Lissu: Nilikuwa best student faculty of law na nilitamani kuwa Profesa ili nifundishe Sheria

Lissu: Nilikuwa best student faculty of law na nilitamani kuwa Profesa ili nifundishe Sheria

Mwanasheria wa kweli hawezi kupindisha ukweli wa kauli zake kijinga jinga hivi, eti kwa sababu ya vijisent kidogo ili taifa liangukie kwenye mikono ya fisadi kuu (mh Lowasa) kama walivyokuwa wanamwita. Mwanasheria wa aina hii anaweza hata kukufanya ushindwe kesi kisa tu
bado anabaki kuwa mtu mwenye akili na uwezo mkubwa kabisa kuliko wewe
 
Wivu wa ki** unakusumbua. Appreciate vipaji vya wenzio. Haikupunguzii kitu.
Sasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu.na Ni very selfish huyu jamaa!!!
 
Tunachofahamu Ni kwamba wale wenye uwezo wa Kati darasani ndiyo husoma masomo ya ARTS ,hivyo LISSU alikuwa Bora Kati ya wale wanafunzi wenye uwezo wa kati darasani.Uwezo huo huendelea kuwa hivyo.Tupo tuliokuwa Bora darasani na mpaka sasa tunaamini hivyo kuwa tupo bora.sifa njema apewe LISSU anayesimamia anachokiamini.
 
Akihojiwa na Sarah Wambui Mwangi akiwa Nairobi Tundu Lissu alisema kabla ya kuangukia kwenye siasa alitamani sana kuwa PROFESA wa Sheria ili arudi kufundisha UDSM. Ufinyu wa bajeti uliokuwepo Chuo wakati huo wakati huo haukuwezesha ajira yake kufanikiwa na hivyo akaingia kitaa kutafuta ajira.

Katika maelezo yake Tundu Lissu anasema alikuwa best student pale chuo kikuu katika mwaka wao kwa maana ya kuwa alipaata ufaulu wa juu zaidi kuliko wanafunzi wote wa kitivo cha Sheria.

Akili na Uwezo wa mwanasiasa na wakili huyu nguli unafanya aonekane genious, kumbe una support ya historia yake ya kitaaluma.

Leo naomba tupate ushuhuda kwa waliosoma na Tundu Lissu Uwezo wake na akiwa darasani na kwenye mijadala mbalimbali tangu akiiwa primary, secondary hata chuo kikuu.

Tu appreciate Uwezo wa watu wengine wanaoonekana kufanya vizuri katika maeneo mbalimbali.

Maendeleo hayana CHAMA.

Angalizo: Muhimu kuwa macho na mada za namna hii.

Mara nyingi zina malengo kamili ya muda mrefu yaliyokusudiwa nazo. Hasa hasa kwenye upekenyuzi.

Lissu ni Jembe kama alivyo Aboubakar Mbowe. Shule kubwa, na mtu kuwa jembe havihusiani.

Ikumbukwe:

1. Wakati Barack Obama ni LL.M holder, Profesa Kabudi ni PhD. Holder, field hiyo hiyo.
2. Wakati Frederick Sumaye alikuwa afisa kilimo wa cheti, Majaliwa Majaliwa ni kocha kama Julio.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Akihojiwa na Sarah Wambui Mwangi akiwa Nairobi Tundu Lissu alisema kabla ya kuangukia kwenye siasa alitamani sana kuwa PROFESA wa Sheria ili arudi kufundisha UDSM. Ufinyu wa bajeti uliokuwepo Chuo wakati huo wakati huo haukuwezesha ajira yake kufanikiwa na hivyo akaingia kitaa kutafuta ajira.

Katika maelezo yake Tundu Lissu anasema alikuwa best student pale chuo kikuu katika mwaka wao
hayo hayatusaidii na hayana maana yoyote. Alitakiwa awe hapa akipigania katika mpya lakin saiv kabaki anabwabwaja visivoeleweka huko kwa wazungu. Ujiniasi wake uko wap.
 
Akijisifia kwa wakenya basi ndio anajiona kafika, ha ha ha. Jamaa bwege kweli kweli.
 
Naona Watoto wa teuzi , wamevamia na kumshambulia..😄😄😄😄
MaCCM yanamugopa sana Lissu✌🏽✌🏽
 
Mataga na Sukuma GANG kila wakisikia jina la LISSU, wanalipika, ina wakumbusha walivyo shindwa kutimiza ahadi ya Magufuli kumuua Lissu.
Na leo hii wanaomboleza na Lissu anadunda..😄😄😄
 
Huyu Magufuli ni dikteta uchwara na rais wa hovyo kuwahi kutokea....Kauli ya kijasiri bila kupepesa macho
 
Wenye Zero na wivu watauharibu huu uzi.
 
Huu Uzi ngoja waje wahafidhina sasa maana watu badala ya kuongelea kilichosemwa wao wamekuja kwenye personal attack, pamoja na yote lisu ana mchango wake hata baadhi ya sehemu kweny migodi wanamjua alivyo saidia watu walio kuwa wanaonewa sana, all in all bado watu wa nyamongo, tarime na kakola tunakumbuka harakati zake
 
Huyo lowasa fisadi mbona yupo huko huko barazani kwenu tumbusi wewe au ndio kusema ccm wote akili ni za vilabuni
We kubwa la misukule unatakiwa ujue kwamb hapa JF unaongea na genius mbali mbali, kwahiyo usikurupuke kama vile umefumaniwa na mumeo. 2005 mpaka 2015 Chadema kiliingia na sera ya kupambana na mafisadi mbali mbali nchini, na kikawatuhumu baadhi ya viongozi wa serikali na CCM kwa ujumla kuwa ni mafisadi. CCM kwa kulitambua hilo wakaamua kubadili mwelekeo wa mgombea huyo (fisadi kuu) na kupitisha jina la mtu mungine. Sasa kulikuwa na ulazima gani au faida gani ya chama kilichopiga vita ufisadi na mafisadi waamue kumpitisha huyo fisadi awe mgombea wao? Kwanini wasingempitisha mtu ambae hana sifa hizo za ufisadi huko katika chama chao? Inamaana leo ukimkuta mumeo na mke wa mtu, kesho suluhisho lake itakuwa na ww kutembea na mume wa mtu?
 
Mpumbavu wewe

PHD zote ni fulltime ajira wewe

Hakuna kusoma for the sake of high IQ,ni ajira

Ajira anafanya yeyote mwenye minimum qualifications

Hakuna mtu smart anaenda kupoteza muda kusoma PHD kama ajira

Wote wanaosoma PHD ukiangalia GPA zao za undergraduate ni upumbavu

The highest GPA attainers undergrad hawa opt kwenda kusoma PHD,hua wanaenda kwenye formal ajira au biashara

Majinga yaliyopata GPA za kawaida yaanaamua kusoma mpaka uzeeni kutafuta PHD kufidia their lack of intelect yaanze kutembea na title ya Dr. wakati marks zao za zamani kuanzia sekondari ni minimum tu!

Nenda huko,kadanganye mapumbavu menzio yaliyokua na marks ndogo kule undergrad!
Una ukichaa wewe! Nadhani uliishia form four tu
 
Akihojiwa na Sarah Wambui Mwangi akiwa Nairobi Tundu Lissu alisema kabla ya kuangukia kwenye siasa alitamani sana kuwa PROFESA wa Sheria ili arudi kufundisha UDSM. Ufinyu wa bajeti uliokuwepo Chuo wakati huo wakati huo haukuwezesha ajira yake kufanikiwa na hivyo akaingia kitaa kutafuta ajira.

Katika maelezo yake Tundu Lissu anasema alikuwa best student pale chuo kikuu katika mwaka wao kwa maana ya kuwa alipaata ufaulu wa juu zaidi kuliko wanafunzi wote wa kitivo cha Sheria.

Akili na Uwezo wa mwanasiasa na wakili huyu nguli unafanya aonekane genious, kumbe una support ya historia yake ya kitaaluma.

Leo naomba tupate ushuhuda kwa waliosoma na Tundu Lissu Uwezo wake na akiwa darasani na kwenye mijadala mbalimbali tangu akiiwa primary, secondary hata chuo kikuu.

Tu appreciate Uwezo wa watu wengine wanaoonekana kufanya vizuri katika maeneo mbalimbali.

Maendeleo hayana CHAMA.
Angekua mwanasheria au profesa mzuri wa sheria lakini ametokea kua mwanasiasa wa ovyo sana. Yote ni kutokana na kutumia uanasheria kama wakili kwenye siasa. Kwenye uwakili wengi hawajali haki iko wapi. Unatumia ujuzi wako wa sheria mteja wako ashinde kesi hata kama sio mwenye haki. Mteja anakulipa pesa ili ashinde sio ashindwe kesi.
Kwenye siasa mwanasiasa wa kupendwa na kukubalika ni yule anayetetea haki. Atapingana hata na wanasheria ili kutetea haki.
 
Namuongelea mtu anaitwa Lissu Kama mwanasiasa na wakili nguli sio Chama Cha siasa na maamuzi ya kichama.

Unakumbuka kwenye kufunga bunge la katiba Sitta alongea nini kuhusu Lissu?

Nikukumbushe- Aliutambua mchango ( kwa kumtaja jina) wake mkubwa uliowasaidia sana kufikia maamuzi katka mijadala.
Na tumkumbushe pia huyu Mr Dudumizi kuwa, kama anataka kujua mchango na umuhimu wa Tundu Lissu amuulize Anna Semambe Makinda (Spika wa Bunge la 10) atamwambia vizuri sana...
 
Akihojiwa na Sarah Wambui Mwangi akiwa Nairobi Tundu Lissu alisema kabla ya kuangukia kwenye siasa alitamani sana kuwa PROFESA wa Sheria ili arudi kufundisha UDSM. Ufinyu wa bajeti uliokuwepo Chuo wakati huo wakati huo haukuwezesha ajira yake kufanikiwa na hivyo akaingia kitaa kutafuta ajira.

Katika maelezo yake Tundu Lissu anasema alikuwa best student pale chuo kikuu katika mwaka wao kwa maana ya kuwa alipaata ufaulu wa juu zaidi kuliko wanafunzi wote wa kitivo cha Sheria.

Akili na Uwezo wa mwanasiasa na wakili huyu nguli unafanya aonekane genious, kumbe una support ya historia yake ya kitaaluma.

Leo naomba tupate ushuhuda kwa waliosoma na Tundu Lissu Uwezo wake na akiwa darasani na kwenye mijadala mbalimbali tangu akiiwa primary, secondary hata chuo kikuu.

Tu appreciate Uwezo wa watu wengine wanaoonekana kufanya vizuri katika maeneo mbalimbali.

Maendeleo hayana CHAMA.
Mh Lisau hata kama asingekuwa best student still ni Best Lawyer of all times
 
Na tumkumbushe pia huyu Mr Dudumizi kuwa, kama anataka kujua mchango na umuhimu wa Tundu Lissu amuulize Anna Semambe Makinda (Spika wa Bunge la 9) atamwambia vizuri sana...
amuulize Gwiji wa Sheria na Best Harvad student Mzee wa Vijisent.
 
Angekua mwanasheria au profesa mzuri wa sheria lakini ametokea kua mwanasiasa wa ovyo sana. Yote ni kutokana na kutumia uanasheria kama wakili kwenye siasa. Kwenye uwakili wengi hawajali haki iko wapi. Unatumia ujuzi wako wa sheria mteja wako ashinde kesi hata kama sio mwenye haki. Mteja anakulipa pesa ili ashinde sio ashindwe kesi.
Kwenye siasa mwanasiasa wa kupendwa na kukubalika ni yule anayetetea haki. Atapingana hata na wanasheria ili kutetea haki.
Ni kawaida wajinga wasio na akili kubeza watu wenye IQ zao.
 
Well its not too late he can still teach..., am sure you don't need to be a prof to part with your knowledge, in this day and age you can even use written media to the same impact.....
 
Back
Top Bottom