Ma UVCCM mnajifanyaga mna akili lakini ukweli ni kwamba kichwani mwenu mmebebelea makamasi badala ya ubongo. Ina maana hukumsikia Lissu akisema kwa nini hatatoa hotuba yake ya uzinduzi kama alivyokuwa ameandaa?Mimi nilitegemea leo ndio siku ya kuzindua kampeni na sera,!
Hebu chadema twambieni kulikuwa na nini leo Mbagala?
Wala msiisingizie NEC,hao walioenguliwa wamekosea kujaza form. Mnasingiziaje NEC hapa ?
Hapa jf mbona mnaandamana kila siku kuna jipya?we ingiza hilo wowowo mtaani unyooshwe keyboard warriorTunaandamana and nothing you can do you assholes!
Kama ni kweli umemsikiliza mwanzo mwisho kama unavyodai, huu utumbo ulioandika unautoa wapi? Victoire kumbe na wewe unaweza kuwa mpuuzi kama walivyo asilimia 99% ya vijana wa Lumumba. Yaani kwa malipo yale kiduchu yanayotolewa unakubali nawe kutumika kipuuzi namna hii...kweli umdhaniye ndiye, siye.Lissu nimekusikiliza mwanzo mwisho ila haujasema kwanini tukuchague wewe na sio Magufulli...Ninakuomba umwage sera na siyo historia ya yaliyotokea.
Na tunaona mwepesi sana kwani Tiss ndio maafisa wa Tume ya Uchaguzi hapa Zanzibar, uvamizi unaendelea na waislamu nani masheikh wako magerezani kwa kesi zani kubambikiziwaHakuna kitu humo zaidi ya mihemko
Uchaguzi wa mwaka huu utakua mwepesi sana
1. Hiwa najibu kulingana na hoja iliyopoMbona unaongea/kuandika kikike?
Unaushahidi wa Raisi kutoa amri au ushauri huo???
Apo Sawa.Wala msiisingizie NEC,hao walioenguliwa wamekosea kujaza form. Mnasingiziaje NEC hapa ?
Chadema hawajetengeneza bado manifesto,tukisema chadema hawapo serious tanapa wanabishahotuba pamoja na kuacha kuinaugurate manifesto
Wakate rufaa kama wanaona wameonewa. Tatizo wapemba wengi shule zero. Chama kilitakiwa kiwaelekeze jinsi ya kujaza form.One mistake one goal.Apo Sawa.
Naona Pemba wameengua wagombea wite wa ACT.NEK imetusaidia kupata ushindi wa mezani.# NA BADO
Kuna watu wanajiona wajuaji wakati ni vilaza, mtu kasema ana hotuba hatoisoma kwa ajili ya upuuzi unaendelea mwingine anahoji hoja ccm wamechokwa sana.Hujamsikiliza wewe, mbona kasema hotuba yenye kurasa 24 aliyoiandaa hataisoma leo?
Watu wengine hata akili kumkichwa hakuna.
Ndo wakate rufaa sasa. Haki ya mtu haipotei.Wewe mwanamnke wakati mwingine uwe unatumia akili. Kwa hiyo zaidi ya 90% ya wagombea wa ACT Zanzibar wamekosea kujaza fomu na 100% ya wagombea wa CCM wamepatia?
Uwe unaona aibu wakati mwingine kutetea ujinga!
Watu wanaporwa fomu chini ya mitutu ya bunduki, wengine wakurugenzi wanatoa fomu za uteuzi kwa wagombea feki na wengine wanashindwa kurudisha fomu kwa sababu wakurugenzi wamefunga ofisi achilia mbali wale kuenguliwa kwa mapingamizi feki halafu unasema eti hawajui kujaza fomu?—Acha matusi wewe!
Wanafitinishwa au wanajifitinisha?Siku kadhaa zilizopita Niliposema Lissu is not a " Presidential material", kwa wengi sikueleweka. Leo nadhani wengi watakuwa wameanza kunielewa!
Yaani badala ya kujenga hoja kwa wananchi wamchague, " Ni yeye" anaifitinisha Tanzania dhidi ya Jumuiya ya kimataifa. Tanzania ya watanzania tena ya wananchi wenye uwezo wa kumuweka madarakani.
Yaani anataka Jumuiya ya kimataifa ndiyo imuweke madarakani hapa nchini badala ya sisi watanzania ndiyo tumuweke madarakani. Sasa Lissu akisha wekwa madarakani na jumuiya hiyo ya Ulimwengu, atailipa nini!?
Siyo ndiyo, mwanzo wa Lissu kutuuza watanzania kwa mafungu...!!! Kwa hili, leo amepoteza nafasi adhimu ya kuwashawishi watanzania kwa hoja ili wamuweke madarakani.
Nyie ndo vilaza. Hivi mtu ana hotuba na asiisome Kweli ??Hebu tumieni akili basi. Hakuwa na hotuba yule. Siku ya jana ilikuwa muhimu sana kwa kunadi sera zao.Kuna watu wanajiona wajuaji wakati ni vilaza, mtu kasema ana hotuba hatoisoma kwa ajili ya upuuzi unaendelea mwingine anahoji hoja ccm wamechokwa sana.
Wewe inaonekana ni aina ya wanawake ambao hata kama mumeo akipata matatizo ( kama unae ) huwa unamshurutisha, kuwa unajua alipata matatizo ila unachotaka ni pesaLissu bwana tunajua wewe ulipigwa risasi, asante Mungu umepona.
Sasa tunakuomba usitumie muda wako wa kampeini kuongelea tu yaliyokupata miaka mitatu iliyopita.
Tuambie utafanya nini endapo utakuwa Rais, tuambie kwa nini wewe na si Magufuli tena.
Binafsi leo nilitegemea kusikia madini ni nini utaifanyia Tanzania/ Watanzania ambapo Magufuli kafail.
Ninakuomba umwage sera na siyo historia ya yaliyotokea.
Basi wametumia nafasi hiyo vibaya; ni afadhali wangeshughulikia hayo mapingamizi kwanza ndipo wazindua kampeini. Yeye Lissu alikuwa wa kwanza kutoa mapingamizi, kwa hiyo anakubali uhalali wa mapingamizi. Kwa vile ya kwake hayakufanikiwa haina maana kuwa ya wengine yasifanikiwe pia.Mm nafikiri hujasikia vizuri, ni kwamba Leo ilani haijazinduliwa sababu ya kuweka sawa suala la wagombea walioenguliwa
Kiswahili ni kirahisi mno
Ninyi watu ni waajabu sana, watu wakijaa mnasema wamekuja kumshangaa....wasipojaa mnasema wamepuuza....sasa waweje?😀😀Jazba zimemjaa watu hawajajitokeza wamempuuza, View attachment 1550843
Kama matatizo yalishaisha,la yupo kwenye stuation nzuri why asinipe pesa ?Tunaishi muda uliopo and hoping for the future. The past has already gone,why living the past ?While we know what has passed has passed.Wewe inaonekana ni aina ya wanawake ambao hata kama mumeo akipata matatizo ( kama unae ) huwa unamshurutisha, kuwa unajua alipata matatizo ila unachotaka ni pesa