Uchaguzi 2020 Lissu nimekusikiliza mwanzo mwisho ila haujasema kwanini tukuchague wewe na sio Magufuli

Eti maandamano kwa msaada wa jumuiya za kimataifa, hahahaàaaaaaaa Lissu you are less serious. By the Ivory Coast walimtimua Bagbo kihuni sasa wananchi wanamtafuta kwa tochi agombee aliokoe taifa, baada ya wahuni kushindwa kuiongoza nchi.Mapinzani bana eti yanataka kutibua AMANI
 
Sema nyinyi wababaishaji wa maisha amewachosha! Lakini watz wengi watampa kura Magufuli.
Binafsi simpi kura yangu.Hata akishinda sitajuta. Najua miaka 5 mingine na Baba Suzanne itakuwa migumu sana.
 
Tulimwambia aache pupa wananchi washamchoka tayari, yaani msafara wake ulikuwa na madari ya wabunge wa chadema tupu watu kiduchu yaani Hadi aibu, mie namgonja uncle Hashim tule maulidi,
 
Acha hizo!! Hii mechi hatashinda mnafikiri watz ni wa mchezo mchezo!! Tayari wameshaanza kuwapa za kichwa tena Mbagala mmeshindwa kujaza uwanja!!!
sasa mbona mnaogopa uchaguzi? nendeni kwenye sanduku la kura mkapambane huko na "vidume"!
 
Tulimwambia aache pupa wananchi washamchoka tayari, yaani msafara wake ulikuwa na madari ya wabunge wa chadema tupu watu kiduchu yaani Hadi aibu, mie namgonja uncle Hashim tule maulidi,
Yaani Hashim kwa dalili amefanya vizuri kuliko CDM.. anarelate na Umma. Generally unaona kuna shida (Kama hii ya ukosefu was mlo mzuri) ameiona na ana mkakati wa kuitatua Hata kabla ya ofisi. Anatia moyo.

Huyu jamaa yeye anataka ahurumiwe tu.. lazima tumuogope Sana.. akiingia akashindwa atataka ahurumiwe Tena.. unataka Kuwa Kiongozi halafu unadeka!?

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nilitegemea leo ndio siku ya kuzindua kampeni na sera,!

Hebu chadema twambieni kulikuwa na nini leo Mbagala?
Halafu wale wadogo wa Hai wanamsubiri wambebee mabango kule singida Yuko kaka athuman, fundi wa meno.
 
Mimi nilitegemea leo ndio siku ya kuzindua kampeni na sera,!

Hebu chadema twambieni kulikuwa na nini leo Mbagala?
Shida inakuja ilani yote ..unayojaribu kuizindua mwenzako anaitekeleza tayari. Like clearly ..unahisi watasema Nini kipya! Ambacho CCM haijafanya!?

Na Watanzania Kama waajiri wema, tutakupima kwa uwezo na "Eksipiriensi" [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Amesema haongei leo
 
Jumuiya ya kimataifa hii mnayoita mabeberu ndio unalaumu anatukosanisha nayo?? Nilidhani mnasema hatuhitaji mabeberu.
Mabeberu wanajulikana na Jumuiya ya Kimataifa inajulikana...usitake kuhamisha magoli muda huu wa dakika za lala salama. Ha ha ha haaa!
 
Warned na nyie utopolo subirieni ndo kwanza mziki unaanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…