mada muhimu kama hii.
 
Akihojiwa na Sarah Wambui Mwangi akiwa Nairobi Tundu Lissu alisema kabla ya kuangukia kwenye siasa alitamani sana kuwa PROFESA wa Sheria ili arudi kufundisha UDSM. Ufinyu wa bajeti uliokuwepo Chuo wakati huo wakati huo haukuwezesha ajira yake kufanikiwa na hivyo akaingia kitaa kutafuta ajira.

Katika maelezo yake Tundu Lissu anasema alikuwa best student pale chuo kikuu katika mwaka wao kwa maana ya kuwa alipaata ufaulu wa juu zaidi kuliko wanafunzi wote wa kitivo cha Sheria.

Akili na Uwezo wa mwanasiasa na wakili huyu nguli unafanya aonekane genious, kumbe una support ya historia yake ya kitaaluma.

Leo naomba tupate ushuhuda kwa waliosoma na Tundu Lissu Uwezo wake na akiwa darasani na kwenye mijadala mbalimbali tangu akiiwa primary, secondary hata chuo kikuu.

Tu appreciate Uwezo wa watu wengine wanaoonekana kufanya vizuri katika maeneo mbalimbali.

Maendeleo hayana CHAMA.
Lissu ameshindwa kuitumia hiyo auhuo u genius wake anaonekana kama wa majalalani tu naye
 
Wapi Mimi nilileta mada ya kulogwa humu jukwaani mkuu? Hebu pitia profile yangu ulete hapa hiyo mada, by the way lissu Ni mpuuzi mkubwa Sana hapaswi kuchekewa,Ni hatari kwa msitakabali wa taifa letu.
Wewe chuki zitakuua chief believe me
 
Kufaulu kuna mengi Ila uwezo mpaka mtu kuutwa genius huonekana kwenye jamii kupitia maisha yake ya kila siku anaisaidia vipi jamii
 
Uzuri tu mtu mwenye low IQ ndiyo kwanza huwa anataka kuanika ujinga wake. Lissu alikuwa best student. Kwa nini tusimpe sifa. Sisi ndiyo tunashindwa kumtumia vizuri. Ni mtoto wa Tanzania, nguvukazi yetu. Kama hukubaliane naye unaruhusiwe lakini isiwe sababu ya chuki dhidi yake. Kama wewe ulikuwa best student sema pia tukutambue. Pia wewe ambaye hujawa best student umefanya nini la maana kwa taifa ili tujifunze kuwa hata ukiwa kilaza unaweza kuliko best students?
 
Sasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu.na Ni very selfish huyu jamaa!!!
Majinga kamawewe ndo taifa linapiga Rivasi!! Unajua ametetea wananchi kiasi gani waliodhulumiwa ardhi, migodi kuwanyanyasa, amepambana na mafisadi vipi? Amepinga utawala dhalimu na kuitetea demokrasia vp... Ulitaka akusaidie kwamkeo ndio ujue alikuwa best student eeh!!
 
Akihojiwa na Sarah Wambui Mwangi akiwa Nairobi Tundu Lissu alisema kabla ya kuangukia kwenye siasa alitamani sana kuwa PROFESA wa Sheria ili arudi kufundisha UDSM. Ufinyu wa bajeti uliokuwepo Chuo wakati huo wakati huo haukuwezesha ajira yake kufanikiwa na hivyo akaingia kitaa kutafuta ajira.

Katika maelezo yake Tundu Lissu anasema alikuwa best student pale chuo kikuu katika mwaka wao kwa maana ya kuwa alipaata ufaulu wa juu zaidi kuliko wanafunzi wote wa kitivo cha Sheria.

Akili na Uwezo wa mwanasiasa na wakili huyu nguli unafanya aonekane genious, kumbe una support ya historia yake ya kitaaluma.

Leo naomba tupate ushuhuda kwa waliosoma na Tundu Lissu Uwezo wake na akiwa darasani na kwenye mijadala mbalimbali tangu akiiwa primary, secondary hata chuo kikuu.

Tu appreciate Uwezo wa watu wengine wanaoonekana kufanya vizuri katika maeneo mbalimbali.

Maendeleo hayana CHAMA.

bora hata hakufundisha maaana angeharibu vijana wetu kweli kweli, aendelee tu kuosha vyombo uko
 
Akihojiwa na Sarah Wambui Mwangi akiwa Nairobi Tundu Lissu alisema kabla ya kuangukia kwenye siasa alitamani sana kuwa PROFESA wa Sheria ili arudi kufundisha UDSM. Ufinyu wa bajeti uliokuwepo Chuo wakati huo wakati huo haukuwezesha ajira yake kufanikiwa na hivyo akaingia kitaa kutafuta ajira.

Katika maelezo yake Tundu Lissu anasema alikuwa best student pale chuo kikuu katika mwaka wao kwa maana ya kuwa alipaata ufaulu wa juu zaidi kuliko wanafunzi wote wa kitivo cha Sheria.

Akili na Uwezo wa mwanasiasa na wakili huyu nguli unafanya aonekane genious, kumbe una support ya historia yake ya kitaaluma.

Leo naomba tupate ushuhuda kwa waliosoma na Tundu Lissu Uwezo wake na akiwa darasani na kwenye mijadala mbalimbali tangu akiiwa primary, secondary hata chuo kikuu.

Tu appreciate Uwezo wa watu wengine wanaoonekana kufanya vizuri katika maeneo mbalimbali.

Maendeleo hayana CHAMA.
Hayo ni maneno ya mkosaji! Inawezekana ukawa best student ila usifikishe vigezo vya kufundisha chuo. Hukupata 3.8 GPA and above
 
Lisu kiboko mapungufu sehemu ya mwanadamu

Lisu ndiye aliyetoa hoja yakupinga sheria iliyokua inazuia wanafunzi mwaka wa kwanza kuhusika kujadili mijadala mbali bali nkrumah Hall ila kua wasikilizaji mwaka 1992

Kumbuka hata akina samweli sita waliburuzwa Wakiwa mwaka wa kwanza lakini NGULI huyu alikataa kuhusika kwenye uburuzwaji

Baada ya kutoa hoja nakusikilizwa maprofesa ilibidi waone haya na kukubali kwamba kweli walikuwa wanafanya makosa kuzuia wanafunzi mwaka wa kwanza kujadili mijadala na kua wasikilizaji

Toka hapo nyinyi wote mliopitia hicho chuo hapo kutoka 1993 hadileo ukiona unatoa na kuchangia mijadala mwanafunzi mwaka wa kwanza tambua hayo nimatunda ya Lisu antpass

Jingine kwa faida yako

Lisu toka alivopata ufahamu tu akiwa darasa la tatu hajawahi wahi shule namba hadi anahitimu la saba (Ly),na kila alipokutana mkono wa mwalimu alijitetea hajawahi pigwa fimbo

Jiulize walimu wa miaka hiyo shule ya msingi!!!

Kwaleo hayo

Mchomoaji betri kitambo

Tuwe macho na mada kama hizi ambazo zinaundwa kitalaamu ili kutafuta namna yoyote ya kumzodoa mtu au kumtafutia kisingizio uchwara siku za usoni.

Nitoe pongezi kwa wanasheria na madaktari ambao "the law of omerta" ina apply kwao vyema.

Piga ua ma lawyer na madaktari hawazodoani na haswa mbele ya wapumbavu. Ndiyo maana ya msemo wao pendwa: "my learned brother" na mara nyingine "wakili msomi."

Hata iweje mahakamani - wao ni dugu moja.

Hatatokea lawyer wa kuja hapa kumzodoa Lissu hata kama ni kutokea tiss.

Kukurejea mkuu, tuachane na hoja nyepesi nyepesi hizi za kutanua uwanja huko primary, secondary na general schools. Tuachane na hoja za vijiweni:

1. Kutowahi shule au kutoramba bakora primary na secondary huko sasa ni labda kutaka kumtafutia sababu ya ku-m-discredit huyu bwana kwa nguvu kwenye mambo ambayo hajasema mwenyewe hadharani.

2. Mwulize Pascal Mayalla kama bakora za Mkuu wa shule "Bino" kuna mtu duniani au hata huko mbinguni angaliweza kuziepuka.

3. Chuo kikuu kutoa hoja kwamba first year hawakuwa wakiruhusiwa?! Haijawahi kuwapo model ya demokrasia hapa nchini kuliko yoyote iliyo wahi kuwapo UDSM muda wowote. Huko ndiko pia kuna total academic freedom.

4. #3 Angalia rekodi zako sawa sawa. Umtambue Matiko Matare alivyo kinukisha UDSM mapema sana kabla 1992.

5. #4 cheche zake zilionekana kwenye kunji Nkrumah akiwa fresher (jumatatu) mara tu baada ya orientation week.

6. CV yake kutokea na mavitu yake first year kulimfanya kuwa rais wa wanafunzi wote around 1992 unayoiongelea wewe.

Kwamba first year kuruhusiwa kuanza kuongea UDSM ilitokea kutokana na jitihada za Lissu 1992 ni kutaka kumuwekea maneno mengine mdomoni kwa kutokujua au kwa nia ovu.

Tuwe macho na cheap politics hizi ambazo zimefichwa chini ya meza zenye kulenga kuwatengezea waheshimiwa wetu kesi uchwara za masafa marefu.

Lissu ni dume. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!
 
Watu unajua hawaelewi how bring this nigga was?

Unafananisha kilaza Magufuli na this world's chess nigga?

Tundu sio your average joe,he is smart and we know he will one day be a decision maker in this republic!
Without a PhD huwezi Sema lolote kwa wanaume wenzako! Na kama huna na wewe ni wale wale
 
Akihojiwa na Sarah Wambui Mwangi akiwa Nairobi Tundu Lissu alisema kabla ya kuangukia kwenye siasa alitamani sana kuwa PROFESA wa Sheria ili arudi kufundisha UDSM. Ufinyu wa bajeti uliokuwepo Chuo wakati huo wakati huo haukuwezesha ajira yake kufanikiwa na hivyo akaingia kitaa kutafuta ajira.

Katika maelezo yake Tundu Lissu anasema alikuwa best student pale chuo kikuu katika mwaka wao kwa maana ya kuwa alipaata ufaulu wa juu zaidi kuliko wanafunzi wote wa kitivo cha Sheria.

Akili na Uwezo wa mwanasiasa na wakili huyu nguli unafanya aonekane genious, kumbe una support ya historia yake ya kitaaluma.

Leo naomba tupate ushuhuda kwa waliosoma na Tundu Lissu Uwezo wake na akiwa darasani na kwenye mijadala mbalimbali tangu akiiwa primary, secondary hata chuo kikuu.

Tu appreciate Uwezo wa watu wengine wanaoonekana kufanya vizuri katika maeneo mbalimbali.

Maendeleo hayana CHAMA.

He crammed more than anyone else!
 
Sasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu.na Ni very selfish huyu jamaa!!!
Kweli wewe 'maamuma' haswaaa! Huna akili kichwani halafu unauliza hivi!
 
PHD ni kama una muda wa kusoma,sio inamaanisha you are genius

Tunazungumzia watu wenye IQ kubwa hapa

Hatuzungumzii watu waliokua na muda wa kukaa darasani kwenye dawati na kusoma mpaka uzeeni kama ajira
Soma upate PhD ndipo uongee na PhD siyo za kuwekwa makabatini ni za kuweka online. Unaniuliza GPA wakati nimesimamia PhD nyingi nchi hii
 
Back
Top Bottom