Uchaguzi 2020 Lissu nimekusikiliza mwanzo mwisho ila haujasema kwanini tukuchague wewe na sio Magufuli

Duuuuu na wewe uanjiita mwanaume kwenye familia yako ,Tanzania kuna shida nyingi ya kudumaa kwa akili za watu.Haufatilii unakuja na porojo zako
 
Alisema leo haombi kura,hukumuelewa?
 
Presidential material yupoje? Maana wabongo aisee mnafurahisha sana kwa kujifanya mnayajua material. Tangu mjue material ya kutengenezea batiki basi imekua nongwa.
H aha haaa! Mkuu sidhani kama na wewe umo kwenye kundi linalosuka mpango wa kutupiga bei kwa mafungu...Ha ha haaaa!
 
Kwani wewe huku kuengua wagombea unaona ni sawa maana seriakali inatumia dola kuengua wagombea unataka asemaje kama watu wanataka wapite bila kupingwa kama ilivokuwa serikali za mitaaa
Jamani...si ni Chadema hii hii ambayo huwa inajinasibu ni 'Akili Kubwa'! Iweje leo akili kubwa ibabaishwe na uenguaji wa wagombea? Chadema imekwama wapi?
 
Facts ila Tundu amekuwa kama sikio la kufa
 
Niliacha kusikiliza dk kama 15 hivi baada ya kusikiliza hotuba ya yeye kushambuliwa. Ni kweli alishambuliwa na kitendo kile sio cha kibinadamu hata kidogo, lakini kutoa hotuba ya namna ile mwanzo mwisho ni upotevu wa rasilimali.
 
Duuuuu na .......anzania kuna shida nyingi ...... na porojo zako
Ha ha haaa! Pole sana. Mmechagua fungu la kukosa hamna namna....zaidi ya kuboresha lugha zenu za kejeli...Ha ha haaa! Tanzania ni Kubwa sana, Mkuu.
 
Kwani jumuia kinataifa wanakuja nao kupiga kura mkuu ?🙄🙄
Mkuu najua, wewe kuna mahali 'frequencies' zangu na zako huwa zina soma tarakimu za aina moja. Ila huku, Mkuu, naomba uniache kidogo niji'mwambafai' kwa hawa wanaoleta masihara na nchi yetu sote. Hah haaaa!

Mimi nchi yangu ni Tanzania sina nchi nyingine. Ukigusa Tanzania unanigusa.
- - - -
Nadhani, umenipata Mkuu.
 
Una akili fupi
 
Usipangie ukinipangia ndio unaharibu kabisa by Jiwe mgombea asiyejua kujaza fomu .
 
Je NEK itaengua wapinzani wote?
 

Lissu kani disappoint sana, sijui anaemuongoza ni nani.
Yeye kazi yake kulalamika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…