pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
bado anabaki kuwa mtu mwenye akili na uwezo mkubwa kabisa kuliko weweMwanasheria wa kweli hawezi kupindisha ukweli wa kauli zake kijinga jinga hivi, eti kwa sababu ya vijisent kidogo ili taifa liangukie kwenye mikono ya fisadi kuu (mh Lowasa) kama walivyokuwa wanamwita. Mwanasheria wa aina hii anaweza hata kukufanya ushindwe kesi kisa tu
Sasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu.na Ni very selfish huyu jamaa!!!
Akihojiwa na Sarah Wambui Mwangi akiwa Nairobi Tundu Lissu alisema kabla ya kuangukia kwenye siasa alitamani sana kuwa PROFESA wa Sheria ili arudi kufundisha UDSM. Ufinyu wa bajeti uliokuwepo Chuo wakati huo wakati huo haukuwezesha ajira yake kufanikiwa na hivyo akaingia kitaa kutafuta ajira.
Katika maelezo yake Tundu Lissu anasema alikuwa best student pale chuo kikuu katika mwaka wao kwa maana ya kuwa alipaata ufaulu wa juu zaidi kuliko wanafunzi wote wa kitivo cha Sheria.
Akili na Uwezo wa mwanasiasa na wakili huyu nguli unafanya aonekane genious, kumbe una support ya historia yake ya kitaaluma.
Leo naomba tupate ushuhuda kwa waliosoma na Tundu Lissu Uwezo wake na akiwa darasani na kwenye mijadala mbalimbali tangu akiiwa primary, secondary hata chuo kikuu.
Tu appreciate Uwezo wa watu wengine wanaoonekana kufanya vizuri katika maeneo mbalimbali.
Maendeleo hayana CHAMA.
hayo hayatusaidii na hayana maana yoyote. Alitakiwa awe hapa akipigania katika mpya lakin saiv kabaki anabwabwaja visivoeleweka huko kwa wazungu. Ujiniasi wake uko wap.Akihojiwa na Sarah Wambui Mwangi akiwa Nairobi Tundu Lissu alisema kabla ya kuangukia kwenye siasa alitamani sana kuwa PROFESA wa Sheria ili arudi kufundisha UDSM. Ufinyu wa bajeti uliokuwepo Chuo wakati huo wakati huo haukuwezesha ajira yake kufanikiwa na hivyo akaingia kitaa kutafuta ajira.
Katika maelezo yake Tundu Lissu anasema alikuwa best student pale chuo kikuu katika mwaka wao
Ni kweli kabisa maana hata Kabudi ni best student ila ni hovyo sijawahi kuonaKuwa best student siyo alama ya kuwa genius
We kubwa la misukule unatakiwa ujue kwamb hapa JF unaongea na genius mbali mbali, kwahiyo usikurupuke kama vile umefumaniwa na mumeo. 2005 mpaka 2015 Chadema kiliingia na sera ya kupambana na mafisadi mbali mbali nchini, na kikawatuhumu baadhi ya viongozi wa serikali na CCM kwa ujumla kuwa ni mafisadi. CCM kwa kulitambua hilo wakaamua kubadili mwelekeo wa mgombea huyo (fisadi kuu) na kupitisha jina la mtu mungine. Sasa kulikuwa na ulazima gani au faida gani ya chama kilichopiga vita ufisadi na mafisadi waamue kumpitisha huyo fisadi awe mgombea wao? Kwanini wasingempitisha mtu ambae hana sifa hizo za ufisadi huko katika chama chao? Inamaana leo ukimkuta mumeo na mke wa mtu, kesho suluhisho lake itakuwa na ww kutembea na mume wa mtu?Huyo lowasa fisadi mbona yupo huko huko barazani kwenu tumbusi wewe au ndio kusema ccm wote akili ni za vilabuni
Una ukichaa wewe! Nadhani uliishia form four tuMpumbavu wewe
PHD zote ni fulltime ajira wewe
Hakuna kusoma for the sake of high IQ,ni ajira
Ajira anafanya yeyote mwenye minimum qualifications
Hakuna mtu smart anaenda kupoteza muda kusoma PHD kama ajira
Wote wanaosoma PHD ukiangalia GPA zao za undergraduate ni upumbavu
The highest GPA attainers undergrad hawa opt kwenda kusoma PHD,hua wanaenda kwenye formal ajira au biashara
Majinga yaliyopata GPA za kawaida yaanaamua kusoma mpaka uzeeni kutafuta PHD kufidia their lack of intelect yaanze kutembea na title ya Dr. wakati marks zao za zamani kuanzia sekondari ni minimum tu!
Nenda huko,kadanganye mapumbavu menzio yaliyokua na marks ndogo kule undergrad!
Angekua mwanasheria au profesa mzuri wa sheria lakini ametokea kua mwanasiasa wa ovyo sana. Yote ni kutokana na kutumia uanasheria kama wakili kwenye siasa. Kwenye uwakili wengi hawajali haki iko wapi. Unatumia ujuzi wako wa sheria mteja wako ashinde kesi hata kama sio mwenye haki. Mteja anakulipa pesa ili ashinde sio ashindwe kesi.Akihojiwa na Sarah Wambui Mwangi akiwa Nairobi Tundu Lissu alisema kabla ya kuangukia kwenye siasa alitamani sana kuwa PROFESA wa Sheria ili arudi kufundisha UDSM. Ufinyu wa bajeti uliokuwepo Chuo wakati huo wakati huo haukuwezesha ajira yake kufanikiwa na hivyo akaingia kitaa kutafuta ajira.
Katika maelezo yake Tundu Lissu anasema alikuwa best student pale chuo kikuu katika mwaka wao kwa maana ya kuwa alipaata ufaulu wa juu zaidi kuliko wanafunzi wote wa kitivo cha Sheria.
Akili na Uwezo wa mwanasiasa na wakili huyu nguli unafanya aonekane genious, kumbe una support ya historia yake ya kitaaluma.
Leo naomba tupate ushuhuda kwa waliosoma na Tundu Lissu Uwezo wake na akiwa darasani na kwenye mijadala mbalimbali tangu akiiwa primary, secondary hata chuo kikuu.
Tu appreciate Uwezo wa watu wengine wanaoonekana kufanya vizuri katika maeneo mbalimbali.
Maendeleo hayana CHAMA.
Na tumkumbushe pia huyu Mr Dudumizi kuwa, kama anataka kujua mchango na umuhimu wa Tundu Lissu amuulize Anna Semambe Makinda (Spika wa Bunge la 10) atamwambia vizuri sana...Namuongelea mtu anaitwa Lissu Kama mwanasiasa na wakili nguli sio Chama Cha siasa na maamuzi ya kichama.
Unakumbuka kwenye kufunga bunge la katiba Sitta alongea nini kuhusu Lissu?
Nikukumbushe- Aliutambua mchango ( kwa kumtaja jina) wake mkubwa uliowasaidia sana kufikia maamuzi katka mijadala.
Mh Lisau hata kama asingekuwa best student still ni Best Lawyer of all timesAkihojiwa na Sarah Wambui Mwangi akiwa Nairobi Tundu Lissu alisema kabla ya kuangukia kwenye siasa alitamani sana kuwa PROFESA wa Sheria ili arudi kufundisha UDSM. Ufinyu wa bajeti uliokuwepo Chuo wakati huo wakati huo haukuwezesha ajira yake kufanikiwa na hivyo akaingia kitaa kutafuta ajira.
Katika maelezo yake Tundu Lissu anasema alikuwa best student pale chuo kikuu katika mwaka wao kwa maana ya kuwa alipaata ufaulu wa juu zaidi kuliko wanafunzi wote wa kitivo cha Sheria.
Akili na Uwezo wa mwanasiasa na wakili huyu nguli unafanya aonekane genious, kumbe una support ya historia yake ya kitaaluma.
Leo naomba tupate ushuhuda kwa waliosoma na Tundu Lissu Uwezo wake na akiwa darasani na kwenye mijadala mbalimbali tangu akiiwa primary, secondary hata chuo kikuu.
Tu appreciate Uwezo wa watu wengine wanaoonekana kufanya vizuri katika maeneo mbalimbali.
Maendeleo hayana CHAMA.
amuulize Gwiji wa Sheria na Best Harvad student Mzee wa Vijisent.Na tumkumbushe pia huyu Mr Dudumizi kuwa, kama anataka kujua mchango na umuhimu wa Tundu Lissu amuulize Anna Semambe Makinda (Spika wa Bunge la 9) atamwambia vizuri sana...
Ni kawaida wajinga wasio na akili kubeza watu wenye IQ zao.Angekua mwanasheria au profesa mzuri wa sheria lakini ametokea kua mwanasiasa wa ovyo sana. Yote ni kutokana na kutumia uanasheria kama wakili kwenye siasa. Kwenye uwakili wengi hawajali haki iko wapi. Unatumia ujuzi wako wa sheria mteja wako ashinde kesi hata kama sio mwenye haki. Mteja anakulipa pesa ili ashinde sio ashindwe kesi.
Kwenye siasa mwanasiasa wa kupendwa na kukubalika ni yule anayetetea haki. Atapingana hata na wanasheria ili kutetea haki.